Askari wa Israel wavua magwanda,wakimbia wakiacha wenzao waungue kwenye kifaru

Ndiyo maana nakuambia kasome hostoria ya Mashariki ya Kati upya Jordan ina wakimbizi zaidi ya milioni 2 wa Kipalestina hizo na porojo sijui umezitoa wapi huwenda una umri mdogo ungetumia muda wako kujifunza toka lini Palestina akatala kupindua hizo serikali.
Ukipata naomba usisome juzuu Fanya research kuhusu Jordan civil war almaarufu black September love is blind hata ukiamua kumsaidia nyoka kua na tahadhari wameumbwa kung'ata au kumeza kabisa
 
Wewe punguani kweli hauna unachojua mara PLO, lazima utakiwa shoga wewe nimekijibu hivi kihuni kutokana kauli zako nilitaka kukupa darsa kiduchu lakini kumbe akili za kishoga.
 
Unajua kama id Amin alikataa msaada wa urusi wakat wa vita ya kagera alikua na mashaka maana warusi ni wajamaa na mwalimu ni mjamaa aliogopa kuzungukwa, PLO walipigana upande wa Amin Dada kwa kua waliamin Nduli angeshindwa mambo Yao mengi yangefeli maana Dada Id akitoa sanctuary kwa magadi wa PLO do your homework chief
Hio historia ya vita ya kagera ina mengi tusiyoyajua, tutaongea tu vitu bila ushahidi hapa,

Huyo Mhariri alieandika Waarabu walimsaidia Iddi Amini, Nyerere Ali mind sana sababu Tanzania pia ilisaidiwa na waarabu, kulikua na waarabu pande zote mbili. Saudi na Libya walikua Upande wa Uganda na Algeria walikua Upande wa Tanzania.

Hata kabla ya hivi Vita Raisi wa Algeria ambaye alikua na Kansa aliacha wosia ikitokea Tanzania na Uganda watapigana basi Algeria Waisaidie Tanzania kushinda, na Walileta misaada mingi sana hapa kwetu, mpaka Vita Ilipoisha Nyerere mwenyewe akamtuma Mkapa kwenda Algeria kutoa Shukrani.

Makala Nzuri hapa inaelezea hii vita

So Nyerere mwenyewe anaujua ukweli, kama Palestina wangekua wametusaliti angewatimua, alieongea hayo maneno hakua Nyerere bali ni Mhariri wa Gazeti na Nyerere hakukubaliana na Hio Makala alikasirishwa, Algeria na Palestina ni Allies wa muda wote, kuna uwezekano kulikua na Wapalestina pande zote mbili.
 
Wewe punguani kweli hauna unachojua mara PLO, lazima utakiwa shoga wewe nimekijibu hivi kihuni kutokana kauli zako nilitaka kukupa darsa kiduchu lakini kumbe akili za kishoga.
Ukiishaanza kulawitiwa kila mwanaume unayemuona unamuona kama potential Basha hutuoni Tena kama kaka zako au baba zako wakubwa unachowaza ni kuingiliwa tu kinyume na maumbile anyway endelea kusapot ugaidi ila ndio ujue wanaisha wenzako kule
 
Sijui kama mbinu hiyo ni mbinu ya kivita kweli.Ingekuwa vifaru havina marokelti ndani yake ingeingia akili lakini kifaru kimejazwa maroketi kwa ajili ya kupiga.
Just imagine, 80% ya madaktari wa hospitali kubwa hapo gaza ni aapiganaji wa Hamas. Wamejenga ofisi zao kwenye mahandaki chini ya hospitali ardhini . Ambulances zinatumika kubeba wagonjwa na wapiganaji. Inabidi utumie akili ya ziada sanaaa kuwajua magaidi halisi.
Hata hivyo, wameshagundulika, na mwisho wao umefika. Its terrible.
 
Ukiishaanza kulawitiwa kila mwanaume unayemuona unamuona kama potential Basha hutuoni Tena kama kaka zako au baba zako wakubwa unachowaza ni kuingiliwa tu kinyume na maumbile anyway endelea kusapot ugaidi ila ndio ujue wanaisha wenzako kule
Wewe umeanza kulawitowa na mapadri toka upo seminari jina lako tu unaonekana shoga nenda kajitibu bawasiri wamaishakuharibu Kanisani pia sasa hivi Kanisa linabatiza mashoga mwambie basha wako muende mkapate ubatizo.
 
Du! Huyo mwanajeshi ni kiboko. Hivi ule mlipuko wa kwanza haukuwa na joto kali kweli? Mana jamaa katoka mbio, kama vile hajapata chochote ndani ya kifaru.

Halafu hivi kitengo cha kifaru si ndio huwa hatari sana mana unakuwa umo ndani, watu wakikuotea wanapanda juu wanarusha bomu humo humo.
We bwana weee mambo ya movie hayoo mchawi mkubwa wa kifaru ni yale ma RPG na ant tank nyingine vile ukiona kwenye movie sijui adui kafunua " mfuniko" pale kawaingizia bomu humo humo sio rahisi kumbuka pale ndani wakishaingia wana lock maalum kwa ndani ambayo wewe kwa nje huwezi funua ule mfuniko sijui umenielewa lakini.?
 
Wewe umeanza kulawitowa na mapadri toka upo seminari jina lako tu unaonekana shoga nenda kajitibu bawasiri wamaishakuharibu Kanisani pia sasa hivi Kanisa linabatiza mashoga mwambie basha wako muende mkapate ubatizo.
Sio kila anayewapinga hamas ni mkatoliki wengine ndugu zao na watu walioteka we lingania Imani yako acha sisi tupambanie ndugu zetu ni kipigo tu mpaka wajambe hakuna negotiation na vigaid uchwara
 
Katika hali ya kuzimwa data na umeme Gaza kuna mengi tunayokosa kuyaona.Hata hivyo machache yanayovuja kwa shida inaonesha vita huko ni kali kuliko ule ukali uliotarajiwa na jeshi la IDF.
Mara kadhaa jeshi hilo limeshatangaza kuingia katikati ya Gaza lakini baadae ikaonesha kuwa bado wako pembeni kabisa wakitumia makombora ya kutoka kwenye ndege zao za kisasa.
Katika moja ya vidio zilizotolewa kwa shida na wapiganaji wa Hamas imeonesha kifaru cha Israel kikiripuka baada ya kupigwa na silaha hafifu.Baada ya hapo mmoja wa waendeshaji kifaru hicho akachomoka kwa nyuma huku akivua magwanda yake na kukimbia akiwaacha waenzake waungue ndani ya kifaru hicho.
Pembeni ya kifaru hicho vipo vyengine kadhaa vilivyotelekezwa baada ya ama kuharibiwa au askari wake kuamua kuviacha tu na kukimbia.
View attachment 2810206
Kumbe Hamas inaweza kuwa Jeshi Bora au la Sita Duniani
 
We bwana weee mambo ya movie hayoo mchawi mkubwa wa kifaru ni yale ma RPG na ant tank nyingine vile ukiona kwenye movie sijui adui kafunua " mfuniko" pale kawaingizia bomu humo humo sio rahisi kumbuka pale ndani wakishaingia wana lock maalum kwa ndani ambayo wewe kwa nje huwezi funua ule mfuniko sijui umenielewa lakini.?
Vifaru viko vya miundo mingi sana na namna ya kujiokoa askari akizidiwa.Vya kisasa ndio unatoka kwa nyuma.
 
Katika hali ya kuzimwa data na umeme Gaza kuna mengi tunayokosa kuyaona.Hata hivyo machache yanayovuja kwa shida inaonesha vita huko ni kali kuliko ule ukali uliotarajiwa na jeshi la IDF.
Mara kadhaa jeshi hilo limeshatangaza kuingia katikati ya Gaza lakini baadae ikaonesha kuwa bado wako pembeni kabisa wakitumia makombora ya kutoka kwenye ndege zao za kisasa.
Katika moja ya vidio zilizotolewa kwa shida na wapiganaji wa Hamas imeonesha kifaru cha Israel kikiripuka baada ya kupigwa na silaha hafifu.Baada ya hapo mmoja wa waendeshaji kifaru hicho akachomoka kwa nyuma huku akivua magwanda yake na kukimbia akiwaacha waenzake waungue ndani ya kifaru hicho.
Pembeni ya kifaru hicho vipo vyengine kadhaa vilivyotelekezwa baada ya ama kuharibiwa au askari wake kuamua kuviacha tu na kukimbia.
View attachment 2810206
Hii clip nilisha ionaga sehemu ngoja niitafute ila ni nchi za kiarabu
 
Tafuta muda usome historia ya mashariki ya kati acha kuokota maneno kwenye vijiwe vya mbege unaleta JF unajua Misri kuna wakimbizi wangapi wa Palestina? Sababu ya kukataa kuruhusu Wapelstina kuingia Misri ni hii na Jordan pia.

Their refusal is rooted in fear that Israel wants to force a permanent expulsion of Palestinians into their countries and nullify Palestinian demands for statehood. El-Sissi also said a mass exodus would risk bringing militants into Egypt’s Sinai Peninsula, from where they might launch attacks on Israel, endangering the two countries’ 40-year-old peace treaty.

Here is a look at what is motivating Egypt’s and Jordan’s stances
Wametumia akili sana kwa hilo japo kuna zaidi wangefanya.
Huku uswahilini tungemwambia Israel Unao haoooo !
Kuwauwa hawazi kuwamaliza na kuwafukuza hana pa kuwapeleka.Wacha waendelee kupambana mpaka atachoka mwenyewe.
 
Katika hali ya kuzimwa data na umeme Gaza kuna mengi tunayokosa kuyaona.Hata hivyo machache yanayovuja kwa shida inaonesha vita huko ni kali kuliko ule ukali uliotarajiwa na jeshi la IDF.
Mara kadhaa jeshi hilo limeshatangaza kuingia katikati ya Gaza lakini baadae ikaonesha kuwa bado wako pembeni kabisa wakitumia makombora ya kutoka kwenye ndege zao za kisasa.
Katika moja ya vidio zilizotolewa kwa shida na wapiganaji wa Hamas imeonesha kifaru cha Israel kikiripuka baada ya kupigwa na silaha hafifu.Baada ya hapo mmoja wa waendeshaji kifaru hicho akachomoka kwa nyuma huku akivua magwanda yake na kukimbia akiwaacha waenzake waungue ndani ya kifaru hicho.
Pembeni ya kifaru hicho vipo vyengine kadhaa vilivyotelekezwa baada ya ama kuharibiwa au askari wake kuamua kuviacha tu na kukimbia.
View attachment 2810206
Screenshot_2023-11-11_153257.jpg
 
Hii video clip in ya miaka kumi iliyo pita katika vita vya Syria.tuwe tunaweka vitu toka source inayoeleweka.nakupa mbinu yakubaini vitu kidogo unaangalia mazingira,zana (vifaru vya Israel nitofaut na hicho) pia quality ya clip.
 
Israel ,Taifa Teule la Mungu, liliwah kufutika katika Ramani ya Dunia Kisha likarudi.

Taifa hili ninkielelezo Cha Mungu, yaan ukitaka kujua kua Mungu yupo, unaitazama Israel Ile iloandikwa kwenye maandiko matakatifu ndo hiii hii Sasa
Tutawapiga tuu ,no way !!!
Wajinga wachache kama wewe ndio mnaamini Israel ni taifa la Mungu.taifa la Mungu linaruhusu usodoma na gomora?
 
Hakuna vita ya ardhini tena street war isiyo na pilika kama hizo...

Israel lazima atakula hasara kama iliyomkuta Russia kwa kupigana vita mtaani tena mitaa ya eneo la kigeni...
Urusi amepata hasara gani?wakati amechukua maeneo.
 
Katika hali ya kuzimwa data na umeme Gaza kuna mengi tunayokosa kuyaona.Hata hivyo machache yanayovuja kwa shida inaonesha vita huko ni kali kuliko ule ukali uliotarajiwa na jeshi la IDF.
Mara kadhaa jeshi hilo limeshatangaza kuingia katikati ya Gaza lakini baadae ikaonesha kuwa bado wako pembeni kabisa wakitumia makombora ya kutoka kwenye ndege zao za kisasa.
Katika moja ya vidio zilizotolewa kwa shida na wapiganaji wa Hamas imeonesha kifaru cha Israel kikiripuka baada ya kupigwa na silaha hafifu.Baada ya hapo mmoja wa waendeshaji kifaru hicho akachomoka kwa nyuma huku akivua magwanda yake na kukimbia akiwaacha waenzake waungue ndani ya kifaru hicho.
Pembeni ya kifaru hicho vipo vyengine kadhaa vilivyotelekezwa baada ya ama kuharibiwa au askari wake kuamua kuviacha tu na kukimbia.
View attachment 2810206
Ostaz unapambana sana aisee.Hongera.Ila tangu dunia iwepo ugaidi haujawahi kufanikiwa.Dawa ya gaidi ni kuuwawa.Hamas ni magaidi wauliwe tu hakuna namna nyingine
 
Back
Top Bottom