Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wavua magwanda. Maana Israel ndio wanaomba vita isitishwe. Na ndio wanaandamana huko kulazimisha vita isitishwe.Katika hali ya kuzimwa data na umeme Gaza kuna mengi tunayokosa kuyaona.Hata hivyo machache yanayovuja kwa shida inaonesha vita huko ni kali kuliko ule ukali uliotarajiwa na jeshi la IDF.
Mara kadhaa jeshi hilo limeshatangaza kuingia katikati ya Gaza lakini baadae ikaonesha kuwa bado wako pembeni kabisa wakitumia makombora ya kutoka kwenye ndege zao za kisasa.
Katika moja ya vidio zilizotolewa kwa shida na wapiganaji wa Hamas imeonesha kifaru cha Israel kikiripuka baada ya kupigwa na silaha hafifu.Baada ya hapo mmoja wa waendeshaji kifaru hicho akachomoka kwa nyuma huku akivua magwanda yake na kukimbia akiwaacha waenzake waungue ndani ya kifaru hicho.
Pembeni ya kifaru hicho vipo vyengine kadhaa vilivyotelekezwa baada ya ama kuharibiwa au askari wake kuamua kuviacha tu na kukimbia.
View attachment 2810206
Hamas karibu Wanaotesa Tel Aviv [emoji122][emoji122][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Katika hali ya kuzimwa data na umeme Gaza kuna mengi tunayokosa kuyaona.Hata hivyo machache yanayovuja kwa shida inaonesha vita huko ni kali kuliko ule ukali uliotarajiwa na jeshi la IDF.
Mara kadhaa jeshi hilo limeshatangaza kuingia katikati ya Gaza lakini baadae ikaonesha kuwa bado wako pembeni kabisa wakitumia makombora ya kutoka kwenye ndege zao za kisasa.
Katika moja ya vidio zilizotolewa kwa shida na wapiganaji wa Hamas imeonesha kifaru cha Israel kikiripuka baada ya kupigwa na silaha hafifu.Baada ya hapo mmoja wa waendeshaji kifaru hicho akachomoka kwa nyuma huku akivua magwanda yake na kukimbia akiwaacha waenzake waungue ndani ya kifaru hicho.
Pembeni ya kifaru hicho vipo vyengine kadhaa vilivyotelekezwa baada ya ama kuharibiwa au askari wake kuamua kuviacha tu na kukimbia.
View attachment 2810206
Ndio nawe unatakiwa uangalie tatizo kwanini Israel washambulie Gaza maeneo yenye wanawake na watoto pia?Tatizo huangalii tatizo, kama ni movie umeanza katikati halafu unajudge.
Kwanini Hamas waue 1400? Hilo ndio swali ulitakiwa ujiulize.
Nguvu mnayo huku mnatembeza bakuri km ukraine kuomba hela na misaada ya silahaNdio maana tumesema, Lazima Vita hii iendelee, Tutahakikisha sisi wanaIsrael, GAZA haikaliwi Tena na HAMAS.
Hatutasimamisha vita, Uwezo tunao, nguvu tunazo, na Hari tunayo.
Tutawapiga na hamna mtu wa kutufanya kitu, lazima GAZA tuisafishe. .
Russia vita ya mtaani anaiweza. Ukiangalia data za askari wake waliyokufa ni wachache sana. Isipokuwa ni propaganda za hapa na pale kwenye vita hazikosekani ila Russia imemudu pakubwa sana. Mfano mzuri angalia battle ya Mariupol na miji mengine n.kHakuna vita ya ardhini tena street war isiyo na pilika kama hizo...
Israel lazima atakula hasara kama iliyomkuta Russia kwa kupigana vita mtaani tena mitaa ya eneo la kigeni...
Unajidanganya mchana kweupe..Ni kweli Israel Ni taifa la mungu lakini sio kwa waisrael hawa ...Hawa ni mamluki tu kutoka ulaya na uturuki ..Na hawana uhusiano hata wale waisrael wa kwenye biblia...Kwa hio hawa unaowasemea ni taifa la mungu hawana tofauti na ww au mimi ni kikundi cha watu kinachojiita wayaudi lakini hawana uhusiano hata chembe na wale waisrael wa kwenye biblia...Israel ,Taifa Teule la Mungu, liliwah kufutika katika Ramani ya Dunia Kisha likarudi.
Taifa hili ninkielelezo Cha Mungu, yaan ukitaka kujua kua Mungu yupo, unaitazama Israel Ile iloandikwa kwenye maandiko matakatifu ndo hiii hii Sasa
Tutawapiga tuu ,no way !!!
jipe moyo Wayahudi wanateketeaMh...sio videogame hii kweli
Sababu Hio ni asili yao, toka hilo taifa lianzishwe zaidi ya miaka 70 iliopita wanaua wanawake na watoto siku zote. Wakikutana na mpinzani mgumu wanakimbilia kwenye meza za Mazungumzo.Ndio nawe unatakiwa uangalie tatizo kwanini Israel washambulie Gaza maeneo yenye wanawake na watoto pia?
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
siku zote israel imekubaliana na mazungumzo, ilikuwa aidha kwasababu ya mateka raia wao, au kutokana na maandamano au makelele ya nchimbalimbali duniani wanaotetea wapalestina. ila ukweli halisi ni kwamba, israel hajawahi kukubaliana na mazungumzo ati kwasababu ameishiwa nguvu au amezidiwa. ndio maana unaona sasaivi, kutokana na ukatili mkubwa ulioonyeshwa na hamas, nchi zenye akili zimesema hakuna cease fire hadi hamas wafe. ila raia wanaandamana lakini israel hawasikilizi kwasababu ule ukatili wa tarehe 7 unaonyesha ni justification kwao kuendelea na vita. na gaza itakaliwa na israel tena, wameshatangaza hilo. na wameshaikalia, wanaweza kukaa pale hata miaka 10 tuone kama hamas wataishi kwenye mashimo miaka hiyo,na raia wameondolewa kaskazini na hospitali na majengo yanavunjwa ili pasiwe na kisingizio kwamba israel isipakalie kwasababu kuna raia wasio na hatia pale.Sababu Hio ni asili yao, toka hilo taifa lianzishwe zaidi ya miaka 70 iliopita wanaua wanawake na watoto siku zote. Wakikutana na mpinzani mgumu wanakimbilia kwenye meza za Mazungumzo.
Yom kipur na Vita ya Hezbollah 2006 walikaa kwenye Mazungumzo sababu ya Maandamano?siku zote israel imekubaliana na mazungumzo, ilikuwa aidha kwasababu ya mateka raia wao, au kutokana na maandamano au makelele ya nchimbalimbali duniani wanaotetea wapalestina. ila ukweli halisi ni kwamba, israel hajawahi kukubaliana na mazungumzo ati kwasababu ameishiwa nguvu au amezidiwa. ndio maana unaona sasaivi, kutokana na ukatili mkubwa ulioonyeshwa na hamas, nchi zenye akili zimesema hakuna cease fire hadi hamas wafe. ila raia wanaandamana lakini israel hawasikilizi kwasababu ule ukatili wa tarehe 7 unaonyesha ni justification kwao kuendelea na vita. na gaza itakaliwa na israel tena, wameshatangaza hilo. na wameshaikalia, wanaweza kukaa pale hata miaka 10 tuone kama hamas wataishi kwenye mashimo miaka hiyo,na raia wameondolewa kaskazini na hospitali na majengo yanavunjwa ili pasiwe na kisingizio kwamba israel isipakalie kwasababu kuna raia wasio na hatia pale.
siku zote pressure toka nchi mbalimbali ndio huwa inawafanya wakae mezani. mnachonishangaza ni kwamba, vita ya lebanon kwa mfano Beirut na maeneo mengine yalichakazwa, magorofa yalifumuliwa na watu wengi kweli walikufa. kwa ratio, palipouliwa muisrael mmoja utakuta kuna wapalestina au walebanon sio chini ya 50 adi 100. sasaivi wapalestina waliouawa ni 11,000 wakati waisrael ni 1400 na magorofa ya hamas yamefumuliwa yote, na bado watu wanasema Israel ameshindwa vita. kipimo chenu huwa ni nini?Yom kipur na Vita ya Hezbollah 2006 walikaa kwenye Mazungumzo sababu ya Maandamano?
2 Kor 10:3-5 SUVIsrael ,Taifa Teule la Mungu, liliwah kufutika katika Ramani ya Dunia Kisha likarudi.
Taifa hili ninkielelezo Cha Mungu, yaan ukitaka kujua kua Mungu yupo, unaitazama Israel Ile iloandikwa kwenye maandiko matakatifu ndo hiii hii Sasa
Tutawapiga tuu ,no way !!!
That's the issue tunayoiongelea, Wanaua wanawake na watoto, so far Hamas wangapi wamekufa? Wachache sana ila Wanauliwa watu wasio na hatia, Hospitalini na kambi za wakimbizi.siku zote pressure toka nchi mbalimbali ndio huwa inawafanya wakae mezani. mnachonishangaza ni kwamba, vita ya lebanon kwa mfano Beirut na maeneo mengine yalichakazwa, magorofa yalifumuliwa na watu wengi kweli walikufa. kwa ratio, palipouliwa muisrael mmoja utakuta kuna wapalestina au walebanon sio chini ya 50 adi 100. sasaivi wapalestina waliouawa ni 11,000 wakati waisrael ni 1400 na magorofa ya hamas yamefumuliwa yote, na bado watu wanasema Israel ameshindwa vita. kipimo chenu huwa ni nini?
Israel hana muda wa kutaja magaidi wamekufa wangapi yeye akiua kiongozi/kamanda ndo anatangaza kama unafatilia hzi ishu.That's the issue tunayoiongelea, Wanaua wanawake na watoto, so far Hamas wangapi wamekufa? Wachache sana ila Wanauliwa watu wasio na hatia, Hospitalini na kambi za wakimbizi.
Same kwa Lebanon, Wanapigana na IDF mpakani ila Israel yupo Busy kupigana na Raia anatupa mabomu makazi ya watu.
Hii trick inaitwa divide and rule imetumika na wakoloni, Coward tactics kuua raia ili utengeneze division Baina ya wapiganaji na raia wao.
So hizo figure za Mauaji zipo inflated Na Raia ila kwenye uwanja Wa mapambano, mfano vita ya 2006 Japo Hezbollah walikua wachache 1000 vs 30,000 ila waliwapelekea moto mpaka wakayamaliza mezani, walikufa sana ni Raia Wa Lebanon na sio Hezbollah wenyewe.
elimnatedyaani unavyoongea utafikiri upo gaza sasaivi, ati hamas wameuliwa wachache? wengi sana wamekufa, na majority ya makamanda wao wamekufa. peruse hii page uone, wamekuwa wakiweka makamanda wote ambao wameshakuwa eliminated.That's the issue tunayoiongelea, Wanaua wanawake na watoto, so far Hamas wangapi wamekufa? Wachache sana ila Wanauliwa watu wasio na hatia, Hospitalini na kambi za wakimbizi.
Same kwa Lebanon, Wanapigana na IDF mpakani ila Israel yupo Busy kupigana na Raia anatupa mabomu makazi ya watu.
Hii trick inaitwa divide and rule imetumika na wakoloni, Coward tactics kuua raia ili utengeneze division Baina ya wapiganaji na raia wao.
So hizo figure za Mauaji zipo inflated Na Raia ila kwenye uwanja Wa mapambano, mfano vita ya 2006 Japo Hezbollah walikua wachache 1000 vs 30,000 ila waliwapelekea moto mpaka wakayamaliza mezani, walikufa sana ni Raia Wa Lebanon na sio Hezbollah wenyewe.
Ila anao muda wa kudanganya na kupunguza wanajeshi wake wanaouliwa.Israel hana muda wa kutaja magaidi wamekufa wangapi yeye akiua kiongozi/kamanda ndo anatangaza kama unafatilia hzi ishu.
Yaan israel na akili zao wakae chini wa draft tumeua magaidi wangap huwo muda hawan ila wakiua kiongozi wa kitengo fulani ndo wanatangaza.
Nimeingia Hio page nimeperuzi tweet kama 20 sijaona stat yoyote ya vita zaidi ya propaganda tu, weka namba ama specific tweet inayoelezea, si kila mtu yupo free kama wewe aperuzi maelfu ya tweet kutafuta tweet moja.elimnatedyaani unavyoongea utafikiri upo gaza sasaivi, ati hamas wameuliwa wachache? wengi sana wamekufa, na majority ya makamanda wao wamekufa. peruse hii page uone, wamekuwa wakiweka makamanda wote ambao wameshakuwa eliminated.
unajua, kama hujui Biblia, wakati mwingine unatakiwa kunyamaza tu, unaenda kusoma kimyakimya au uliza wale wanaojua wakueleweshe. hakuna hata unachokijua kuhusu Israel. ni wapi katika Biblia Mungu alisema amebadilisha taifa la israel toka la kimwili kuwa la kiroho? unachanganya mambo, kushindana kwa watu waliookoka na kushindana kwa waisrael ambao hawajaokoka ila kuna ahadi Mungu aliwaahidia ambazo ni za milele, na Mungu aliapa. shida inayokusumbua ni chuki dhidi ya israel tu wala si kingine.2 Kor 10:3-5 SUV
"Maana ingawa tunaenenda katika mwili, hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili; (maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome😉 tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo"
Kuhusu hili taifa la Israel la kimwili wakristo tunajidanganya.. Mungu hawezi ruhusu watoto wasio na hatia wauliwe hivyo hata siku moja.. pamoja na kwamba siungi mkono Hamas pia kuvamia Israel[emoji1374]
Efe 6:11-12 SUV
"Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho..."
Tangu lini Israel ikatumiaT72 vifaru vyo Soviet, Hilo Ni jeshi la Syria lilishambuliwa na isis. Ni miaka kadhaa imepita tangu niione hii videoHuamini macho yako kutokana na ukubwa wa jeshi la Israel.
Lakini hapo hamna dalili za vidio game.Kila kitu kinaonesha ni uhalisia kabisa.Angalia michoro ile ya vijana wa mtaani kwenye kuta za hapo anapokimbilia huyo askari.