Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
the fact ni kwamba, Hamas hawana hata nafasi kusimama huru vile, GAZA yote imetwaliwa, hamas hawaishi sehemu ya wazi, wanaishi kwenye mahandaki. Israel hajaona midomo/milango yote ya hamas, hivyo ile ambayo haijagundulika ndio wanachomoza ghafla na kupiga risasi askari ambaye alikuwa hajawaona na kukimbilia kwenye shimo.Hiyo picha ingekua ni Hamas ungesema ni yakutengeneza? Au umeamua tu kutingisha kalio hapa? Hao wayahudi si ndio walimuua Mungu wenu kwa mujibu wenu?
Ngoja nikukubalie tu mkuu
Hujui kitu,kaa kimya wewe yahudi mweusi wa Tabora.the fact ni kwamba, Hamas hawana hata nafasi kusimama huru vile, GAZA yote imetwaliwa, hamas hawaishi sehemu ya wazi, wanaishi kwenye mahandaki. Israel hajaona midomo/milango yote ya hamas, hivyo ile ambayo haijagundulika ndio wanachomoza ghafla na kupiga risasi askari ambaye alikuwa hajawaona na kukimbilia kwenye shimo.
Netanyahu atawapokea huko kwenye masandukuPropaganda
Ile picha hapo juu ni AI haiitaji kuielezeathe fact ni kwamba, Hamas hawana hata nafasi kusimama huru vile, GAZA yote imetwaliwa, hamas hawaishi sehemu ya wazi, wanaishi kwenye mahandaki. Israel hajaona midomo/milango yote ya hamas, hivyo ile ambayo haijagundulika ndio wanachomoza ghafla na kupiga risasi askari ambaye alikuwa hajawaona na kukimbilia kwenye shimo.
sawa mwarabu wa mbagala.Hujui kitu,kaa kimya wewe yahudi mweusi wa Tabora.
Endelea tu kukaza fuvu kua hao waliomuua Mungu wako hawafi.Ngoja nikukubalie tu mkuu
Haya Binti nenda kampikie mumeo sasa ili asije kukutwanga talaka ukaja kutusumbua hapa na Thd yakutaka ushauri.sawa mwarabu wa mbagala.
Picha zenyewe za kutengeneza hizo ndio watu wasanganyike,sio rahisiWewe yahudi mweusi wa Tabora acha kujifariji kipumbavu,Dunia iko open sana.
Thibitisha kwanza kama mungu yupo?Endelea tu kukaza fuvu kua hao waliomuua Mungu wako hawafi.
mimi ni mwanaume, sina mambo ya kifirauni kama wewe uliyeolewa na waarabu. si ukute wewe ndo yule ustaadh afande wa zanzibar. punga we.Haya Binti nenda kampikie mumeo sasa ili asije kukutwanga talaka ukaja kutusumbua hapa na Thd yakutaka ushauri.
PhotoshopedGharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea.
Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo.
View attachment 2839765
Wewe ni Binti acha kujipendekeza,wanaume hatupo hivyo,nenda kwa mumeo acha kijibizana na wanaume hapa.mimi ni mwanaume, sina mambo ya kifirauni kama wewe uliyeolewa na waarabu. si ukute wewe ndo yule ustaadh afande wa zanzibar. punga we.
Waulize hao waliomuua ndio watakuthibitishia.Thibitisha kwanza kama mungu yupo?
sihitaji degree kutambua picha hio ni fake kuanzia blood splashing, contact ya wanajeshi waliosimama, watu waliokufa inaonyesha.
Halafu Thibitisha mungu yupo?
NAKAZIAIle picha hapo juu ni AI haiitaji kuielezea
Wenzako wanakufa kwa maelfu wewe upo nyuma ya keyboard unapiga propaganda ambazo hazitasaidia chochote.Mpaka sasa magaidi zaidi ya 7000 yamewahishwa jehanamu upesi,palestina lazima iwe huru kutoka mikono ya magaidi ili raia wema waishi kwa amani.Netanyahu atawapokea huko kwenye masanduku
UmeonaaaWaache wapigane weee, mpaka waseme imetosha.
Nimeweka clip hapo umeiona?Picha zenyewe za kutengeneza hizo ndio watu wasanganyike,sio rahisi
Tulia wewe Kafiri.Wenzako wanakufa kwa maelfu wewe upo nyuma ya keyboard unapiga propaganda ambazo hazitasaidia chochote.Mpaka sasa magaidi zaidi ya 7000 yamewahishwa jehanamu upesi,palestina lazima iwe huru kutoka mikono ya magaidi ili raia wema waishi kwa amani.