Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

Hiyo picha ingekua ni Hamas ungesema ni yakutengeneza? Au umeamua tu kutingisha kalio hapa? Hao wayahudi si ndio walimuua Mungu wenu kwa mujibu wenu?
the fact ni kwamba, Hamas hawana hata nafasi kusimama huru vile, GAZA yote imetwaliwa, hamas hawaishi sehemu ya wazi, wanaishi kwenye mahandaki. Israel hajaona midomo/milango yote ya hamas, hivyo ile ambayo haijagundulika ndio wanachomoza ghafla na kupiga risasi askari ambaye alikuwa hajawaona na kukimbilia kwenye shimo.
 
Hujui kitu,kaa kimya wewe yahudi mweusi wa Tabora.
 
the fact ni kwamba, Hamas hawana hata nafasi kusimama huru vile, GAZA yote imetwaliwa, hamas hawaishi sehemu ya wazi, wanaishi kwenye mahandaki. Israel hajaona midomo/milango yote ya hamas, hivyo ile ambayo haijagundulika ndio wanachomoza ghafla na kupiga risasi askari ambaye alikuwa hajawaona na kukimbilia kwenye shimo.
Ile picha hapo juu ni AI haiitaji kuielezea
 
Endelea tu kukaza fuvu kua hao waliomuua Mungu wako hawafi.
Thibitisha kwanza kama mungu yupo?
sihitaji degree kutambua picha hio ni fake kuanzia blood splashing, contact ya wanajeshi waliosimama, watu waliokufa inaonyesha.

Halafu Thibitisha mungu yupo?
 
Haya Binti nenda kampikie mumeo sasa ili asije kukutwanga talaka ukaja kutusumbua hapa na Thd yakutaka ushauri.
mimi ni mwanaume, sina mambo ya kifirauni kama wewe uliyeolewa na waarabu. si ukute wewe ndo yule ustaadh afande wa zanzibar. punga we.
 
Netanyahu atawapokea huko kwenye masanduku
Wenzako wanakufa kwa maelfu wewe upo nyuma ya keyboard unapiga propaganda ambazo hazitasaidia chochote.Mpaka sasa magaidi zaidi ya 7000 yamewahishwa jehanamu upesi,palestina lazima iwe huru kutoka mikono ya magaidi ili raia wema waishi kwa amani.
 
YAANI ISRAEL WALICHOFANYA. WALE WALIOACHIWA NDIO WANETANGULIZWA MBELE ZA HAKI

LEO KUNA MMOJA ALISEMA BORA ANGEBAKI ISRAEL KILIKO KIPNA WAZAZI WAKIENDA....NA MAKOMBORA....
 
Wenzako wanakufa kwa maelfu wewe upo nyuma ya keyboard unapiga propaganda ambazo hazitasaidia chochote.Mpaka sasa magaidi zaidi ya 7000 yamewahishwa jehanamu upesi,palestina lazima iwe huru kutoka mikono ya magaidi ili raia wema waishi kwa amani.
Tulia wewe Kafiri.
 
Back
Top Bottom