Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
the fact ni kwamba, Hamas hawana hata nafasi kusimama huru vile, GAZA yote imetwaliwa, hamas hawaishi sehemu ya wazi, wanaishi kwenye mahandaki. Israel hajaona midomo/milango yote ya hamas, hivyo ile ambayo haijagundulika ndio wanachomoza ghafla na kupiga risasi askari ambaye alikuwa hajawaona na kukimbilia kwenye shimo.Hiyo picha ingekua ni Hamas ungesema ni yakutengeneza? Au umeamua tu kutingisha kalio hapa? Hao wayahudi si ndio walimuua Mungu wenu kwa mujibu wenu?