Pre GE2025 Askari wa Jeshi la Polisi athibitisha jinsi wanavyosaidia kuiba kura ili CCM ibaki madarakani, ni aibu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ingekuwa vizuri ungeweka kipande cha mwanzo mwa mazunguzo yake ndiyo tunaweza kuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuhukumu kauli za afande.
Kipande Cha mwanzo Cha hiyo video ni kibaya zaidi, ni Bora alivyoikata hiyo video na kuwa fupi kama hivyo ilivyo.
Mwanzoni mwa hiyo video huyu Polisi alikuwa ameshika Kitabu Cha Katiba ya CCM au Ilani ya Uchaguzi ya CCM, na kisha alikuwa anafanya kazi kama ya kuinadi Katiba)Ilani hiyo ya CCM kwa Wananchi na Askari Polisi wengine waliokuwa wakimsikikiza. Yaani ni hovyo kabisa.
 
ameshtaafu huyo.
Kuna afande mmoja manyota sana walimtemesha kwenye nafasi alipokuwa na kumpeleka kuwa 'balozi wa nyumba kumi', amesema atamwaga unga wakati sahihi ukifika.
Saaafi kabisa Ndugu yangu namuombea uzima
 
Kipande Cha mwanzo Cha hiyo video ni kibaya zaidi, ni Bora alivyoikata hiyo video na kuwa fupi kama hivyo ilivyo.
Mwanzoni mwa hiyo video huyu Polisi alikuwa ameshika Kitabu Cha Katiba ya CCM au Ilani ya Uchaguzi ya CCM, na kisha alikuwa anafanya kazi kama ya kuinadi Katiba)Ilani hiyo ya CCM kwa Wananchi na Askari Polisi wengine waliokuwa wakimsikikiza. Yaani ni hovyo kabisa.
Kumbe jamaa ni empty
 
Haya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration?

Pia soma:
~
Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
~ DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
~
Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

Je, tuamini Yale magari ya kisasa kwa ajili ya Polisi ambayo yataingia nchini hivi karibuni ni hongo kwa Jeshi la Polisi kutoka Serikali ya CCM?

Unawezaje kusema "Mama ni Rais wa nchi hii si kwa SABABU mlipiga kura na sisi (Jeshi la Polisi) tumo"!

Hii ni kauli ya kijinga na kifedhuli Sana, kwa MTU yoyote yule anayejielewa hawezi kushabikia hili
Muibiwe tuu kwani mna faida gani?
 
Kwa uelewa wako, Rais mama ni Samia, je alipigiwa kura?

Huyo Polisi ana makosa gani katika mahubiri yake?
 
Katiba ya JMT sura ya pili ibara ya kwanza kifungu 1 na 2 vinaelekeza kwamba kutakuwa na rais wa jamhuri ya muungano na kifungu cha pili kinaelekeza kwamba rais atakuwa kiongozi mkuu wa serikali na amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi(Commander in Chief of the Armed Forces). Mamlaka ya amiri jeshi yameelezewa hata kwenye civics ya form 1.

Katiba ikibadilishwa na rais akaondolewa mamlaka ya amiri jeshi basi muundo wa jeshi nao utabadilika na cheo cha amiri jeshi kitarudi jeshini na amiri jeshi ndiye atakayekuwa kama mkuu wa majeshi na power ya kuamua chochote kuhusu jeshi.

Cheo cha amiri jeshi kiliondolewa kutoka jeshini kwa sababu ya takwa la mfumo wa kidemokrasia ili kuwapa wananchi sauti ya kulifanya jeshi liwajibike kwenye utawala wa watu unaotokana na demokrasia. Kwahiyo hakuna uhusiano wowote wa amiri jeshi mkuu na chombo kama uhamiaji au polisi na magereza, ni vyombo vya serikali hivyo chini ya rais kama head of state na sio kama commander in chief.

Cc: Dr Matola PhD, ndolelejiUduhe, Lucha
Ingependeza sana kama Mwamba mmoja na Nguli wa Sheria angetafuta ufafanuzi wa utata huu kupitia Kesi ya Kikatiba ??!
 
Haya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration?

Pia soma:
~
Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
~ DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
~
Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

Je, tuamini Yale magari ya kisasa kwa ajili ya Polisi ambayo yataingia nchini hivi karibuni ni hongo kwa Jeshi la Polisi kutoka Serikali ya CCM?

Unawezaje kusema "Mama ni Rais wa nchi hii si kwa SABABU mlipiga kura na sisi (Jeshi la Polisi) tumo"!

Hii ni kauli ya kijinga na kifedhuli Sana, kwa MTU yoyote yule anayejielewa hawezi kushabikia hili
Wanatoa ya moyoni yanayopangwa gizani ni mabaya zaidi ya haya
 
Mwakani kazi wanayo kweli kweli
 
Katika mazingira haya Mwakubusi alisema vyama vya upinzani havijajipanga kuchukua nchi kweli? watafanyaje wamebanwa kila kona na vyombo! no fair ground. Mwakubusi review kauli yako,au wape suluhisho.
 
Back
Top Bottom