John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Kipande Cha mwanzo Cha hiyo video ni kibaya zaidi, ni Bora alivyoikata hiyo video na kuwa fupi kama hivyo ilivyo.ingekuwa vizuri ungeweka kipande cha mwanzo mwa mazunguzo yake ndiyo tunaweza kuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuhukumu kauli za afande.
Mwanzoni mwa hiyo video huyu Polisi alikuwa ameshika Kitabu Cha Katiba ya CCM au Ilani ya Uchaguzi ya CCM, na kisha alikuwa anafanya kazi kama ya kuinadi Katiba)Ilani hiyo ya CCM kwa Wananchi na Askari Polisi wengine waliokuwa wakimsikikiza. Yaani ni hovyo kabisa.