Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

Common mkuu,acha hadithi hii !,mimi nimetumia LMG kufanya uhalifu bank, nimedondosha hii silaha na Kuja kujificha huku lingusenguse, sasa niambie hizo finger prints zangu zita nilinks vipi na crime scene?
Watafatilia CCTV camera [emoji328] za benki na hata ukificha sura kuna vipimo maalumu vy a urefu wa mwili,umbo au hatua za miguu na hata unyayo wa miguu
Achilia mbali hvyo vyote kuna DNA test kutoka kwenye siraha uloshika, maana lazima kuna maji maji kama jasho uliacha kwenye siraha au kitasa cha mlango ukuta na kadhalika...[emoji16] Hapo kumbuka bado finger print zako
Hapo wakikuhisi tu ni wewe wanaoanisha vipimo vyao na vyako ambavyo watachukua[emoji55][emoji55]kifuatacho utakuwa umepigwa ndoige kama sio sugunyooo
 
Acha uongo
 
Kwahiyo mkuu nikiona askari wa JWTZ akiwa kwenye daladala, anafagia barabara, anasomba korosho ama anafanyishwa kazi nyinginewe nijue tu kuwa huyo askari ni mbumbumbu?
 
Acha uongo
Uwongo kwenye eneo gani, unamaanisha Askari wenye degree ndiyo hawa wanasimama barabara na wakwenye marindo, au uongo kwenye eneo lipi.

Unapokanusha jambo, eleza ukweli.
 
Kwahiyo mkuu nikiona askari wa JWTZ akiwa kwenye daladala, anafagia barabara, anasomba korosho ama anafanyishwa kazi nyinginewe nijue tu kuwa huyo askari ni mbumbumbu?
Sijui wewe unaelimu gani mpaka leo, unashindwa kusoma kinachoelezewa na ukajibu kulingana na kilichoandikwa.

Mwenye elimu ya la saba ni mbumbu, mwenye Form for, ni mbumbu, mwenye Form six ni mbumbu mwenye diplomer ni mbumbu, Elimu inayo ongelewa ni degree holders.
Labda kwa ufafanuzi utaelewa.
 
Uwongo kwenye eneo gani, unamaanisha Askari wenye degree ndiyo hawa wanasimama barabara na wakwenye marindo, au uongo kwenye eneo lipi.

Unapokanusha jambo, eleza ukweli.
Nilitaka nisikujibu
Ila pia inaonekana hujui unachoongelea

Majeshi hayaajili elimu ila huwa yanaajiri askari.

Wapo wenye degree wapo lindo benki, mkuu wa wilaya/Mkoa, vizuizi barabarani na Traffic.

Jw utawakuta wanasoma details kwenye ulinzi wa kikosi, main gate na maeneo mengine

Magereza utawakuta kapewa genge alilinde, main gate au lango kuu

Immigration utawakuta wapo vizuizi barabarani, viwanja vya ndege, bandarini ,porini na kwenye ulinzi wa mipaka na vipenyo vyake.

Fire hivyo hivyo, kaning'inia kwenye gari lao anawahi kuzima moto.

Baada ya kazi za msingi ndio itakuja professional zao ila ni wachache wanaokula vitengo lakini Malindo yapo pale pale.

Kule kinachomata ni rank na sio ushubwada uliouandika hapa.
 
Kwa nini degree sio mbumbu?
 
Amelikoroga acha alinywe uzuri
 
Wewe Akili zero JWTZ ndio linaongoza kwa wasomi sasa hivi JWTZ hauingii na division 4, police division zero na darasa la saba zipo za kutosha na bado wanaendelea kuchukua vihiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan police na JWTZ c wanaachana ktk vitengo.
Ila JKT mafunzoni si wanakua wote?
 
Pgo number ngapi hiyo?
 
tangu lini traffick police akamuonya JWTZ? tangu lini. si ndio kumkosea heshima hapo.kwanni asimwite nyau?

Kwamba asionywe yeye ni nani? Yuko juu ya sheria au ukiwa JW tayari unakuwa juu ya kila.mtu?

Hizi ndo mindset zinazopelekeaga hao mnaowasujudia wawapigishe majalamba raia wa kawaida na kuwapa adhabu za kijinga. Eti beba dunia!
 
Koplo wa jeshi la rushwa anampa onyo staff sagent wa jeshi. Huyo paka ndio achukuliwe hatua za kinidhanu.
 
°usichokijua ni kwamba huko jeshini wataalam wabobezi ni wachache Sana compared to the civil service i.e Utumishi wa kiraia
°Hao madaktari wa Jeshini ni wachache mno kulinganisha na madaktari waliopo pale MUHAS na MNH ambapo ndiyo kitovu Cha wataalam wa afya Tanzania, Huwezi kulinganisha madaktari wa MNH na wa huko Jeshini
°Kuhusu vita ya kagera kwanza Ile vita chokochoko zilianzia Tanganyika kutokana na Tanganyika kujiingiza kwenye mambo ya Uganda.
°Kuhusu Maprofesa wa kumwaga Jeshini huo ni Uongo, Sehemu yenye Maprofesa na PhD za kumwaga ni Vyuoni eg SUA,UDSM,MUHAS,SAUT,CUHAS,DIT,nk, hoja ibaki pale pale raia ndiyo Kuna wasomi Wengi kuliko Jeshini, hebu taja hao Maprofesa wa jeshi halafu nikutajie Maprofesa wa UDSM,SUA,MUHAS halafu tuone wapi Kuna wabobezi.

° kwanza interview ya jeshi ni ngumu kwa kiasi gani? Utalinganisha ugumu wa interview Kama ya TRA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…