mahenda255
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 513
- 691
Watafatilia CCTV camera [emoji328] za benki na hata ukificha sura kuna vipimo maalumu vy a urefu wa mwili,umbo au hatua za miguu na hata unyayo wa miguuCommon mkuu,acha hadithi hii !,mimi nimetumia LMG kufanya uhalifu bank, nimedondosha hii silaha na Kuja kujificha huku lingusenguse, sasa niambie hizo finger prints zangu zita nilinks vipi na crime scene?
Achilia mbali hvyo vyote kuna DNA test kutoka kwenye siraha uloshika, maana lazima kuna maji maji kama jasho uliacha kwenye siraha au kitasa cha mlango ukuta na kadhalika...[emoji16] Hapo kumbuka bado finger print zako
Hapo wakikuhisi tu ni wewe wanaoanisha vipimo vyao na vyako ambavyo watachukua[emoji55][emoji55]kifuatacho utakuwa umepigwa ndoige kama sio sugunyooo