Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

Police wana lugha mbaya sana, waonevu sana na sio waelewa. wengi wanawaza rushwa tu muda wote na hata wakati mwingine kwa watu wanaofanya nao kazi huwa hawawaheshimu. kifupi polisi huwa sio wa kuwaamini, wote hata kama ni mtoto wako usimwamini,ni mtu anawea kukuchinjia baharini anytime. ndio maana wengi huwa hawaumii moyo kama polisi akitukanwa namna hii. wanaona poa tu. ni kutokana na matendo yao. ni tofauti kabisa na polisi wa mamtoni.
Ukilinganisha Polisi wa Tanzania na WA mamtoni unakosea sana .

Watanzania wenyewe hawafuati SHERIA kama WAmamtoni . Wananchi wengi ni Wahalifu na wanahamasishana kufanya uhalifu Wenzetu wanahamasishana kufuata SHERIA .

Polisi ni zao la jamii hii hii isiyo na maadili wala kutii SHERIA. HALIKADHALIKA Wanajeshi.

Jiulize kunasababu Gani ya kumtukana Mtu Kwa kosa ulilolifanya Mwenyewe. ?

Tukisema kuwa Wanajeshi wavunje SHERIA Kwa sababu Polisi ni wabaya basi tunatengeza Taifa la hovyo .
 
Pump it up! - best crypto pumps on telegram
Make 1000% and more within 1 day, join channel @pump_upp !
 
Wewe Akili zero JWTZ ndio linaongoza kwa wasomi sasa hivi JWTZ hauingii na division 4, police division zero na darasa la saba zipo za kutosha na bado wanaendelea kuchukua vihiyo

Ulimwelewa Simbachawene lakini?

Alisema Polisi inabidi wachukue Division 4 na form four kwa Sababu wasomi wamekuwa ni wengi na wanatakiwa kupandishwa vyeo kulingana na utaratibu wao Kwa sababu hiyo mwishowe watakosekana watu wakulinda Benki na mageti majukumu ambayo yanahitaji kuhitimu kozi za kiaskari na sio digrii za mambo mengine. Wakichukua mwenye division one anapopata kazi anasoma fasta anamaliza six na kwenda Chuo kikuu. Na SHERIA inataka apandishwe cheo. Akipandishwa cheo SHERIA inampa majukumu tofauti na yule asiye na cheo.
Mwishowe nani atafanya kazi za chini?
Simbachawene na hata Sumaye wasiendelee kuajiri wasomi sana mana wamezidi na wakati Mwingine kazi Wala haihitaji digree. Mfano ukijaza wahasibu na Wataalamu wa Kilimo Toka SUA ndani ya Polisi watalisaidia ni Nini zaidi Jeshi la Polisi zaidi ya kuwapandisha TU vyeo na kuwategemea Bado wale wa Darasa la Saba. Jambazi livamia mtaani kupambana nalo ni Kwa kutumia mbinu za kipolisi sio CPA au udaktari bingwa Bali namna ya kutumia upolisi.

Kinachotakiwa ni kuboresha mafunzo ya vyeo vyao na taaluma ili yaendane na wakati na utaalamu wa kisayansi kama mitandao na teknolojia na waachane na mambo ya kuimba usiku kucha wakiingia darasana wanakua wamechoka akili zinazidiwa.
Mambo ya hovyohovyo yawe Kwa rekruit TU zaidi ya hapo wawe wanasoma kama Wataalamu na viongozi watakaokwenda kuonyesha busara zao na ubunifu.

Jeshi la Wananchi Kwa mfumo wao Hakiwezi kuwa na Wasomi wengi wa nje ya masomo ya Kijeshi Kwa sababu wanaopiganisha vita ni Vijana wadogo. Mtu mpaka amalize digrii anakua Mzee hawezi Tena kwenda kuwa mtaalamu wa medani za kivita. Ndio maana unakuta wale wa digrii ni maafisa wataalam TU wa kawaida lakini hawana utaalamu wa mapigano. Hao hawana tija sana kwenye Majeshi labda wakati wa amani. Na huwezi ukawakuta kwenye vita kama Huko Kongo n.k. Vita sio kukariri kwenye makaratasi. Vita ni field.
Polisi inahitaji wasomi mana Haina mapigano zaidi ya mipango na kutoa Elimu Kwa jamii na blablaa kama wanasiasa. Polisi ni kama wanasiasa TU hasa wale wa vyeo vya juu.
 
Kuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.

Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".

Kwa utovu huu wa nidhamu uliooneshwa na askari wa JWTZ hatua za kinidhamu na kiutumishi zichukuliwe haraka sana dhidi ya huyu askari wa JWTZ ili kuendelea kulinda hadhi na heshima ya jeshi la wananchi.

View attachment 2482744
Unadhani ni jeshi ni utumishi kama kuajiriwa halmashauri au wizara ya mifugo?
 
Sasa umeridhika mwenzako kupoteza kazi.Huyo alilewa tu.Sasa subiri aanze kutumia taaluma ya kijeshi kutafuta Pesa atajuta kwanini hamkuvumilia Matusi
Hizo taarifa za kufukuzwa umezipata wapi mkuu?
 
ameingiliaje, fafanua, au ni ile kusimamishwa na traffick kama tulivyozoea namna wanavyoonea watu barabarani huko. kama Mungu amekujalia unamiliki gari, utakuwa unaelewa na kuwafahamu hawa viumbe. inawezekana askari wa jw alikasirika tu kutokana na traffick kumdharau wakati kicheo JW ni mkubwa kwake. tangu lini traffick police akamuonya JWTZ? tangu lini. si ndio kumkosea heshima hapo.kwanni asimwite nyau?
Mtu akivunja SHERIA za usalama barabara hua anawajibishwa kama Dereva alimradi alikua anaendesha gari au alikua anamlazimisha Dereva kuvunja SHERIA .
Serikali sio wajinga waliowapa TRAFIKI kazi ya kusimamia SHERIA za usalama Barabarani walijua wapo mpaka mawaziri. Lakini wakivunja SHERIA wakiwa wanaendesha watasimamishwa na kuelezwa kosa lao. Ina maana Mwanajeshi akilewa aachwe aendeshe gari mwendokasi na kuhatarisha maisha ya wengine Kwa sababu ya cheo chake. Gari linaua na kujeruhi ndio maana Tarafiki anadili na Dereva sio bosi Wala cheo Cha mtu.

Watanzania tuhamasishane kufuata SHERIA . Nchi hii Wahalifu wakiwa wengi kuliko wanaotii SHERIA Hali itakua ngumu kiusalama .
Kuna SHERIA za usalama barabarani zinapaswa kufutwa ili kupunguza kero na rushwa za kubambika Kwa Tarafiki .
SHERIA ndizo mbovu sio TRAFIKI. TRAFIKI wanafuata TU mkumbo wa SHERIA chakavu
 
Mamburula wote jeshini ndio wanaishia hivyo na wengine wameshastaafu,jeshi la sasa hivi ni la wasomi..sasa hivi huwezi kuingia JWTZ na division 4 kule wanaingia watu wenye taaluma zao.
Hauwezi kuwakwepa watu wa Elimu ya chini kwenye Majeshi acha ubishi . Jeshi linaenda Kwa order kutoka juu kwenda chini . Jeshi sio kama Shule ambapo kila Mwalimu ana Darasa na somo lake lakini wote Wana Elimu sawa.

Kuna Wataalamu wapo Jeshini lakini ni wachache . Nchi nyingine Wanajeshi wengi ni mashoga na watu wanaopenda sana pombe ili kupoteza Mawazo yao.
Hivi profesa atakubali kubaki Ukraine afie kwenye mahandaki eti anampigania mwanaume mwenzake akae madarakani.?

Wasomi wanakaa maofisini mkuu vita ikianza hao form na from six ndio waipiganaji. Usimdharau mtu mkuu . Hao wasiosoma Elimu ya juu ndio wanaokufanya unalala na kumwagilia moyo bila kubughudhiwa na Wahalifu wengine ,Unarudi nyumbani unaikuta familia yako Iko salama . Watu wanafanya shughuli na Sheree zao mpaka usiku wa manane bila kupigwa nondo na kunyanganywa mpaka wake zao.
Binafsi hua nawaheshimu Polisi hasa nikifika Benki kuchukua pesa nawaangalia na kuwapita Kwa heshima kubwa.

Yaani umchukue mtu mwenye masters akalinde geti nyumbani Kwa Sabaya.Au akalinde kaburi la Marehemu kule kwake ?

Kazi za ulinzi ni tofauti mkuu zinahitaji nidhamu zaidi sio vyeti vikubwa TU.
 
Watafatilia CCTV camera [emoji328] za benki na hata ukificha sura kuna vipimo maalumu vy a urefu wa mwili,umbo au hatua za miguu na hata unyayo wa miguu
Achilia mbali hvyo vyote kuna DNA test kutoka kwenye siraha uloshika, maana lazima kuna maji maji kama jasho uliacha kwenye siraha au kitasa cha mlango ukuta na kadhalika...[emoji16] Hapo kumbuka bado finger print zako
Hapo wakikuhisi tu ni wewe wanaonisha vipimo vyao na vyako ambavyo watachukua[emoji55][emoji55]kifuatacho utakuwa umepigwa ndoige kama sio sugunyooo
Blah blah blah, cctv my foot,hizo finger prints wataenda ku run wapi?wakati nchi haina database ya raia wake?,systems za so called NIDA haziongei na immigrations!!!,ndio maana ukienda kuomba passport eti wanakuambia uje na kitambulisho cha NIDA!!systems za immigrations ni lazima ziwe na informations zako kama unacho, mkuu hii ni blah blah za kisiasa, foresinc bado sana ndani ya police yetu...DNA loooooo ipo wapi Lab ya police hapa nchini?
 
Mfumo wa kiulinzi wa Nchi hii ni tofauti sana na unavyofikiri mkuu.

Perception ya wanasiasa na malengo yao mara nyingi yamesababisha Polisi kazi yao kubwa wanayofanya isitambuliwa na KUONEKANA KUWA hawana maana Wala umuhimu wowote kwenye jamii.

Lakini ukweli ni kuwa Polisi wanafanya kazi kubwa sana kwenye nchi yenye amani
pumba tupu
 
Foresinc, IT,na upelelezi looooooo, honestly mkuu hivi vitengo tunavyo ndani ya jeshi letu la police?,police hata to secure a crime scene ni shida, police anafika kwenye eneo lililotokea ajali hajui aanzie wapi (elewa kuna procedures zake),ngoja niendelee kupata mbeta za ulanzi hapa lingusenguse
Tofautisha ajali za kwenye makaratasi na uzoefu.
Naamini kuwa walishavisoma hivyo vyote unavvyosema. Haiwezekani wewe ukavijua halafu wenye vitengo wao wasifundishwe na wamewekewa na serikali yenye Wataalamu wa kazi hizo .
Yaani wapelekwe kusomea upelelezi halafu wasifundishwe hizo procedure. Duuh,watanzania Wana roho mbaya na chuki na kudharau sana vya kwao.
Ukienda Kenya ,Uganda, Burundi, Zambia, Malawi, Msumbiji, Kongo, n.k watu wao wanawasifia sana Polisi wa Tanzania kuwa ni wastarabu sana ukilinganisha na WA kwao. Hilo ni wazi ,majirani zetu Wana mapolisi wakorofi sana kuliko Tz.Hata amani tuna amani zaidi. Kama huamini Polisi basi jaribu kujihusisha na uhalifu.

Hao uanaowasifia sio kwamba wanauwezo zaidi Bali wanateknolojia kama Kamera kupima DNA nk.
Vifaa
Mfano ikitokea ajali ni rahsi sana kama Kuna Kamera Barabarani. Procedure bila ni. tatizo
 
Mtu akivunja SHERIA za usalama barabara hua anawajibishwa kama Dereva alimradi alikua anaendesha gari au alikua anamlazimisha Dereva kuvunja SHERIA .
Serikali sio wajinga waliowapa TRAFIKI kazi ya kusimamia SHERIA za usalama Barabarani walijua wapo mpaka mawaziri. Lakini wakivunja SHERIA wakiwa wanaendesha watasimamishwa na kuelezwa kosa lao. Ina maana Mwanajeshi akilewa aachwe aendeshe gari mwendokasi na kuhatarisha maisha ya wengine Kwa sababu ya cheo chake. Gari linaua na kujeruhi ndio maana Tarafiki anadili na Dereva sio bosi Wala cheo Cha mtu.

Watanzania tuhamasishane kufuata SHERIA . Nchi hii Wahalifu wakiwa wengi kuliko wanaotii SHERIA Hali itakua ngumu kiusalama .
Kuna SHERIA za usalama barabarani zinapaswa kufutwa ili kupunguza kero na rushwa za kubambika Kwa Tarafiki .
SHERIA ndizo mbovu sio TRAFIKI. TRAFIKI wanafuata TU mkumbo wa SHERIA chakavu
kwanini raia wanajiona wapo salama wakiwa karibu na jwtz kuliko police wakati police ndio wanahusika na usalama wa ndani?
 
Tofautisha ajali za kwenye makaratasi na uzoefu.
Naamini kuwa walishavisoma hivyo vyote unavvyosema. Haiwezekani wewe ukavijua halafu wenye vitengo wao wasifundishwe na wamewekewa na serikali yenye Wataalamu wa kazi hizo .
Yaani wapelekwe kusomea upelelezi halafu wasifundishwe hizo procedure. Duuh,watanzania Wana roho mbaya na chuki na kudharau sana vya kwao.
Ukienda Kenya ,Uganda, Burundi, Zambia, Malawi, Msumbiji, Kongo, n.k watu wao wanawasifia sana Polisi wa Tanzania kuwa ni wastarabu sana ukilinganisha na WA kwao. Hilo ni wazi ,majirani zetu Wana mapolisi wakorofi sana kuliko Tz.Hata amani tuna amani zaidi. Kama huamini Polisi basi jaribu kujihusisha na uhalifu.

Hao uanaowasifia sio kwamba wanauwezo zaidi Bali wanateknolojia kama Kamera kupima DNA nk.
Vifaa
Mfano ikitokea ajali ni rahsi sana kama Kuna Kamera Barabarani. Procedure bila ni. tatizo
Umenitajia nchi ambazo nimejaaliwa kufika, nimeona na hadithi tuache, nchi hii inabidi tuache blah blah, hakuna systems ,nijibu Foresinc Lab ya police ipo wapi hapa nchini?,why ukienda immigration wanakutaka uende na NIDA ya nini,,look out kwa zambia in 3yrs itakuwa nchi super, nipe facts kujibia hoja yangu sio politics, jeshi letu tulitengeneze upya, hadi leo Highways zetu hazina CCTV, hazina hata one fixed speed cameras, na pia hiyo DNA watarun wapi???
 
Hauwezi kuwakwepa watu wa Elimu ya chini kwenye Majeshi acha ubishi . Jeshi linaenda Kwa order kutoka juu kwenda chini . Jeshi sio kama Shule ambapo kila Mwalimu ana Darasa na somo lake lakini wote Wana Elimu sawa.

Kuna Wataalamu wapo Jeshini lakini ni wachache . Nchi nyingine Wanajeshi wengi ni mashoga na watu wanaopenda sana pombe ili kupoteza Mawazo yao.
Hivi profesa atakubali kubaki Ukraine afie kwenye mahandaki eti anampigania mwanaume mwenzake akae madarakani.?

Wasomi wanakaa maofisini mkuu vita ikianza hao form na from six ndio waipiganaji. Usimdharau mtu mkuu . Hao wasiosoma Elimu ya juu ndio wanaokufanya unalala na kumwagilia moyo bila kubughudhiwa na Wahalifu wengine ,Unarudi nyumbani unaikuta familia yako Iko salama . Watu wanafanya shughuli na Sheree zao mpaka usiku wa manane bila kupigwa nondo na kunyanganywa mpaka wake zao.
Binafsi hua nawaheshimu Polisi hasa nikifika Benki kuchukua pesa nawaangalia na kuwapita Kwa heshima kubwa.

Yaani umchukue mtu mwenye masters akalinde geti nyumbani Kwa Sabaya.Au akalinde kaburi la Marehemu kule kwake ?

Kazi za ulinzi ni tofauti mkuu zinahitaji nidhamu zaidi sio vyeti vikubwa TU.
No no no mkuu, ndio maana nchi hii bado sana na inachangiwa na generation kama hii ya kwako
 
I wish asifukuzwe kazi apewe adhabu ndogo tu na itakuwa hivyo najua maana vitu vingi vya kiserikali tunafichwa maana ni siri Na hamuwezi kujua au kuona amefukuzwa au laaah

Na Kama amefukuzwa mtegemee lundo la majambazi likiongezeka mitaani maana hakuna ujinga tupu bila faida ukiona chizi mtaani ujue aliwahi kumuibia mtu au kumtukana mtu mzima bila sababu na ujinga wake ndio uliomponza akapata zawadi ya uchizi
 
Back
Top Bottom