1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Ukilinganisha Polisi wa Tanzania na WA mamtoni unakosea sana .Police wana lugha mbaya sana, waonevu sana na sio waelewa. wengi wanawaza rushwa tu muda wote na hata wakati mwingine kwa watu wanaofanya nao kazi huwa hawawaheshimu. kifupi polisi huwa sio wa kuwaamini, wote hata kama ni mtoto wako usimwamini,ni mtu anawea kukuchinjia baharini anytime. ndio maana wengi huwa hawaumii moyo kama polisi akitukanwa namna hii. wanaona poa tu. ni kutokana na matendo yao. ni tofauti kabisa na polisi wa mamtoni.
Watanzania wenyewe hawafuati SHERIA kama WAmamtoni . Wananchi wengi ni Wahalifu na wanahamasishana kufanya uhalifu Wenzetu wanahamasishana kufuata SHERIA .
Polisi ni zao la jamii hii hii isiyo na maadili wala kutii SHERIA. HALIKADHALIKA Wanajeshi.
Jiulize kunasababu Gani ya kumtukana Mtu Kwa kosa ulilolifanya Mwenyewe. ?
Tukisema kuwa Wanajeshi wavunje SHERIA Kwa sababu Polisi ni wabaya basi tunatengeza Taifa la hovyo .