Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

Acha kiherehere wewe paka
 
Polisi alikuwa anamuonya dereva lkn yule JWTZ kwa kimbelembele chake tu akaingilia
Alikuwa anamuonya kwa kosa gani? Kuna siku nilikuwa naenda Kigoma nikakaa siti nyuma ya dereva dirishani, aisee hawa trafiki police mpaka walinichukia kwa jinsi nilivyokuwa nawatolea macho na simu yangu tayari kuwapiga picha wakipewa rushwa!! Mpaka dereva na konda wake walinipa ofa ya chakula tuliposimama hotelini maana siku hiyo rushwa haikutoka kabisa. Sijawahi kuwaamini police kwenye kazi zao maana 80 % wanasimamisha magari ili wapate mlungula
 
Ilikuwa zamani hiyo mkuu. Polis siku hizi wengi ni degree holders. Lkn jeshini Kuna mijtu imejiunga juzi tu hapa eti kisa ina nguvu za kunyanyua vyuma
Degree holders mbona hata PGO wengi hawaijui? Kama wamesoma mbona hakuna any transformation yoyote kwenye hilo jeshi?
 
Wale wanaotafuta fingerprints kwenye kifaa kilichotumika kwenye mauaji wamesoma forensic chemistry mkuu
Forensic ipi wakati mara nyingi utasikia marehemu amekufa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali? Au ameuwawa/kupigwa risasi na wasiojulikana?
 
Poti ni mlezi , hapo kuna kitu huyo Police kajichanganya, Staff sergeant anajielewa na ki protocol akiitwa na kamanda anaenda anatembea na fimbo yake, ila huyo dogo police bado mwendo wa mbwa na kufyeka vichaka vya jeshini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti paka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…