green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Acha kiherehere wewe pakaKama ndio kanuni basi upuuzi mtupu huu. Nchi haiwezi kupiga hatua kwa kuingiliana majukumu. Kila mtu abaki na section yake. Huyo JWTZ asulubiwe kama watumishi wengine ili kujenga nidhamu na heshima kwa wafanyakazi wengine bila kujali cheo alichonacho. Kwasababu mfano hapo ikitokea ajali lawama kwa askari wa usalama barabarani wakati kumbe kuna mpuuzi mmoja kwasababu et ni JWTZ.