Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

Sasa paka ni tusi? Anyway kwasababu aliyeandika uzi moja kwa moja ni raia kwahyo ni haki yako kushauri usichokijua
 
Mi sijaulizia umuhimu, nimeulizia ukubwa wa kazi.
Au unataka kuniambia kazi ya mbunge kubamiza meza bungeni ni sawa na ya mwalimu kucheza na chaki?
 
bila polisi hakuna maduka mabasi mabenki bila jeshi hakuna mipaka wote wako vizuli
Mipakani si kuna wanajeshi % ndogo sana wengi wapo humu kambini bara.....Kwamfano wale wajeda pale Lugalo wana kazi gani?
 
Nimeiona hii video askari amemvumilia sana mm basi zima ningeenda nalo police then from ther ndo ningeona huyu mwamba kalalia wapi
Kinidhamu askari wa barabarani kakosea!

Huyo askari wa barabarani ni PC mwanajeshi ni staff serjeant. Askari wa barabarani hawezi kumuonya mwanajeshi kwa sababu ki protokali (yaani ngazi za kicheo) staff serjeant ni kiongozi wake.

Angemuita pembeni azungumze naye si kumuonya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…