Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Ulikuwemo ndani ya daladala?Polisi alikuwa anamuonya dereva lkn yule JWTZ kwa kimbelembele chake tu akaingilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwemo ndani ya daladala?Polisi alikuwa anamuonya dereva lkn yule JWTZ kwa kimbelembele chake tu akaingilia
Tangu lini PC akamuonya Staff Sergeant?Lkn ktk hili polisi kaonewa.
Kumbuka abiria wameshihidia kila kituLkn polisi alikuwa hamkagui huyo JWTZ. Kiherehere chake tu.
Yani mtu afutwe kazi kisa clip hiyo tu?? Hawajanasana hata vibao?? Hilo no suala la kimaadili litashughulikiwa huko huko ndani kwa ndani. Tena yule askari pia hana nidhamu, jeshini sio ulingo wa kisiasa wa cheo cha chini huwezi kufanyia mambo ya kimfedhehesha wa ngazi ya juu, hasa mbele za watu.Kuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.
Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".
Kwa utovu huu wa nidhamu uliooneshwa na askari wa JWTZ hatua za kinidhamu na kiutumishi zichukuliwe haraka sana dhidi ya huyu askari wa JWTZ ili kuendelea kulinda hadhi na heshima ya jeshi la wananchi.
View attachment 2482212
Mh sio kweli, sio jeshi la siku hizi, labda hao polisi ila jeshi siku hizi wanasoma sanaInasemekana polisi ni wasomi kuliko JWTZ.
JWTZ wengi ni mbumbumbu
Mambo ya Kijeshi Huyu Trafic alitakiwa Kuheshimu Mkuu wake ambae ni Mjenda Staff Sergeant....Lugha za kijeshi hizo hata samia ana jina la mnyama, wapo faru, tembo, poongo na huyo dogo mjeshi ni paka anampa mkwara panya!
Niutovu wa nidham constebo wa polisi kumzingua jwtz.
Naomba popote ukiona jwtz Afutwe
Kwani yeye ndio wa kwanza kufanya kazi?Good! Yaani mtu yupo kazini mnamtilia kibesi??
Hapana. Huyu alikuwa kazini. JWTZ yeye ndiye aliyevurugwa akiliAfutwe kunguru mweupe,mporaji wa barabarani🤔,
Wote wanaanzia JKT..kwa sifa zinazohotajika.Ilikuwa zamani hiyo mkuu. Polis siku hizi wengi ni degree holders. Lkn jeshini Kuna mijtu imejiunga juzi tu hapa eti kisa ina nguvu za kunyanyua vyuma
Kila moja kazi yake Ni muhimu ktk kujenga nchi hii, hakuna mwenye kazi kubwa kuliko mwingine. JW wasijione wao ni watu muhimu kuliko watanzania wengineHivi kati ya JWTZ na Polisi kina nani wanafanya kazi kubwa hapa nchini?
Hapana. Haya hayafanyiki Kenya.Nenda kenya kajifunze jeshi lao wanaishi vip... Wakiingia hata super market tu raia woote wanatoka nnje wakimaliza ndio mnaingia....
Mmh! Hapana. Hizi ni kada 2 tofauti. Ukubwa wa JWTZ hauhusiki kwa kazi ya polisi traffic.Kinidhamu askari wa barabarani kakosea!
Huyo askari wa barabarani ni PC mwanajeshi ni staff serjeant. Askari wa barabarani hawezi kumuonya mwanajeshi kwa sababu ki protokali (yaani ngazi za kicheo) staff serjeant ni kiongozi wake.
Angemuita pembeni azungumze naye si kumuonya.
Wamefukua Kaburi?Hii video ni ya siku nyingi, why now?
Acha kupotosha umma wewe, ajaribu aone kama atatoboa. Au unadhani yeye ndiyo atakuwa wa kwanza kuchomolewa kundini?Sasa umeridhika mwenzako kupoteza kazi.Huyo alilewa tu.Sasa subiri aanze kutumia taaluma ya kijeshi kutafuta Pesa atajuta kwanini hamkuvumilia Matusi
Acha mikwaraSasa umeridhika mwenzako kupoteza kazi.Huyo alilewa tu.Sasa subiri aanze kutumia taaluma ya kijeshi kutafuta Pesa atajuta kwanini hamkuvumilia Matusi
Naunga mkono hoja,anaweza asifutwe kazi ila akapewa adhabu nyingineKuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi.
Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe".
Kwa utovu huu wa nidhamu uliooneshwa na askari wa JWTZ hatua za kinidhamu na kiutumishi zichukuliwe haraka sana dhidi ya huyu askari wa JWTZ ili kuendelea kulinda hadhi na heshima ya jeshi la wananchi.
View attachment 2482212