Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Kipenda roho babuu
Unataka wawe wanafanya ujinga halafu waendelee kuchekewa chekewa, umesahau hata magufuli alisema na yeye hapati raha kwa mke wake, ni mwendo wa kupambana tu.Dada zetu muwe mnaangalia na watu wa kuolewa nao kuna makabila sio.
Usiusemee moyo wa mtu BabuuuUnazani ni kiivyo basi?!
Yeye huyo Mwanaume mwanajeshi kuna uwezekano mkubwa kuwa alikuwa Na michepuko chungu nzima [emoji108][emoji108][emoji108]
Lakini kisha wanajidai wana wivu wivu gani huo kama siyo ukorofi ulopitiliza?
It is not fair kabisa!
Vumilia kidogo bado teuzi zinaendeleaKitu kunachoitwa karma, hakina mswalie Mtume!. Kila mtu atahukumiwa kwa Matendo yake.
P
Ubinafsi huo, kaua mke, akajiua, bila kufikiria hawa watoto watatu watatunzwa na nani?? Bila mapenzi na malezi ya wazazi....😠
Sooo sad!
Pia doa stigma na psychological trauma aliyowaachia watoto, Mungu amuweke panapostahili.
Everyday is Saturday............................... 😎
Unataka wawe wanafanya ujinga halafu waendelee kuchekewa chekewa, umesahau hata magufuli alisema na yeye hapati raha kwa mke wake, ni mwendo wa kupambana tu.
92 kj ni kikosi cha makomandoo...inamaana jamaa alikua ni comandoo
Komandoo gani anapiga mke. Makomandoo Wana maadili usipime. Sana sana alikua mpishi.92 kj ni kikosi cha makomandoo...inamaana jamaa alikua ni comandoo
Mbona magufuli amekuwa mvumilivu siku zoteSawa mwisho wake ndo huo..
Jela au kujiua mwenyewe.
Akili kichwani kwako.
Ni askari mwenzetu wa NgerengereKomandoo Uchwara.
Mbona magufuli amekuwa mvumilivu siku zote
Mjeshi ni mdhaifu tu huyu wa mapenziWanawake wa kumwaga wa kila aina !
Mwanamke au Mwanaume anakukosesha amani na raha ya nafsi si bora uachane naye?!
Maimivu ya mapenziMvumilivu kwenye nini?
Ameshindwa kuushinda moyoMaimivu ya mapenzi
Huyu ilibidi aje humu jf jukwaa lile la warembooo wakali angekutana na watoto wakali[emoji23][emoji23][emoji23]Vumilia kidogo bado teuzi zinaendelea
Mtu mwenyewe mzee Sahiv, Hana pesa, nan anamtakaHuyu ilibidi aje humu jf jukwaa lile la warembooo wakali angekutana na watoto wakali[emoji23][emoji23][emoji23]
Angeendelea na maisha
Ova
Embu jaribu uje uonje penzi langu halafu nikupige chini tuone kama hitojitundikaHuu Ujinga STAKI kusikia, Yaani nijiue sababu ya Mwanamke !!!
Nyama choma na bia namwachia Nani?? Na watoto wangu wabaki yatima!! Wanawake wote Hawa!!
Asee Ni wakati wa Jeshi kuajiri wataalam wa Guidance & Counseling. Vijana wengi wanakosa muda tulivu wa kutafakari.
Na tabia nyingi za Hawa wanajeshi wa chini Ni kujitenga tenga na watu wao wa karibu, wanarishana matango pori wakiwa lindoni.