Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Umesahau sheria waliyopitisha awamu ya 5? Alikuwa nayo mtu mmoja ila awamu ya 5 ikaingiza wengine wasishitakiwe nao including PM ,SABUFA etcSasa hiyo immunity anayo mtu mmoja tu[emoji23][emoji23]
Wengine wana baadhi tu tena chache mnoo.
Yaani CAG na kutotenguliwa
Chief judge naye kutotenguliwa.
Sasa hawa wengine dah
Huyo jamaa asipoangalia anaweza kupoteza kazi kimchezo mchezo
Halafu miaka 36 coplo ni either muajiriwa wa Juzi juzi au ni mtukutu huko jeshini kwao
Umesahau sheria waliyopitisha awamu ya 5? Alikuwa nayo mtu mmoja ila awamu ya 5 ikaingiza wengine wasishitakiwe nao including PM ,SABUFA etc
Amini nakwambia tabia za kihuni mtu hawi nazo kwa ghafla,huyu hata huko kazini anaonekana ni mtu wa hovyo.asiyeheshimu hata kazi yake.
Maana huwezi kuwa na heshima kwa kazi yako ukadharau kazi ya mwingine.
Hivi Cpl si coplo huyu ni mtu mdogo sana kivyeo
Sasa ushuke mpaka ukamkute cpl wa jeshi.
Ni leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Asilimia 80 ya wenye magari na biashara kubwa wamekopaJinga sana hilo jamaa. Hiyo Nissan pia nina hakika ni ya mkopo
Kuna mdau kaandika kuwa tatizo ni hawa wanajeshi wa vyeo vya chini (NCOs).shida tunataka kuheshimiwa vyeo au mamlaka yetu.
V2, nakumbuka Afisa mmoja wa JW alisema, hivi vikoplo usivione hivi, vikisikia kwenda mstari wa mbele vinajinyea hiviAna V
JWTZ, TCRA, wamejaa nyoka wengi mno
- Mjeshi mwenye Cheo Gani? Na Elimu Gani?
- Dunia ya Sasa ni akili sio nguvu, unadhani ukivaa sare zako utawatisha maofisa wenye pesa zao wa TCRA, eGA nk?
MtakatifuMT ni kifupi cha nini
Umezaliwa jeshin, Hadi Leo unaandika hapa upo kambini, bado unawaita washamba na hawana pesa!!?Unaita watu takataka ? Mimi nimezaliwa jeshini na ninaandika hapa nikiwa kambini, hawana pesa
Angekuwa na pesa asingeendesha hilo li Nissan la miaka ya 90
Za ndani ndani mama wore anawarudisha huko walikotokaJWTZ, TCRA, wamejaa nyoka wengi mno
Anaponda kumbe bado analishwa na hao anaowaponda😂😂😂 atakuwa analala sebuleni huyuUmezaliwa jeshin, Hadi Leo unaandika hapa upo kambini, bado unawaita washamba na hawana pesa!!?
kama kuna vita huko anAkokimbilia acheleweshwe kupita na trafiki? askari anaishi uraiani anawahi kambini kwake asimamishwe tena na mtaka hela ya kubrush viatu! vyombo vya dola viheshimianeJWTZ bado baadhi wana ushamba sana, gari lenyewe la miaka ya 90 ndio anafanyia watu dharau
Ulimbukeni tu,haya maisha ukikaa utafakari ndio maana baadhi ya watu hawapewi maisha mazuri, Mungu anajuaga kabisa
VawulensiFicha aibu ndogo ndogo dogo,posho ya chakula laki tatu isikufanye ukadhani una maisha,wewe bado ni kenge tu nchi hii.
Kazaliwa kambini na Sasa yeye mwenyewe ni mabaka ila kaeleza ukweli.Umezaliwa jeshin, Hadi Leo unaandika hapa upo kambini, bado unawaita washamba na hawana pesa!!?
😂Hii comment umeandika ukiwa mzima Mkuu ? ,Vitani anaenda na private tena akiwa na nguo za raia ? Jeshini vita/emergency hutangazwa kwa kulizwa king'ora ndipo askari wote kambini huenda sehemu maalumu ya kukusanyika na kupewa amri,so hapo kama kungekuwa na vita angepata wapi taarifa ? Kukiwa na vita askari hapigiwi simukama kuna vita huko anAkokimbilia acheleweshwe kupita na trafiki? askari anaishi uraiani anawahi kambini kwake asimamishwe tena na mtaka hela ya kubrush viatu! vyombo vya dola viheshimiane