Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

Cpl international rank hahaha, sikilizeni raia, Huyo aliyezingua ni yeye na mambo yake kwahiyo Sheria zitamchukua ila mambo mengi mliyo discuss humu kwa mihemuko sio kweli.

Haifai mkageneralize kwa wote katika jeshi kwasasa kiwango kikubwa sana kuna limebadilika, Kuna (JUZUU YA PILI) kumkuta mwanajeshi asiye na nidhamu ni hawa wadogo zenu wanaoingizwa jeshini kwa nguvu za wanasiasa wenu na matoto ya wakubwa zaidi ambayo yamebewa bebwa tu yasiyofata utaratibu kisa ana mwenye mabega yake mazito, ndo yanaletaga huu usela mavi.

Halafu pia Mwanajeshi akisema yeye sio raia anamaanisha utofauti wa Civilian na Citizen sitaki kubishana na mtu hapa pata muda kuyatofautisha hayo maneno mawili.
 
Elimu ndo upumbavu gani wewe, na elimu yako hiyo hata iwe kubwa vipi ni takataka kwa askari yoyote Tanzania
Kweli Duniani watu wawili wawili,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe Akili yako na fikra zako, Kama za mjomba wangu huko kijijini! Yeye anaamini kazi inayolipa ni jeshi tu, Sasa Baada ya mdogo wangu, kuajiriwa kama WEO,akajilipua nmb 30m akachukua rava4, New model,chenji kaanzishia boma,[emoji137][emoji137][emoji137] nikaitwa nimuonye,eti atakua anakula rushwa, Sasa nikiona imani uliyonayo kwa wajeda, utahisi wako peponi,govt salary scales zinatofautiana kwa kidogo Sana,ila Majeshi yote yako subsidized in housing,foods, [emoji482] Mpaka wakiagiza magari,wanapunguziwa!
 
Elimu ndo upumbavu gani wewe, na elimu yako hiyo hata iwe kubwa vipi ni takataka kwa askari yoyote Tanzania
Sawa kuruta, court martial inakusubiri kule juu lugalo,utupwe ndani,halafu usafishe bustani zote pale area C[emoji24][emoji24]
 

Ni kweli mkuu ,ambao hawana nidhamu ni hao uliowataja,mwanajeshi anamaanisha kwamba yeye sio civilian hahaa ila kiswahili chake ni kipi? Civilian na citizen kiswahili chao ni kipi?
 
Ni kweli mkuu ,ambao hawana nidhamu ni hao uliowataja,mwanajeshi anamaanisha kwamba yeye sio civilian hahaa ila kiswahili chake ni kipi? Civilian na citizen kiswahili chao ni kipi?
NdanI ya kamusi ya kijeshi Civilian ni
ci·vil·ian
nonsoldier: a citizen who is not a member of the armed forces
® 2009. © 1993-2012 M. DF. All rights reserved.
 
Ok una hasira kuzidiwa elimu kumbe,kusoma Sana ni uamuzi wa mtu,so wewe kumuajiri alokuzidi elimu haikufanyi bora,umemzid visent ukamwajiri na yeye kakuzid elimu,ngoma droo.
Atakuelewa Basi?shida ya huyo mjinga ni Elimu za watu, Every one can have money but not everyone can be educated,as long as education is scarce and limited in supply, over time you can't go back to school, Lakini hata mzee wa miaka 79, anaweza kuwa tajiri
 
  • Mjeshi mwenye Cheo Gani? Na Elimu Gani?
  • Dunia ya Sasa ni akili sio nguvu, unadhani ukivaa sare zako utawatisha maofisa wenye pesa zao wa TCRA, eGA nk?
Kuna kuwa na pesa na kuwa na mamlaka ni vitu viwili tofauti kwenye nchi hii wanajeshi na polisi ni watu waliopewa mamlaka makubwa sana kwenye hii nchi[emoji1672]huyu anayefananisha mishahara ya watu wa kada tofauti anakosea sana mie naamini katika watu ambao wangefaa wapewe mishahara mikubwa ni hawa wenye jukumu la kutulinda maana wameapa kufa kwaajiri ya maisha yako wewe unaejigamba na kuwabeza kwa adhari makamanda wetu
Inasikitisha sana raia anaponda na kulisema vibaya jeshi sababu tu una amani ambayo hujui nani anaipambania
Jaribuni kuwaheshimu askari wetu hata kama kuna makosa yanatokea kumbuka na yeye ni binadamu[emoji850]
Fatilieni kwa makini jinsi askari wa ukrane wanavyopambania nchi yao [emoji3064]
 
Private analipwa laki tano😁
 
Acha makasiriko nlikuwa nachombeza chief
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Basi ndio ujue wanakula hela Mbuzi na mbaya zaidi majority wanaishi maporini huko, hata Chai hainogi.

Huoni hata raha ya kuwa na hela, ndio maana wanaishia kwenye ulevi. Serikali lazima iwe na system sahihi ya kufanya uhamisho wa hawa askari kila baada ya miaka 3, iwe ni utaratibu wa kawaida, sio mtu anakaa miaka na miaka sehemu moja kama yupo HALMASHAURI bhana.
 
WANALIPWA MISHAHARA, kama vipi waache hiyo kazi.
 
Amekana mashitaka? Hakuna aliyekuwa na Ile video mahakamani, muda unapotezwa tu kwa kuahirisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…