King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Unajua mshahara ngazi ya ofisa wew kuanzia nyota moja ww
Mshahara ni siri ya mtu mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua mshahara ngazi ya ofisa wew kuanzia nyota moja ww
Sijui hiyo nidhamu wanayofundishwa huko makambini iko waaaàpi hao ndo wanapachikwa na ndugu zaoHuyu mwanajeshi ni mshamba sana,inaonekana pia elimu ndogo sana imechangia hiyo tabia yake
Kweli Duniani watu wawili wawili,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe Akili yako na fikra zako, Kama za mjomba wangu huko kijijini! Yeye anaamini kazi inayolipa ni jeshi tu, Sasa Baada ya mdogo wangu, kuajiriwa kama WEO,akajilipua nmb 30m akachukua rava4, New model,chenji kaanzishia boma,[emoji137][emoji137][emoji137] nikaitwa nimuonye,eti atakua anakula rushwa, Sasa nikiona imani uliyonayo kwa wajeda, utahisi wako peponi,govt salary scales zinatofautiana kwa kidogo Sana,ila Majeshi yote yako subsidized in housing,foods, [emoji482] Mpaka wakiagiza magari,wanapunguziwa!Elimu ndo upumbavu gani wewe, na elimu yako hiyo hata iwe kubwa vipi ni takataka kwa askari yoyote Tanzania
Sawa kuruta, court martial inakusubiri kule juu lugalo,utupwe ndani,halafu usafishe bustani zote pale area C[emoji24][emoji24]Elimu ndo upumbavu gani wewe, na elimu yako hiyo hata iwe kubwa vipi ni takataka kwa askari yoyote Tanzania
Cpl international rank hahaha, sikilizeni raia, Huyo aliyezingua ni yeye na mambo yake kwahiyo Sheria zitamchukua ila mambo mengi mliyo discuss humu kwa mihemuko sio kweli, Haifai mkageneralize kwa wote katika jeshi kwasasa kiwango kikubwa sana kuna limebadilika, Kuna (JUZUU YA PILI) kumkuta mwanajeshi asiye na nidhamu ni hawa wadogo zenu wanaoingizwa jeshini kwa nguvu za wanasiasa wenu na matoto ya wakubwa zaidi ambayo yamebewa bebwa tu yasiyofata utaratibu kisa ana mwenye mabega yake mazito, ndo yanaletaga huu usela mavi. Halafu pia Mwanajeshi akisema yeye sio raia anamaanisha utofauti wa Civilian na Citizen sitaki kubishana na mtu hapa pata muda kuyatofautisha hayo maneno mawili.
NdanI ya kamusi ya kijeshi Civilian niNi kweli mkuu ,ambao hawana nidhamu ni hao uliowataja,mwanajeshi anamaanisha kwamba yeye sio civilian hahaa ila kiswahili chake ni kipi? Civilian na citizen kiswahili chao ni kipi?
|
Atakuelewa Basi?shida ya huyo mjinga ni Elimu za watu, Every one can have money but not everyone can be educated,as long as education is scarce and limited in supply, over time you can't go back to school, Lakini hata mzee wa miaka 79, anaweza kuwa tajiriOk una hasira kuzidiwa elimu kumbe,kusoma Sana ni uamuzi wa mtu,so wewe kumuajiri alokuzidi elimu haikufanyi bora,umemzid visent ukamwajiri na yeye kakuzid elimu,ngoma droo.
Ni Below 2M sema kingine wewe Mbugila.Unajua mshahara ngazi ya ofisa wew kuanzia nyota moja ww
Wanajeshi hawahawa wanaopamga vyumba viwili na sebure😁😁😁Wanajeshi wana maisha mazuri kuliko takataka yoyote Tanzania. Tatizo linakuja unavyoyatazama wewe
Kuna kuwa na pesa na kuwa na mamlaka ni vitu viwili tofauti kwenye nchi hii wanajeshi na polisi ni watu waliopewa mamlaka makubwa sana kwenye hii nchi[emoji1672]huyu anayefananisha mishahara ya watu wa kada tofauti anakosea sana mie naamini katika watu ambao wangefaa wapewe mishahara mikubwa ni hawa wenye jukumu la kutulinda maana wameapa kufa kwaajiri ya maisha yako wewe unaejigamba na kuwabeza kwa adhari makamanda wetu
- Mjeshi mwenye Cheo Gani? Na Elimu Gani?
- Dunia ya Sasa ni akili sio nguvu, unadhani ukivaa sare zako utawatisha maofisa wenye pesa zao wa TCRA, eGA nk?
Acha makasiriko nlikuwa nachombeza chiefNi Below 2M sema kingine wewe Mbugila.
Private analipwa laki tano😁
- huyo private wa Jeshi ana kitu gani Cha Maana kulinganisha na mabosi wa eGA TCRA, EWURA, LATRA, TRA? Ana IQ kubwa au anatumia nguvu nyingi badala ya akili nyingi kwenye kufanya mambo?
- hebu tuambie kitu Gani Cha Maana kinachomfanya Private ambaye ni form four failure (most of them) kumzidi hadhi mabosi na maofisa wa EWURA, LATRA, eGA, TCRA?
- hivi unajua salary na allowance za hao maofisa niliokutajia wanaweza kuwalipa private hata 5 ? That is Salary scale ya ofisa mmoja wa EWURA anaweza kuwalipa private 5?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Basi ndio ujue wanakula hela Mbuzi na mbaya zaidi majority wanaishi maporini huko, hata Chai hainogi.Acha makasiriko nlikuwa nachombeza chief
WANALIPWA MISHAHARA, kama vipi waache hiyo kazi.Kuna kuwa na pesa na kuwa na mamlaka ni vitu viwili tofauti kwenye nchi hii wanajeshi na polisi ni watu waliopewa mamlaka makubwa sana kwenye hii nchi[emoji1672]huyu anayefananisha mishahara ya watu wa kada tofauti anakosea sana mie naamini katika watu ambao wangefaa wapewe mishahara mikubwa ni hawa wenye jukumu la kutulinda maana wameapa kufa kwaajiri ya maisha yako wewe unaejigamba na kuwabeza kwa adhari makamanda wetu
Inasikitisha sana raia anaponda na kulisema vibaya jeshi sababu tu una amani ambayo hujui nani anaipambania
Jaribuni kuwaheshimu askari wetu hata kama kuna makosa yanatokea kumbuka na yeye ni binadamu[emoji850]
Fatilieni kwa makini jinsi askari wa ukrane wanavyopambania nchi yao [emoji3064]
Maarufu kama baba kantuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui hiyo nidhamu wanayofundishwa huko makambini iko waaaàpi hao ndo wanapachikwa na ndugu zao
Amekana mashitaka? Hakuna aliyekuwa na Ile video mahakamani, muda unapotezwa tu kwa kuahirisha.Habari zenu ndugu,
Kutoka Dar, askari wa JWTZ apandishwa Kizimbani Kwa Kukaidi Amri Halali ya Askari Trafiki wakati akitekeleza Wajibu wake.
Hii safi sana, lazima ieleweke kwamba utii wa Sheria bila shurti ni Kwa Kila raia bila kujali hadhi wala vyeo.
Askari Jeshi hasa JKT mara nyingi Huwa wanapiga raia hivyo na kujifanya wao wako Juu ya Sheria na Wana Haki sana kuliko raia wengine.
Kazi iendelee
==============
ASKARI wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ ) amepandishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya kukataa amri halali ya askari wa usalama barabarani.
Imedaiwa Mahakamani leo, kuwa MT 89487 CPL Hamis Ramadhan alishindwa kusimamisha gari yake katika kivuko cha watembea kwa miguu eneo la Mlimani City, barabara ya Survey.
Wakili wa Serikali, Vailet Kyendesa ameiambia Mahakama kuwa Ramadhani akiwa akiiendesha gari binafsi T 433 ALB Nissan Patrol alikaidi amri ya kusimamisha gari na kujaribu kumsukuma askari wa usalama barabarani kwa gari lake.
Mshitakiwa amekana mashitaka na upande wa mashitaka umedai upelelezi wa kesi hiyo umekamilika na kuomba tarehe nyingine kwa ajili ya kutajwa.
#HabarileoUPDATES