antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Uongo huu,duniani kote taasisi za majeshi wote huvaa hivyo kama ka utamaduni
Sasa hapa si Kenya yani habari ya Kenya ndo yakuihalalisha na Dunia nzima na nimekuwekea picha kabisa ili ufiche ujinga wakoUongo huu,
Labda duniani ya Lumumba..
Court orders police to keep faces unmasked, name tags visible during demos | KBC Digital
The High Court has directed the National Police Service to ensure that officers deployed to manage protests do not mask their faces. High Court Judge Bahati Mwamuye ordered that police officers should not in any way hide or obscure their face so as to render them difficult to identify or...www.kbc.co.ke
Wewe si umesema duniani kote, au Kenya ni mbinguni?Sasa hapa si Kenya yani habari ya Kenya ndo yakuihalalisha na Dunia nzima
..Kila siku huwa nasema ..kama Mungu amekupa uhai na afya njema na una watoto hakikisha wanapata elimu vizuri!
Maisha ya kuvalishwa matambala usoni namna hii ili usitambulike ukimdhuru mtu ambae hata humjui na hata hujui kosa lake ni laana kwenye ukoo.
Eti kuficha sura ni Ugaidi?? Hivi unajua kwa wenzetu hiyo mask ni sare mojawapo na ina kazi yake unalijua hiloo?Wewe si umesema duniani kote, au Kenya ni mbinguni?
Na hapo nimekupa mfano mmoja tu.
Kuficha sura ni mambo ya magaidi.
Wanaojihami kushambuliwa hutumia vifaa vinavyoonyesha sura zao (TRANSPARENT face masks).
🚮Eti kuficha sura ni Ugaidi?? Hivi unajua kwa wenzetu hiyo mask ni sare mojawapo na ina kazi yake unalijua hiloo?
Lazma ujibu hivyo maana najua ksbisa wewe mambo ya military matters hujui