PreGE2025 Askari watawanya Watu mkutano wa CHADEMA Songea, mabomu ya machozi yarushwa, Polisi wawabeba Heche na Lema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Police wamevamia press conference ya Makamu Mwenyekiti Heche. Wamepiga mabomu Lakini Heche kaanza kuzungumza.
Polisi wanasema wanauhitaji uongozi wote wa Chadema uende polisi. Heche kakataa na kasema wataenda baada ya press conference
Usipotii Sheria Utapigwa tu
 
Kama ni kweli hilo linawezekana kauli mbiu hii ilitakiwa ianze pale Lissu alipokuwa ana kamatwa wangezuia asikamatwe hapo tungetiwa moyo kuwa hata uchaguzi wataweza kuzuia usifanyike.
Pole Mkuu majibu yameanza
 
Hizi ni pumba, yaani takataka hakuna hoja yeyote yenye mashiko hapa
 
Wewe kijijini kwangu kuna kila kitu cha muhimu, na haiwe
Huko Mtwara kuna nini ndugu?
Kuna kila kitu
 
Wewe kijijini kwangu kuna kila kitu cha muhimu, na haiwe

Kuna kila kitu
Wewe kijijini kwangu kuna kila kitu cha muhimu, na haiwe

Kuna kila kitu
Taja kijiji chenu maana ss hv hakuna usafir kati ya Dar -Mtwara na bado watatenga bajeti kisha wataacha kifusi juu wanaweka rangi ya lami kisha wanakula pesa zilizobakia
 
Taja kijiji chenu maana ss hv hakuna usafir kati ya Dar -Mtwara na bado watatenga bajeti kisha wataacha kifusi juu wanaweka rangi ya lami kisha wanakula pesa zilizobakia
Huko Mtwara hizo ni mvua kama maeneo yenye kukumbwa na majanga ya asili, mbona hata Mwanza juzi madaraja hayakupitika!! Acha uchoko.
 
Naona secretary wa NGO hana amani hata baada ya kuji pitisha kule kwao still hana amano
 
Uasi ni rebellion & resistance. Sasa yaani ni kupinga mamlaka. Kama TAL alivyosema atapinga uchaguzi mpaka matakwa aliyoyataja yatimizwe. Sasa uhaini unakujaje hapo?

Kajifunze Sheria ndo uje
Wewe Dr uchwara tu huna unalolijuwa, Tundu kapigwa na treason hapa ila bwege bado unabisha mtandaoni.
 
Umeongea vizuri kwa kulingana na Sheria na katiba ya JMT,

Ulichosahau ni kuwa, Mahakama iliyo kuu kuliko zote ni Mahakama ya wananchi, hao wanaweza kuzuia uchaguzi batili usifanyike kwa kutumia maandamano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…