NoreformNoelection
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 1,390
- 1,446
LisTumeshambuliwa na mabomu ya machozi ofisi yetu ya CHAMA SONGEA na ktk eneo ambalo tunapaswa kufanya mkutano leo. It is too Sad I can not even speak. Press Conference Soon.
View attachment 3298822
ongezea hii kwenye stori yako
JOHN HECHE NA LEMA WACHUKULIWA KWA MAHOJIANO NA POLISI
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Brenda Rupia amezungumza na JamiiForums kuhusu tukio hilo amesema “Ni kweli Polisi wamevamia mkutano wetu na Wanahabari, wameondoka na viongozi kadhaa wakiwemo Makamu Mwenyekiti, John Heche na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema.”
waambieni Lissu Lema na Heche hiyo dose wanayompa malikia wa anga ni kubwa sana. watamuua wajameniiiiiTumeshambuliwa na mabomu ya machozi ofisi yetu ya CHAMA SONGEA na ktk eneo ambalo tunapaswa kufanya mkutano leo. It is too Sad I can not even speak. Press Conference Soon.