PreGE2025 Askari watawanya Watu mkutano wa CHADEMA Songea, mabomu ya machozi yarushwa, Polisi wawabeba Heche na Lema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama ni kweli hilo linawezekana kauli mbiu hii ilitakiwa ianze pale Lissu alipokuwa ana kamatwa wangezuia asikamatwe hapo tungetiwa moyo kuwa hata uchaguzi wataweza kuzuia usifanyike.
Watanzania mabadiliko wanayataka ila tatizo lao ni mdomo mwingi matendo sifuri.
 
Eti kujulisha dunia!! Ha ha ha Dunia ndio nini!!? Nenda Rwanda ukaone kama dunia inajua au haijui!!
 
Huu ni ujinga. Muacheni Mbowe. Tu focus na Lissu na CDM.

Wakati Mbowe anaswekwa ndani nani alikua anataka kumtoa madarakani?
 
WATANDIKWE TU, NCHI IMETULIA WANATAKA KUTULETEA UJINGA.
LISU MWENYEWE DIKTETA HATA TUKIMPA NCHI ATAENDELEZA YALE YA MWENDAZAKE.
MAMA YETU SAMIA USIRUHUSU UJINGA HUU WA LISU KUSEMA ATAASI, ASHUGHULIKIWE IPASAVYO
Huu ndio ukweli.Tandika kzbisa,mpaka zkili zao,zikae sawa.
 
Mpigwe tu mpaka akili ziwakae sawa. Maana haiwezekani mnatoa maneno ya kichochezi tu kila siku
. Mpigwe vizuri mpaka mbubujikwe na machozi.
We ropoka tu; si ndio kaz yako, unafikiria mchezo huu mwishoe ukoje. Mnatengeneza m23 ya Tanzania...... endeleeni.
 
Acha kelele, akili za wafuasi wa Lissu ni sawa sawa na za ng'ombe tu.
 
Hatuwezi kuwa na Rais kichaa na mlemavu.
Bora hata kuwa na Rais kichaa, mwanasheria nguli na mlemavu! kuliko mtu kilaza, na ambaye hana uelewa wowote ule kuhusu sheria, nk. Yaani ukimwambia saini mkataba huu, yeye anasaini tu pasipo hata kuusoma! Na mwisho wa siku inashangaa kila kitu kimeuzwa kwa wageni.
 
utawala uliofitinika, ila hakuna mtu alikua na nguvu, tena jeuri kama JIWE, ila leo yuko wapi?
Mungu humuweka hai yoyote na humtwaa yeyote, MAMA na serikali yako tendeni haki, dumisheni upendo kwa mnaowaongoza,Mungu hashindwa kukunyakua kama utazidisha maonevu kwa watu wake. mada za kisiasa zijibiwe kisiasa, sio kipolisi.
 
Kuna siku tutakuja kiwashukuru Polisi wa nchi hii they push people kufanya jambo fulani watu hawajajua na mshauri wa dola nae kuna kitu anakitaka pia wananchi wakielewa tu basi shughuli imeisha hawatakuja direct kuelekeza chakufanya ila matendo yao yanaashiria kitu yanayoa muelelekeo na mwanya na go ahead
 
Kwenda zako, nyumbu mkubwa!!
 
Tandika kabisa,watie akili.Na siku wakileta maandamano,tandika sawa sawa.Dawa ya anayejifanya kichaa,ni mkong'oto tu,akili ikawe sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…