Askari zaidi 30 wa Israeli wafariki katika uvamizi wa Lebanon kusini

Askari zaidi 30 wa Israeli wafariki katika uvamizi wa Lebanon kusini

⚡️BREAKING - UPDATE: ALMOST 70 DEAD AND INJURED ISRAELI SOLDIERS

The number of dead and wounded Iaraeli soldiers in the "Binyamina" operation targeting Golani Brigade base south of Haifa has risen to 67, according to Hebrew media.

The operation set off toward its target, the dining hall at the Golani Brigade training base. The operation was launched at that time based on intelligence obtained by Hezbollah regarding the timing of dinner being served at the base
Mimi nilisema wako 100 walio kufa time ile walisema 10 naona wanasogea tutafika 100
 
Netanyahu huko alipo anazidi kutetemeka kiburi chake na majngambo kujisifia kuuwa viongozi wa Hamas na Hezbollah, sasa apokee msiba wa mkuu wake wa Majeshi😀
Vyombo vya habari vya israel vinasema hajauawa ni uzushi(jerusalem post)
 
Back
Top Bottom