Askofu Bagonza anahudumu Kanisa gani na kwanini anajihusisha na Siasa za moja kwa moja?

Anawakumbusha kuhusu haki tunajenga nyumba moja
 
Huyo Bagonza na mwamakula pamoja na katimba ni watangaza Sera za chadema na wala sio watoa maombi kwa wagombea.
Pia naomba kujua hivi mwamakula na katimaba usiku wakiwa room pengine kwa maombi hiyo si inakuwa faragha yao?
Maana mgombea wao haingilii faragha za watu.
 
Mbona makamanda hamueleweki wenzio hapo Ufipa wamenijibu yuko KKKT wewe hapo Machame unasema yuko Katoliki.

Toeni jawabu Tafadhali!
Nawewe umeuliza swali la kipuuzi ukiwa lumumba eeh! Alhad Musa sheikh mkuu wa mkoa wa dar kila siku yupo na wanaccm mbona uhoji chochote?
 
Bagonza
 
Wale mashekhe wakienda mikutano ya ccm hamuoni au?
Hutoa dua ya kawaida tu na sio Sera za chama cha CCM, Mambo ya Sera ni ya chama na majibu ya hoja za wapinzani sio sehemu ya watu wa dini.
Pia hubaki eneo husika na sio kuongozana na mgombea.
Sasa mwamakula na katimna ndo wanajua kuomba kila sehemu hakuna wengine huko?
Au wamebeba matunguli wanatembea nayo?
Mwisho wa siku mmoja wao atajifungua mtoto.
 
Hujajibu swali nadhani huna majawabu!
Kwani wale wanaoendaga kwenye mikutano ya chama chetu wao ni vipi?roho za kishetani na husuda zinawasumbua sana, kunya anye kuku akinya bata kaharisha, unayeweza kumpangia cha kufanya ni mkeo tu tena nae anaweza asifanyafe
 
Nawewe umeuliza swali la kipuuzi ukiwa lumumba eeh! Alhad Musa sheikh mkuu wa mkoa wa dar kila siku yupo na wanaccm mbona uhoji chochote?
Yupo na CCM nje ya Dar au palpale Dar?
 
Mbona makamanda hamueleweki wenzio hapo Ufipa wamenijibu yuko KKKT wewe hapo Machame unasema yuko Katoliki.

Toeni jawabu Tafadhali!
Aliyejibu askofu bagonza ni Catholic bishop hajui mambo hayo, baba askofu bagonza ni kiongozi Wa kanisa la kiinjili la kiluteri (KKKT)dayosisi ya Karagwe, ktk eneo hilohilo kuna jimbo katoliki la Kayanga na askofu wake ni mhashamu Almachius Rweyongeza.
 
Uliwahi kuhoji huu ujinga kwa wale jamaa walioitisha vikao kumtukuza jiwe?
 

poleni kila mtu ana haki ya kutoa maoni
 
Bwasheee mnataka kumuita gaidi au uamsho!?
 
Kwani Askofu Pengo hawatoshi?

Si kila askofu atakuwa upande wa wanyonya damu.
 
Mwamakula na Katimba walikuwepo huko kwa Bagonza?!
 
Hao ni wanasiasa tu
Wanavaa misalaba shingoni na kuwa na white collar na majoho
 
Bwashee
Anahudumu kkkt dayosisi ya karagwe
Kujihusisha na mabadiliko sio dhambi
Kukataa unyanyasaji wa Ccm ni moja ya kiapo kwenye kipaimara/ubatizo wa kkkt "namkataa shetani na kazi zake zote"

Mbona Gwajima ni askofu na kagombea?
Mbona Leo Polycadinal Pengo kaenda kumpa sapoti?
Huko sio kujihusisha na siasa?


Naomba unijibu swali kwenye Uzi moja nilikutagi
Juu ya sifa za kuchukua fomu uenyekiti wa Ccm taifa
 
Ungeomba mwenye simu yake akupatie umpigie akupe jibu sahihi
 
Askofu bangonza kaniacha hoi kweli.

Yaani anasema ni juu yetu kuchaguza kati ya yule aliyeponywa na Mungu au alituponya Corona ..... UJUMBE MZITO SANA!!
Kuna binadamu amwtupinya Corona, huyu yupo kwenye Umungu mmoja pamoja na Baba.

Kwa kitendo hiki cha kujipa utukufu asionao na kuwageuza viongozi wa dini kama matutusa yake, eti kiongozi wa dini leo anatamka eti wamwongozwa na bwana yule kumuomba Mungu.

Inasikitisha, inakera, inaudhi eti leo sheikh kuelekezwa ibada na kafir

Adhabu pekee kwa mtu huyu ni kumpumzisha tu, mkimrudisha mtu huyu mtajuta, mtalia na kusaga meno.
 
Ukimuelewa Bagonza huwezi kuwa na chembe ya unafiki hata kidogo.

Askofu amezikataa kazi zote za shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…