Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Hakuna nafasi yoyote ya ccm Taifa inayogombewa, hakuna., Hata Polepole hawezi kukujibu swali hili wala Dr Bashiru, wote hao hakuna aliyegombeaBwashee
Anahudumu kkkt dayosisi ya karagwe
Kujihusisha na mabadiliko sio dhambi
Kukataa unyanyasaji wa Ccm ni moja ya kiapo kwenye kipaimara/ubatizo wa kkkt "namkataa shetani na kazi zake zote"
Mbona Gwajima ni askofu na kagombea?
Mbona Leo Polycadinal Pengo kaenda kumpa sapoti?
Huko sio kujihusisha na siasa?
Naomba unijibu swali kwenye Uzi moja nilikutagi
Juu ya sifa za kuchukua fomu uenyekiti wa Ccm taifa
Inakuwaje huyu mgombea ambaye karibuni tu alihudhuria misa katika kanisa katoliki anadai askofu mlutheri ndiye kiongozi wake wa kiroho?. Au siyo mkatoliki huyu? Kama ni mkatoliki amewezaje kuwaacha viongozi wake wa kiroho na kudakia wa dhehebu jingine? Kwa sababu zipi?. Dini ni imani na raia wote ni taifa la Mungu. Kama amefanya hivyo atafaa kuongoza taifa la Mungu?Bagonza ni wa kanisa Lutheran, na kwenye kila mkutano huwa tunakuwa na viongozi wa imani zote kwa ajili ya maombezi.
Una swali lingine Comrade?
Kwanza amemkataa shetani na kazi zake.Ukimuelewa Bagonza huwezi kuwa na chembe ya unafiki hata kidogo.
Askofu amezikataa kazi zote za shetani.
Bagoza ni kiongozi wa kiroho na si wa kishetani.Inakuwaje huyu mgombea ambaye karibuni tu alihudhuria misa katika kanisa katoliki anadai askofu mlutheri ndiye kiongozi wake wa kiroho?. Au siyo mkatoliki huyu? Kama ni mkatoliki amewezaje kuwaacha viongozi wake wa kiroho na kudakia wa dhehebu jingine? Kwa sababu zipi?. Dini ni imani na raia wote ni taifa la Mungu. Kama amefanya hivyo atafaa kuongoza taifa la Mungu?
Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa Yesu hakuna madhehebu young man.Inakuwaje huyu mgombea ambaye karibuni tu alihudhuria misa katika kanisa katoliki anadai askofu mlutheri ndiye kiongozi wake wa kiroho?. Au siyo mkatoliki huyu? Kama ni mkatoliki amewezaje kuwaacha viongozi wake wa kiroho na kudakia wa dhehebu jingine? Kwa sababu zipi?. Dini ni imani na raia wote ni taifa la Mungu. Kama amefanya hivyo atafaa kuongoza taifa la Mungu?
Wapo " viongozi wa kiroho" wengi sana sasa hivi. Wengine wameanzisha makanisa yao. Kama mgombea ni mkatoliki anaongozwa vipi na mlutheri?Bagoza ni kiongozi wa kiroho na si wa kishetani.
You're listening too slowly.
Amejibu ndugu?😀😀😀hawa watu ni hopeless kabisa, anakuja huku kahamaki kabisaAskfu gwajima unasemaje naye
Ova
Inaonekana una uelewa duni sana kuhusu dini. Kasome historia ya makanisa ya katoliki, anglikana na lutheri. Haya mengine yanayoonekana sasa hauhitaji kwenda mbali. Waulize viongozi wao watakupa historia yao.Kwa Yesu hakuna madhehebu young man.
Wewe bado sana, kajifunze mijadala Facebook na wasapu ndio urukie huku ukishakomaa.
Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Jana tu ulikua unamwimbia Gwajima mapambio huku! Endeleza mapambio Bwashee!Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Itakusaidia nini ukishaelewa , tuanzie hapo.Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Huo "Uaskofu" kapewa na nani?Askofu Gwajima ni kanisa gani?....Kwann anajihusisha na siasa?
Tatizo hampendi wasema kweli!Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee sifa kuu ya mgombea uenyekiti taifa wa CCM ni lazima awe Rais wa JMTBwashee
Anahudumu kkkt dayosisi ya karagwe
Kujihusisha na mabadiliko sio dhambi
Kukataa unyanyasaji wa Ccm ni moja ya kiapo kwenye kipaimara/ubatizo wa kkkt "namkataa shetani na kazi zake zote"
Mbona Gwajima ni askofu na kagombea?
Mbona Leo Polycadinal Pengo kaenda kumpa sapoti?
Huko sio kujihusisha na siasa?
Naomba unijibu swali kwenye Uzi moja nilikutagi
Juu ya sifa za kuchukua fomu uenyekiti wa Ccm taifa
Duh kwahiyo Ccm ikosa urais haitakuwa na Mwenyekiti?Bwashee sifa kuu ya mgombea uenyekiti taifa wa CCM ni lazima awe Rais wa JMT
Kwani mbona huulizi kuhusu mufti,huulizi kuhudu shehe alhaji musa salumu mbona huulizi kuhusu askofu mkuu WA TAG mbona huulizi kuhusu askofu mkuu wa wasabato una matatizo weweNimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani Bagonza ni askofu wa Kanisa gani?Kwani mbona huulizi kuhusu mufti,huulizi kuhudu shehe alhaji musa salumu mbona huulizi kuhusu askofu mkuu WA TAG mbona huulizi kuhusu askofu mkuu wa wasabato una matatizo wewe
Lutheran una swali jingineKwani Bagonza ni askofu wa Kanisa gani?
Ni mwananchi ana haki kikatiba, hajahubiri udini wala kabila kama JohnNimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.