Pre GE2025 Askofu Bagonza asema kupiga kura ktk mfumo wetu wa uchaguzi ni wastage of time. Bila mageuzi katika mifumo ni sawa na kutokuwa na uchaguzi

Pre GE2025 Askofu Bagonza asema kupiga kura ktk mfumo wetu wa uchaguzi ni wastage of time. Bila mageuzi katika mifumo ni sawa na kutokuwa na uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aligombea Ukuu wa Kanisa la KKKT akaishia kuenguliwa. Ni Moja ya Viongozi wa Dini wanaharakati.
 
Aligombea Ukuu wa Kanisa la KKKT akaishia kuenguliwa. Ni Moja ya Viongozi wa Dini wanaharakati.
Taasisi yoyote ile ya Kidini kazi yake mojawapo ni kufanya harakati za kudai haki, na amani miongoni mwa Watu.

Ukiona dini yoyote ile haihubiri HAKI basi hiyo haiwezi kuwa dini, badala yake itakuwa ni kundi fulani hivi la Washirikina.
 
Back
Top Bottom