Pre GE2025 Askofu Bagonza asema kupiga kura ktk mfumo wetu wa uchaguzi ni wastage of time. Bila mageuzi katika mifumo ni sawa na kutokuwa na uchaguzi

Pre GE2025 Askofu Bagonza asema kupiga kura ktk mfumo wetu wa uchaguzi ni wastage of time. Bila mageuzi katika mifumo ni sawa na kutokuwa na uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tuanze na ELIMU kwanza.
ELIMU bora kwa Kila Mtanzania
ELIMU ya viwango vya kimataifa
......
Mifumo haiwezi kubadilishwa hivi hivi wakati nchi imejaa watu wajinga
Miaka 60+ ya uhuru bado hamjaanza elimu bora?!
 
Wale maadui wakubwa waliotangazwa na Muasisi wa Taifa hili bado wapo hai..

Mkuu tutafika kweli tunapotaka kwenda?
"Tutafika tunapotaka kwenda" wakat hatujui tunapotaka kwenda, labda tumeshafika na hatujui pia
 
Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini.

View: https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4

anazungumziaje mfumo wa uchaguzi wa kumchagua askofu mkuu wa KKKT?

aliyoyalalamikia wakatia ule anachaguliwa Askofu DR. Malasusa yamebadilishwa? na mbona alisusia uchaguzi ule?

au ndio ile habari ya nyani haoni kundule, anayaona ya wengine tu :pedroP:
 
I agree with him. Binafsi siwezi kupiga kura ambayo haiheshimiki. Na wakati huo huo nikiwa sina uwezo wa kwenda kuidai kwa kupambana na wale jamaa failures waliojihami kwa silaha mbalimbali za moto.

Siku mfumo ukiwa huru, nitashiriki.
MI PIA NILIWAHI KUPIGA MARA MOJA BAADA YA HAPO SIPIGI TENA
 
Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini.

View: https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4

UKWELI NDO HUU👆 HATA UKILETA MANENO YA KEJELI NA DHARAU, UTAKUWA MJINGA KUUPINGA UKWELI HUU

OVA
 
Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini.

View: https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4

Aanzishe chama huyo makalio,kila siku siasa wakati waamini wake wazinzi,awahubirie kondoo wake wawe wema
 
Tuanze na ELIMU kwanza.
ELIMU bora kwa Kila Mtanzania
ELIMU ya viwango vya kimataifa
......
Mifumo haiwezi kubadilishwa hivi hivi wakati nchi imejaa watu wajinga
ccm na viongozi wake hawataki kuelimisha umma, usiue kupingo mambo yao. Wataelimisha kizazi chao kije kuwarithi. Anayebisha aangalie kama kiongozi yeyote amepereka mtoto wake shule za kata
 
Back
Top Bottom