Tuanze na ELIMU kwanza.
ELIMU bora kwa Kila Mtanzania
ELIMU ya viwango vya kimataifa
......
Mifumo haiwezi kubadilishwa hivi hivi wakati nchi imejaa watu wajinga
Wale maadui wakubwa waliotangazwa na Muasisi wa Taifa hili bado wapo hai....kama ni hivyo basi tusiwe na mifumo kabisa.
OyeeeeSisi chama dola tunatambua hakuna wesiteji ofu taimu. Wastage of time mnaijua nyie wapinzani.
Chamadolaoye.
Elimu ya Viwango vya Kimataifa ni vipi?Tuanze na ELIMU kwanza.
ELIMU bora kwa Kila Mtanzania
ELIMU ya viwango vya kimataifa
......
Mifumo haiwezi kubadilishwa hivi hivi wakati nchi imejaa watu wajinga
Ingefaa zaidi ujibu hojazake ili wewe smart uonyeshe ipi njia sahihi.Kumbe huyu askofu ni nyumbu, basi sawa ni haki yake kuropoka analiweza kukiropoka amfurahishe lissu.
Akina Bagonza wako wengi kwenye taasisi mbalimbali ila uoga na uchawa umewameza..Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini.
View: https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
Ndio ninyi kumbe mnaotumia DOLLAR kubaki madarakani?🤣🤣🤣Sisi chama dola tunatambua hakuna wesiteji ofu taimu. Wastage of time mnaijua nyie wapinzani.
Chamadolaoye.
Ni kweli, na huo ndio Ukweli mchungu..Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini.
View: https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
Karma ipo mazee unachomwombea mtu kibaya kitakutokea kwa wakati mwingine kabisa na hautaamini ila kama una kumbukumbu nzuri utaunganisha dot.Jeshi la polisi natoa saa 78 huyu askofu akamatwe mara moja
Taasisi yoyote ile ya Kidini kazi yake mojawapo ni kufanya harakati za kudai haki, na amani miongoni mwa Watu.Aligombea Ukuu wa Kanisa la KKKT akaishia kuenguliwa. Ni Moja ya Viongozi wa Dini wanaharakati.