John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Kwa hiyo huyo Askofu akishakamatwa na Ukweli huu utabadilika na utakuwa umefutika au?Jeshi la polisi natoa saa 78 huyu askofu akamatwe mara moja
Miaka 60+ ya uhuru bado hamjaanza elimu bora?!Tuanze na ELIMU kwanza.
ELIMU bora kwa Kila Mtanzania
ELIMU ya viwango vya kimataifa
......
Mifumo haiwezi kubadilishwa hivi hivi wakati nchi imejaa watu wajinga
"Tutafika tunapotaka kwenda" wakat hatujui tunapotaka kwenda, labda tumeshafika na hatujui piaWale maadui wakubwa waliotangazwa na Muasisi wa Taifa hili bado wapo hai..
Mkuu tutafika kweli tunapotaka kwenda?
Wewe ndio nyumbu ila hujijui kwa vile huna akiliKumbe huyu askofu ni nyumbu, basi sawa ni haki yake kuropoka analiweza kukiropoka amfurahishe lissu.
anazungumziaje mfumo wa uchaguzi wa kumchagua askofu mkuu wa KKKT?Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini.
View: https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
MI PIA NILIWAHI KUPIGA MARA MOJA BAADA YA HAPO SIPIGI TENAI agree with him. Binafsi siwezi kupiga kura ambayo haiheshimiki. Na wakati huo huo nikiwa sina uwezo wa kwenda kuidai kwa kupambana na wale jamaa failures waliojihami kwa silaha mbalimbali za moto.
Siku mfumo ukiwa huru, nitashiriki.
UKWELI NDO HUU👆 HATA UKILETA MANENO YA KEJELI NA DHARAU, UTAKUWA MJINGA KUUPINGA UKWELI HUUAskofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini.
View: https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
Aanzishe chama huyo makalio,kila siku siasa wakati waamini wake wazinzi,awahubirie kondoo wake wawe wemaAskofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini.
View: https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
Sasa unafaida gani? Ndiyo ninyi nyumbu wakiitisha uchaguzi hamna sifa za kupiga kura ila mnasema mmeibiws kura.Yuko sahihi ,mimi sina hata kitambulisho 🤣😗washindi wanajulikana .
Kwa hiyo unategemea kushinda nje ya CCM ,tafuta kazi ya kufanya 😅Sasa unafaida gani? Ndiyo ninyi nyumbu wakiitisha uchaguzi hamna sifa za kupiga kura ila mnasema mmeibiws kura.
Jibu huwa haliulizwi, linapigiwa mstari.Ndio ninyi kumbe mnaotumia DOLLAR kubaki madarakani?🤣🤣🤣
Yuko sahihiAskofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini.
View: https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
ccm na viongozi wake hawataki kuelimisha umma, usiue kupingo mambo yao. Wataelimisha kizazi chao kije kuwarithi. Anayebisha aangalie kama kiongozi yeyote amepereka mtoto wake shule za kataTuanze na ELIMU kwanza.
ELIMU bora kwa Kila Mtanzania
ELIMU ya viwango vya kimataifa
......
Mifumo haiwezi kubadilishwa hivi hivi wakati nchi imejaa watu wajinga