Askofu Bagonza: ATCL imekosa aibu, basi iwe na huruma

Bujibuji U nailed it
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu hizi sarakasi zote ni kwa ajili ya kuliua tu shirika tena ikiwa limeshatumia gharama nyingi kufufuka.
Hata kipindi kile walipoanza kuliua walianza hivihivi.
Usishangae baada ya muda ukasikia ATC haina ndege tena
 
Hivi ile ndege ya Rais tuliyoambiwa ikibidi tule majani iliishia wapi?
 
Precision will rise again.ATCL wanatia hasira sana,tena wana kamchezo chao kachafu cha kufunga check-in counter kabla ya muda---zile cancelled seats wanawapa ndugu/jamaa zao(or wao wenyewe) ili wakalale jijini.
Kinachoniuma kulipia PAA ni kwamba major shareholder ni jirani mkenya(waliuzaga shares enzi za mwendazake).
Kwa lugha rahisi watanzania hatuna shirika la ndege.
 
Tatizo mama kachukua ndege kubwa na kuvuluga kila kitu kwenye usafiri Geza Ulole wewe ulisema mimi mwongo kuhusu ndege pale nilipo kuambia wafanyakazi wa Airport wanalalamika mama kutumia ndege ya biashara kama ndege yake binafsi
Huyu mama anafanya haya for what purpose, anabebana na watu wengi kwenye misafara yake wa kazi gani? kama ulichoandika ni kweli inashangaza, Samia ndio alitupigisha story za kuifufua ATCL kumbe ndio anaimaliza.
 
Kuna shida Kubwa sana na Hizo Ndege..Unaziona Zingine zinazunguka tu mara huku mara kule Yaani sasa Tunashangaa bora Mwamba alipokuepo..
 
Ila dhambi au laana ya kumshusha mwenzio ili wewe upande ndio inayowatafuna. Wakati wa mwendazake walionasuluhu ya ATCL kufanya biashara ni kufitini mashirika mengine ya ndege matokeo yake ndio haya.
Ili biashara ikue na kustawi vizuri kunahitajika ushindani wenye nguvu na usawa kwa kuongeza tija. Mi kwa maoni yangu serikali kufanya biashara ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi maana kwa uzoefu mashirika ya umma yanayopewa luzuku huwa hayaweki nguvu saana kutengeneza faida nzuri kwa kuongeza ufanisi na weledi
 
Uletewe na nani
Unajua mara nyingi hizi sera za Ujamaa/ukomunist, huwa zinapenda 'monopoly ya serikali' karibu ktk shughuli zote za kuendesha nchi, na huwa hazitaki competition mbadala, zitakazoleta tija kutoka kwa watu wengine. Mkubali tu yaishe......
 
Kwani Bagonza anahitaji ndege za ATC?

Si ni maendeleo ya vitu haya?
 
Uletewe na nani
Unajua mara nyingi hizi sera za Ujamaa/ukomunist, huwa zinapenda 'monopoly ya serikali' karibu ktk shughuli zote za kuendesha nchi, na huwa hazitaki competition mbadala, zitakazoleta tija kutoka kwa watu wengine. Mkubali tu yaishe......
 

Pengine Dege lengwa kwenye ratiba husika lilikuwa limepewa hadhi ya Tanzania Air Force One kwa muda.

Pengine mida hiyo likiwa Bujumbura, Dodoma, Dar, Lilongwe, Zanzibar, Entebbe, Kigali au Nairobi.

Hiiiiii bagosha!
 
Mashirika mengi yako hoi nadhani mama angefanya kitu, maana wakati mwingine ukiwapiga na kitu kizito kichwani wanaamka na kufanya kazi sawasawa , hata baada ya mwendazake kupunguza wafanyakazi including mke wa lukuvi lakini shirika bado liko hoi, kule sukumaland tunasema lilihoiiiii , walitakiwa kutafuta watu wenye uwezo na wataalam wa biashara ya masuala ya anga ndio wasaidie kulisuka shirika, kiukweli mihela mingi imewekwa pale hasa kununua ndege lakini hakuna faida yoyote , na huduma zinazidi kuzorota, wanashindwa hata na watu binafsi kina precision air, hawanaga strategy kabisa ndiomaana wakaua fastjet ili wasife lakini waaapi wanaendelea kuwa hoi tu
 
Rais ndio anachangia hii kadhia maana anatumia ndege ambayo ingetumika kwa baishara yeye ana zunguka nayo kama mkoba wake.... zipo ndege za Rais ambazo ziko mbili na haziwekani zote mbili zikawa mbovu.... hata wakimtumbua huyu mkurugenzi kwa tabia hii ya Rais na watendaje wake wa ikulu na makamu na waziri mkuu kutumia ndge za ATCL kama mikoba yao hakuna kipya kitatokea kabisa.......
Lazima tuwaache ATCL wafanye biashara kweli tusiwaingilie lakini kwa mtindo huu lazima report ya CAG tuifiche mwaka huu
 
Rais ndio tatizo la kwanza kwenye ATCL...................
 
Kwa hizi cancellations, tukimlaumu CEO wa ATCL tutakuwa tunamuonea. Nadhani ana vision ya kulifufua hili shirika.
Tatizo lipo kwa mama yetu, Kama Gulfstream ni mbovu kwa nini haitengenezwi? Walipakodi walioinunua hiyo ndege ndio wanaumia wakati bibie asiyejua kodi inalipwaje yupo angani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…