Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Wao ndio walizinunua na si kwa ajili ya kuwabeba nyie, waacheni wafaidi matunda yao kwani kutesa ni kwa zamu.Shirika linaendeshwa kienyeji, no professionalism at all.
Sababu kuu ya cancellations zisizo na kichwa wala miguu, ni kwamba, fleet zilizopo zipo busy na kuwazungusha watawala badala ya kuwahudumia wananchi.
Rais, Makamo wake, Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu na Makamo wa Rais Zanzibar watumie ndege za serikali, ndege za ATCL za abiria zitumike kubebea abiria.
Viongozi Kama wanapenda sana ndege, nawashauri wafuge kuku, bata, kanga na hata bundi iwapo wataweza