Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
ACT Wazalendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ACT Wazalendo
Ni confused bishop.wa KKKT nadhani Ni mental case kanisa lim
mchukukie serious asje siku moja akatupa majoho akatembea uchi madhabahuni.
Anahitaji treatment na counselling ya kiroho na kisaikolojia kuna tatizo
Mkuu hilo la kugawa hela bora ukae kimya tu, sasa hivi Magufuli anatembea na maburungutu ya hela anagawa kila mahali, yaani amemvuka hata Lowassa aliyekuwa anagawa huko kwenye nyumba za ibada.
Kuna haja ya kuwarudisha mapadri,maaskofu na wachungaji wazungu.nyerere alikosea kuwaindoa mapema makanisani kwa kisingizio kuwa tumepata Uhuru kwa hiyo tuwe na mapadri,wachungaji na maaskofu watanzania.Matokeo yake ndio tumepata maaskofu Hawa type ya Bagonzahuyo askofu ni bora tu angeanzisha chama cha siasa au awajoin chadema katika harakati
Huyu ni Askofu wa siasa au dini? ila anatoa matamko kwa kiwango cha PhD
Askofu bagonza atuambie tu kawa mwanasiasa ili tujue. Sababu tunajua alipoegemea ili tumjumuishe nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaingiza siasa! Siasa ni maisha na dini ni maisha yote yanamlenga mwanadamu kwa nia ya kufanya awe na maisha bora.Huyu ni Askofu wa siasa au dini? ila anatoa matamko kwa kiwango cha PhD
Ni confused bishop.wa KKKT nadhani Ni mental case kanisa lim
mchukukie serious asje siku moja akatupa majoho akatembea uchi madhabahuni.
Anahitaji treatment na counselling ya kiroho na kisaikolojia kuna tatizo
Ni askofu anayesema ukweli tu awe na chama au asiwe na chama wewe angalia anachokisema Kama kweli au uongo, sio askofu mnafiki
Huyu jamaa ana hulka ya kuongea sana kama chadema. Tanzania ya maandishi na maneno naneno tumeshatoka. Sasa tupo kwenye vitendo. Wenzie walishaandika na kuongea sana. Ye amechelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna haha ya kuwarudisha mapadri,maaskofu na wachungaji wazungu.nyerere alikosea kuwaindoa mapema makanisani kwa kisingizio kuwa tumepata Uhuru kwa hiyo tuwe na mapadri,wachungaji na maaskofu watanzania.Matokeo yake ndio tumepata maaskofu Hawa type ya Bagonza
Wazungu hawakuwa na muda na siasa walijikita kwenye dini na miradi ya kanisa Kama shule,hospitali,mashamba,vyuo,viwanda nk Hawa wa kwetu weusi kutwa hawana Cha kufanya wanasubiri jumapili tu kuhubiri siasa kanisani na mitandaoni.
Raisi Magufuli ruhusu wazungu warudi kwa eingi wamisionari,mapadri,wachungaji na maaskofu na masista.
mbona una makelele sana? hebu jibu hoja ya Askofu especially namba 8, sio unajaza server ya watu mapovu tu!.Kuna haha ya kuwarudisha mapadri,maaskofu na wachungaji wazungu.nyerere alikosea kuwaindoa mapema makanisani kwa kisingizio kuwa tumepata Uhuru kwa hiyo tuwe na mapadri,wachungaji na maaskofu watanzania.Matokeo yake ndio tumepata maaskofu Hawa type ya Bagonza