Acha hizo wazungu viongozi wa dini waliacha makanisa yakiwa na miradi kibao mizuri Leo hii Nenda kaangalie baada ya watanzania ngozi nyeusi kushika miradi ya kanisa waliyoacha wazungu imekufa iwe ya wakatoliki,waanglikana,walutheri,wapentecoste,nk imekufa
Waafrika wengi walitamani hasa Ile miradi wakijua wakishika watapiga pesa Sana wakachochea wazungu wakoloni waondoke na wamisionari wao washike weusi.
Mijengo mingi imebomoka waliyoacha wamisionari wazungu ,miradi kutilia mbali kule.Ndio Hawa maaskofu wa dot com Akina Bagonza Sasa wako confused hawajui hata kazi ya uaskofu Ni Nini wanadhani Ni kushinda Mitandaoni
Nashukuru kanisa katoliki nasikia limepiga marufuku viongozi wao kushinda Mitandaoni.Lengo nadhani ili wajipe nafasi za kusimamia dini na miradi lukuki ya kanisa waliyonayo bayo minginya wazungu ilikufa naona walau wanaanza kujirudi taratibu