Askofu Bagonza atoa pongezi na ujumbe mzito kwa CHADEMA

Habari wana JF?
Baada ya kusoma ushauri unaodaiwa kutolewa na Askofu Bagonza kwa viongozi wa CHADEMA baada ya uchaguzi wao wa viongozi uliofanyika December 2019 nikajikuta nimekumbuka maswali ya siku nyingi
(1) Kati ya fedha na elimu kitu gani muhimu au kitangulie kwanza?
(2)Kati ya yai na kuku kitu gani kilitangulia?

Baba Askofu Bagonza kwaaambia CHADEMA "Haja ya kuwa na taasisi imara kuliko kuwa na viongozi/watawala imara ni kubwa sasa kuliko huko nyuma."

  1. Mimi namuuliza bila viongozi imara unawezaje kupata taasisi imara?
  2. Bila taasisi imara unawezaje kupata viongozi imara?

Hayo maswali nuliza sababu nataka kujifunza tu, mimi siwezi kujaribu kupimana ubavu wa kifikra na kiongozi msomi, mlezi wa kiroho Askofu Bagonza.

These kind of questions or situations are called 'Infinite Regression'.
Infinite regression inevitably leads to a dilemma. The gurus call it causality dilemma.

Which came first, the chicken or the egg?

Huwezi kuelewa umuhimu wa taasisi imara vs watu imara maana huna akili za kupambanua.

Taasisi imara husimama hata zikiongozwa na mtu mpumbavu kama wewe. Angalia Nchi zilizoendelea zilipo leo.

Habari wana JF?
Baada ya kusoma ushauri unaodaiwa kutolewa na Askofu Bagonza kwa viongozi wa CHADEMA baada ya uchaguzi wao wa viongozi uliofanyika December 2019 nikajikuta nimekumbuka maswali ya siku nyingi
(1) Kati ya fedha na elimu kitu gani muhimu au kitangulie kwanza?
(2)Kati ya yai na kuku kitu gani kilitangulia?

Baba Askofu Bagonza kwaaambia CHADEMA "Haja ya kuwa na taasisi imara kuliko kuwa na viongozi/watawala imara ni kubwa sasa kuliko huko nyuma."

  1. Mimi namuuliza bila viongozi imara unawezaje kupata taasisi imara?
  2. Bila taasisi imara unawezaje kupata viongozi imara?

Hayo maswali nuliza sababu nataka kujifunza tu, mimi siwezi kujaribu kupimana ubavu wa kifikra na kiongozi msomi, mlezi wa kiroho Askofu Bagonza.

These kind of questions or situations are called 'Infinite Regression'.
Infinite regression inevitably leads to a dilemma. The gurus call it causality dilemma.

Which came first, the chicken or the egg?
Askofu Bagonza atoa pongezi na ujumbe mzito kwa CHADEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti imara wa CHADEMA kwanza kisha unapata tasisi (chama) imara.
Raisi imara wa Tanzania kwanza kisha unapata nchi au taifa imara la Tanzania.

Huo ndio mtazamo wangu ingawa inawezekana sipo sahihi ktk hili.
 
Habari wana JF?
Baada ya kusoma ushauri unaodaiwa kutolewa na Askofu Bagonza kwa viongozi wa CHADEMA baada ya uchaguzi wao wa viongozi uliofanyika December 2019 nikajikuta nimekumbuka maswali ya siku nyingi
(1) Kati ya fedha na elimu kitu gani muhimu au kitangulie kwanza?
(2)Kati ya yai na kuku kitu gani kilitangulia?

Baba Askofu Bagonza kwaaambia CHADEMA "Haja ya kuwa na taasisi imara kuliko kuwa na viongozi/watawala imara ni kubwa sasa kuliko huko nyuma."

  1. Mimi namuuliza bila viongozi imara unawezaje kupata taasisi imara?
  2. Bila taasisi imara unawezaje kupata viongozi imara?

Hayo maswali nuliza sababu nataka kujifunza tu, mimi siwezi kujaribu kupimana ubavu wa kifikra na kiongozi msomi, mlezi wa kiroho Askofu Bagonza.

These kind of questions or situations are called 'Infinite Regression'.
Infinite regression inevitably leads to a dilemma. The gurus call it causality dilemma.

Which came first, the chicken or the egg?
Askofu Bagonza atoa pongezi na ujumbe mzito kwa CHADEMA
Kwa hiyo unataka kijibiwa na Baba Askofu au na GT wa JF ?

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
useless mixture , politician in bishop maddness.
 
Hata Askofu Desmond Tutu aliendelea na uaskofu wake wakati akipambana na ubaguzi wa rangi. Kuna ubaya gani askofu huyo akizungumza ukweli?
Shoga tutu na aliachishwa uaskofu kwa umalaya alizaa nje.Bagonza naye kazaa nje ila kanisa linamchekea tu
 
Ujumbe kutoka kwa Baba Askofu Dr Benson Bagonza PhD..

HONGERA CHADEMA, lakini...

Nawapongeza wana Chadema kwa kumaliza uchaguzi. Nawapongeza viongozi wote walioshiriki, wakashindwa na kushinda. Mlichokozwa, hamkuchokozeka. Waleteeni watanzania fikra mpya, hoja mpya na siyo Tanzania mpya.
Tanzania ni moja isiyo na mipaka mipya na kwa hiyo Tanzania siyo mpya.

Mnapoanza awamu mpya zingatieni haya:

1. Taifa imara linahitaji Chama tawala imara.

2. Chama tawala imara kinahitaji chama mbadala/Pinzani imara.

3. Serikali imara inahitaji chama tawala na chama pinzani imara.

4. Bunge imara linahitaji chama tawala imara, serikali imara na kambi ya upinzani imara. Nje ya haya, hakuna spika imara.

5. LAKINI, uimara wa chama cha upinzani hautokani na uimara wa chama tawala. Msibweteke.

6. Mkutano wenu umeonyesha haya:

- Chadema ina mashabiki wengi kuliko wanachama. CCM ina wanachama wengi kuliko mashabiki.

- Kazi ya Chadema ni kubadili mashabiki kuwa wanachama, na ya CCM ni ya kuongeza mashabiki bila kupoteza wanachama. Msichukiane, msipendane, msimalizane bali mjifunze kuishi na hali msiyoweza kuibadilisha.

- Wanachama wanapenda kuchagua viongozi wao. Hujuma kutoka wapinzani wenu zina nguvu sawa hujuma za kutengeneza wenyewe. Jilindeni na chachu ya ubaguzi, ukanda, U-wenyewe na ubabe. Haya ni mabaya kwa watani wenu, hayawezi kuwa mazuri ndani yenu.

7. Kubalini bila uchungu kuwa, hakuna chama cha siasa Tanzania chenye uwezo wa kushinda uchaguzi kwa kutegemea kura za wanachama wake tu. Kazi ya kushawishi haiepukiki. Kulazimishana ni kubaka demokrasia. Hakuna anayezaliwa akiwa mzalendo au msaliti. Kuna wakati Yuda anahitajika ili kuujua uimara wako. Bila ushirikiano, kuna chama pinzani cha milele na chama tawala cha milele.

8. Haja ya kuwa na taasisi imara kuliko kuwa na viongozi/watawala imara ni kubwa sasa kuliko huko nyuma. Hakuna taasisi imara nje ya KATIBA MPYA inayolipatia taifa tume huru ya uchaguzi, bunge huru, mahakama huru, asasi huru za kiraia, media huru na wananchi walio huru. Hofu ni adui wa maendeleo.
Amani endelevu imo ndani ya tumbo la katiba mpya.

Tanzania yenye amani ni tunda la mshikamano wenye haki ndani yake. Msichoke kutafuta maridhiano ndani na nje yenu.

Mungu ibariki Tanzania.
Kiongozi yoyote wa dini anaye comment kwenye mambo ya siasa iwe CCM au CHADEMA kwangu ni mwanasiasa tu.
 
Huyu ni Askofu wa siasa au dini? ila anatoa matamko kwa kiwango cha PhD
Bado u-mchanga sana kwenye kuyaishi maisha.What if I entitle you as a "student of life"?Unawezaje kutenganisha siasa na imani au dini?Kafute mistari ya Yesu Masihi alivyolumbana na Wasadukayo na Wafarisayo kwanza.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Habari wana JF?
Baada ya kusoma ushauri unaodaiwa kutolewa na Askofu Bagonza kwa viongozi wa CHADEMA baada ya uchaguzi wao wa viongozi uliofanyika December 2019 nikajikuta nimekumbuka maswali ya siku nyingi
(1) Kati ya fedha na elimu kitu gani muhimu au kitangulie kwanza?
(2)Kati ya yai na kuku kitu gani kilitangulia?

Baba Askofu Bagonza kwaaambia CHADEMA "Haja ya kuwa na taasisi imara kuliko kuwa na viongozi/watawala imara ni kubwa sasa kuliko huko nyuma."

  1. Mimi namuuliza bila viongozi imara unawezaje kupata taasisi imara?
  2. Bila taasisi imara unawezaje kupata viongozi imara?

Hayo maswali nuliza sababu nataka kujifunza tu, mimi siwezi kujaribu kupimana ubavu wa kifikra na kiongozi msomi, mlezi wa kiroho Askofu Bagonza.

These kind of questions or situations are called 'Infinite Regression'.
Infinite regression inevitably leads to a dilemma. The gurus call it causality dilemma.

Which came first, the chicken or the egg?
Askofu Bagonza atoa pongezi na ujumbe mzito kwa CHADEMA
Mods hamku utendea haki huu uzi wangu kuweka kama post kwenye thread nyingine.
Anyway naheshimu mawazo yenu lakini mmepunguza mjadala mkubwa sana wa kifalsafa (philosophy).

Ikitokea watu wakaanza kujadili hoja yangu hii mtasababisha thread nzuri ya huyu mleta mada ihamie kwenye maudhui mengine ya iliyokuwa thread yangu.
wakati hapa kwenye thread yake hii ni sehemu moja tu ya aliyozungumza Askofu Bagonza.
Mnaminya mjadala wenye kuingia ndani zaidi kuhusu mahitaji ya sasa ya taifa.
 
Kwa hiyo unataka kijibiwa na Baba Askofu au na GT wa JF ?

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Na yeyote yule.
Ikitokea ikampendeza Askofu mwenyewe anaweza kuja kuchangia mawazo yake.
 
Hakuna Correlation kati ya Content ya uzi na heading juu pale.
Heading yako automatic ime Narrow chance ya kupata Majawabu kutoka kwa watu tofauti tofaiti...
Labda utuambie why have you addressed the Matter to Bishop Bagonza

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Bora Mods mmeunga kwenye huu uzi

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Hakuna Correlation kati ya Content ya uzi na heading juu pale.
Heading yako automatic ime Narrow chance ya kupata Majawabu kutoka kwa watu tofauti tofaiti...
Labda utuambie why have you addressed the Matter to Bishop Bagonza

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Haya ni maoni yako, nasubiri na ya wengine pia.
Ahsante kwa maoni yako.
 
Mods washaunga uzi Mkuu
Kimsingi you had a point,ila.umekosea presentation.
Ny the way,your topic has nothing to do na Jukwaa la Siasa

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Mods washaunga uzi Mkuu
Kimsingi you had a point,ila.umekosea presentation.
Ny the way,your topic has nothing to do na Jukwaa la Siasa

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom