Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Mkuu umeandika kama mtu anayemfahamu kwa undani huyu askofu.Bagonza Ni Chadema alikuwa team Lowasa.Lowasa aliwaingiza pori viongozi wengi wa dini kwa kuwagawagawia pesa .Huyo nimmmoja wa waliokula pesa za Lowasa
Kabla Lowasa kujitosa na kurubuni viongozi wa dini ,viongozi wengi wa dini walikuwa mbali na siasa ilikuwa wao na dini dini na wao .Lowasa aliharibu Sana baadhi ya viongozi wa dini .Wengi maskini ushiriki wao kwenye siasa ulikuwa kwa Mara ya kwanza tokea Wawe viongozi wa dini.Maburungutu ya pesa na misaada laghai ikawapofusha
Nakumbuka askofu mmoja Yuko kinondoni alitangaza kanisani kuwa hili.kanisa sisi Ni UKAWA tuko na Lowasa asiyetaka aondoke kanisani
Lowasa kugawa hela kwa baadhi ya viongozi wa dini wengine wakakengeuka wakaona ohh kumbe kushabikia siasa kunalipa.Wengine wamejirudi Bagonza kabaki huko huko akitarajia siku za mgao wa pesa zaweza Rudi kaacha kusubiria kurudi kwa Yesu Mara ya pili anasubiria kurudi kwa mgao wa pesa Mara ya pili
Ana uhaya usiofichika kwa kumsikiliza utaugundua.