Askofu Bagonza atoa pongezi na ujumbe mzito kwa CHADEMA

Mbona umehamisha mada tena? Tulikuwa kwenye mada ya viongozi wa dini wazungu kutokuingilia siasa na nikakupa sababu, lakini ni kama umeanza mada nyingine tena. Miradi baada ya uhuru ni jukumu la serikali na usiwatwishwe hilo zigo wasiohusika. Wanachokifanya ni hisani na si wajibu wao.
 
Ni askofu anayesema ukweli tu awe na chama au asiwe na chama wewe angalia anachokisema Kama kweli au uongo, sio askofu mnafiki

Kama anawapongeza chadema, awapongeze na serikari kwa yale mazuri waliyofanya ili wayaendeleze, kama kweli ni mtu wa ushauri hana upeande wowote.
 
Huyu Baba Askofu ni mwelewa sana na naufanyia kweli u PhD wake. Maneno yake yanachoma mpaka ndani kabisa.
 
Huyu Baba Askofu ni mwelewa sana na naufanyia kweli u PhD wake. Maneno yake yanachoma mpaka ndani kabisa.
 
Ujumbe kutoka kwa Baba Askofu Dr Benson Bagonza PhD..

HONGERA CHADEMA, lakini...

Tanzania yenye amani ni tunda la mshikamano wenye haki ndani yake. Msichoke kutafuta maridhiano ndani na nje yenu.

Mungu ibariki Tanzania.
Kuna maneno humo yamejaa maono na hekima.. asante Baba Askofu...
 
Mkuu, umetupa mawe container nzima, ngoja Baba Askofu au wapambe wake waje kujibu hoja.
Sidhani kama kuna mtu mwenye akili atapoteza muda wake kumjibu huyo anayemkashifu Askofu. Huyo aliyemkashifu Askofu, ni dhahiri anahitaji msaada wa walio wazima wamfikishe Mirembe haraka.
 
Hivi askofu Bagonza ni mwanachadema wa chadema? Mbona message zake zimekuwa ki chadema zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…