Askofu Bagonza: Jakaya Kikwete hana ushawishi wowote kwenye Awamu ya Sita

Wapinzani wa nchi hii wamejaa "siasa za kufikirika"....

Ndio ninaziita za kufikirika kwani "wao ni waafrika" na "wako afrika"....

Wapinzani wa nchi hii wengi hawajui walitakalo.....

Kipindi cha JK akina Mnyika walimwita Legelege.....

Kipindi cha JPM Chadema wakamuita Dikteta......

Amekuja kipenzi chetu mh.SSH naye kwa muda mfupi mno WANAMDOGOSHA/WANAMDHIHAKI/ mbaya zaidi wanamuita Dikteta.......

Dawa ya ndugu hawa ni hii COMMENT hapa chini......


#Siempre JMT
#NchiKwanza
#Kazi Iendelee Kwa Kasi & Weledi Zaidi
 
Hata mimi nashangaa ni sawa na mwenda zake badala angekua padri yeye akawa rais afu kila jumapili yupo madhabahuni anapiga vijembe na kukoromea watumishi wa Mungu
 
Viva JK wapi wakati aliwatendea vizuri upinzani na upinzani mkamjibu kwa kumtendea mabaya? Kama siasa sio uadui kwa Nini mliitisha migomo ya madaktari watu wakafa Kama kuku kipindi Cha Kikwete mahospitalini? Mkaitisha migomo ya madereva wa mabasi nchi nzima mnyika akiwa ndie kinara wa kusimamia migomo ile?

Mlivuruga na kuchafua nchi isitawalike kipindi Cha Kikwete pamoja na uzuri Kumbe CCM tulikuwa tunawaangalia tu majibu yenu mliyapata kwa Magufuli mtarudia Tena ule ushenzi mlimfanyia Kikwete semeni mtarudia au mumekoma hamrudii Tena? Tubuni kwanza ushenzi mlifanyia Kikwete Ndipo tuelewane

Kikwete alikuwa Yuko Tayari ku sacrifice hata kura ili mpate lakini wapi mitusi kwake kibao.Baada ya kunyooshwa na Magufuli naona Sasa vichwa vyenu akili zinaanza kuwarudia mnaanza kujua siasa safi ni Nini baada ya Magufuli kuponda vichwa vyenu barabara

Na Mama Samia msimzengue alushatamka wazi kabisa .CCM hatutakubali yajirudie mliyomfanyia Kikwete baada ya kuwafanyia mema .So behave yourselves
 
Kiongozi wa dini hasa ya Kikristo Yesu kawatuma ulimwenguni kwenda kuhubiri Injili hakuna mahali Yesu aliwatuma wakahubiri Siasa hakuna popote Agano Jipya.

Hawa ni majobless waliojiunga na dini wapate sehemu ya kupata maisha sio vio gozi waliotumwa na Yesu kuhubiri injili ndio maana waweza kuta wanahubiri katiba mpya au tume huru badala ya injili!!!

Badala ya kufungua Biblia kuhubiri Injili unawakuta wameshika katiba wanasema tufungue katiba kifungu Cha ngapi huko!!!

Tatizo la Tanzania kutoendelea ni kuwa watu hawajiliti kwenye fani zao kuepuka mwingiliano.Kiongozi wa dini ana nafasi kubwa akisimama eneo lake kuleta mageuzi makubwa hata ya kiuchumi kupitia eneo lake tu mfano tulikuwa na yule mzee mchungaji Mwasapile mzee wa kikombe Cha Babu Hakuwa mwanasiasa akaema Mungu kamuonyesha kitu dawa.Akaanza kutumia kikombe chake kule
porini kabisa .Mamilioni ya watu walienda kutoka ndani na nje ya nchi na kwa kuwa lile eneo ni la hifadhi walilipa viingilio .Halmashauri kwa mwezi kwenye eneo Hilo kwa mwezi mapato yalikuwa milioni 15 Mwasapile akayapaisha kufikia bilioni moja kwa mwezi kwa wageni walioingia simu zilikuwa hazidaki kule makampuni ya simu yakaweka minara kuhudumia Mamilioni ya watu waenda kule, barabara ilikuwa mbaya ikatengenezwa, kampuni za kubeba abiria zikapata pesa hasa,hoteli zikafurika wageni nk lakini alisimama eneo lake tu

Hawa akina Bagonza ni weupe ndio maana hawajui wafanye Nini ndani ya wito wait
TB Joshua kule Nigeria alitunukiwa Hadi Nishani na serikali kwa kuiza religious tourist wengi walioingizia mapato serikali ya Nigeria kupitia Visa kuliko sekta yeyote na kuchangamsha uchumi wa Nigeria na image kupitia wageni wake na huduma yake.Watu kutoka mataifa mengi duniani walienda kwa TB Joshua!!! Bagonza watu toka taifa gani wanaenda kwake wageni wake labda Askofu mwamakula asiye na waumini akitokea kimara kwenda kumtembelea Bagonza ,!!!
 
utopolo
 
utopolo
 
Udhaifu wa akili yako hauwezi kufanya wengine wasione usahihi wa maoni ya Bagonza.
Nayaheshimu maoni yako kwangu kama ninavyoyaheshimu ya akina Bagonza.....

Maoni ya mtu si lazima yawe sahihi na yenye UHALISIA...
 
Ilisemwa ya Kaisari mpe kaisari ya Mungu mpe Mungu. Fullstop.
 
Nikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.

Sana sana nafarijika napoona anahimiza waamini wajikite katika kufuata misingi yote pasipo kuvunja sheria za nchi.
Hasa kule babeli waliokuwa wanapingana na Mungu
 
Askofu mpumbavu
Askofu aliyefunga kanisa wakati wa korona watu wasali majumbani mwao halafu huyohuyo hajawahi hata kuwaza kufunga milango ya kanisa kwa kirusi kikali zaidi cha delta...ni mpumbavu kweli kweli huwezi wanyima watu haki ya kusali kisa tu ati wewe ni askofu
 
Serikali ya awamu ya 4 ilikuwa haina muda wa kukaa nchini na kuongoza nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…