Matumizi mabaya ya mistari ya biblia umeelewa alichosema bagonza?Labda Askofu Bagonza anatamani sana majukwaa ya kisiasa kuliko kutumikia wanakondoo wake. Aamue moja tu kama Padre wa zamani Dr Wilbroad Slaa, atoke madhabahuni aje apambane na akina Nape na Iddi Nondo.
Bagonza anajuwa kabisa kuwa Biblia imeandika:-
Mathayo 22:21 BHN
Wakamjibu, “Ni ya Kaisari.” Hapo Yesu akawaambia, “Basi, ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu.”
Tumjengee mnara njia panda ya xhamwino Dodoma huyu DrAskofu akili kubwa huyu!
Leta tafsiri yako. Ila usidanganyike kuwa kwenye maneno kuna tafsiri mojaUnaijua maana halisi ya kile alichosema Bwana Yesu?
Nakupa elimu ya bure wewe mburura na bado una bishaUme quote mandiko ya mtu mbumbu?? Wewe ni mjinga sana aisee
Wewe umeelewaje kwanza kabla ya kusema nimetimia vibaya mistari ya bibliaMatumizi mabaya ya mistari ya biblia umeelewa alichosema bagonza?
Jinga kama unipe elimu? Labda ilimu! Pumbavu kabisaNakupa elimu ya bure wewe mburura na bado una bisha
Huna lolote wewe kapukuLeta tafsiri yako. Ila usidanganyike kuwa kwenye maneno kuna tafsiri moja
Nasubiri majibu ya wale Wafarisayo na Wasadukayo waliojijongeza upenuni mwa jengo kwenda kubumba majibu.🤔Dkt.Benson Bagonza Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe alikuwa akihojiwa na Mwanahabari nguli Jenerali Ulimwengu ambaye alimuuliza " Baba Askofu ningependa nikuulize, wewe umekuwa ukitoa mawazo yako hadharani juu ya masuala ya kisiasa huwa hakuna 'contradiction' kwamba unaingiza labda Siasa ndani ya Dini?..."
Askofu Dkt. Bagonza. “Mimi nadhani siasa ni uwanja wa watu wote lakini Dini ni uchaguzi wa mtu binafsi, Siasa ni yetu wote kwakuwa tunapiga kura, tunalipa kodi, ni yetu wote na sioni sababu ya mtu kumuwekea mtu mwenzake mipaka..." -
Aliongeza kusema, "Kwanini mnahoji kwamba nachanganya Dini na Siasa?, nikijenga Shule mbona hamsemi nachanganya Elimu na Dini?, nikijenga Hospitali mbona sihojiwi kwamba nachanganya Afya na Dini?, nikichimba kisima cha maji kwa wananchi mbona hawasemi kwamba unaingilia idara ya maji?..." -Askofu Dkt. Bagonza
"... nikimkuta mgonjwa pale nikampa dawa siulizwi kwanini unachanganya Dini na Siasa na hata sihojiwi kwanini unachanganya Afya na Dini lakini nikihoji kwanini mgonjwa huyu hana dawa?, kwanini serikali haileti dawa kwaajili ya mgonjwa wanasema aaah.., anachanganya Dini na Siasa, sasa huoni hapo kwamba kuna shida ya kimantiki?” -Askofu Dkt. Bagonza.
Huyu Mwamba anawasanua sanaDkt.Benson Bagonza Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe alikuwa akihojiwa na Mwanahabari nguli Jenerali Ulimwengu ambaye alimuuliza " Baba Askofu ningependa nikuulize, wewe umekuwa ukitoa mawazo yako hadharani juu ya masuala ya kisiasa huwa hakuna 'contradiction' kwamba unaingiza labda Siasa ndani ya Dini?..."
Askofu Dkt. Bagonza. “Mimi nadhani siasa ni uwanja wa watu wote lakini Dini ni uchaguzi wa mtu binafsi, Siasa ni yetu wote kwakuwa tunapiga kura, tunalipa kodi, ni yetu wote na sioni sababu ya mtu kumuwekea mtu mwenzake mipaka..." -
Aliongeza kusema, "Kwanini mnahoji kwamba nachanganya Dini na Siasa?, nikijenga Shule mbona hamsemi nachanganya Elimu na Dini?, nikijenga Hospitali mbona sihojiwi kwamba nachanganya Afya na Dini?, nikichimba kisima cha maji kwa wananchi mbona hawasemi kwamba unaingilia idara ya maji?..." -Askofu Dkt. Bagonza
"... nikimkuta mgonjwa pale nikampa dawa siulizwi kwanini unachanganya Dini na Siasa na hata sihojiwi kwanini unachanganya Afya na Dini lakini nikihoji kwanini mgonjwa huyu hana dawa?, kwanini serikali haileti dawa kwaajili ya mgonjwa wanasema aaah.., anachanganya Dini na Siasa, sasa huoni hapo kwamba kuna shida ya kimantiki?” -Askofu Dkt. Bagonza.
Nadhani si Mwamposa ni Gwajima mkuu kama sijakosea.Rwakatare alikuwa kiongozi wa kanisa na aligombea ubunge viti maalum ccm na alipata na hakujivua uongozi wa kanisa lake. Dini na Siasa
Mwamposa alipewa ubunge wa Kawe akiwa kiongozi wa kanisa, na hakujivua uongozi wa kanisa lake. Dini na Siasa.
Hii imekaaje?
Amepiga kwenye Mshono
Zaidi ya kwenye mshono.Mishono mingine ni ya nyuzi mbili tu tena kidole kidogo cha mwisho.Hapo anaung'oa moyo wa mwovu kwa mikono.Amepiga kwenye Mshono
Msomi mwenye akili timamu inayojitegemea na kujitambua hangeweza kusema wachungaji wanachanganya dini na siasa, very narrow minded individuals ndiyo wana fikra hizoAskofu Dkt. Bagonza. “Mimi nadhani siasa ni uwanja wa watu wote lakini Dini ni uchaguzi wa mtu binafsi, Siasa ni yetu wote kwakuwa tunapiga kura, tunalipa kodi, ni yetu wote na sioni sababu ya mtu kumuwekea mtu mwenzake mipaka..." -
Aliongeza kusema, "Kwanini mnahoji kwamba nachanganya Dini na Siasa?, nikijenga Shule mbona hamsemi nachanganya Elimu na Dini?, nikijenga Hospitali mbona sihojiwi kwamba nachanganya Afya na Dini?, nikichimba kisima cha maji kwa wananchi mbona hawasemi kwamba unaingilia idara ya maji?..." -Askofu Dkt. Bagonza
Wee mpuuzi wa kiwango cha juu, vipi kuhusu Askofu Gwajima unamwambiaje au kwa kuwa ni CCMUsipindishe. Ninamaanisha yeye aendelee na kazi yake ya uongozi wa kiroho na kazi za kisiasa awaachie wanasiasa.
Kumbe ni chuki zako binafsi. Mbona hatujasikia huyo mwanae akilalamika au wewe ndiye mwanae uweke wazi ushahidi tukujueTwo wrongs do not make one right. Gwajima ahukumiwe kama Gwajima, mimi na deal na huyu Bagonza askofu aliyetelekeza mwanaye aliyezaa na kimafa
Kweli.....hata wale wanaosema hivyo sio kwamba hawana akili bali ni katika kulindana mafisadi kwa mafisadi ili wasikemewe.Msomi mwenye akili timamu inayojitegemea na kujitambua hangeweza kusema wachungaji wanachanganya dini na siasa, very narrow minded individuals ndiyo wana fikra hizo
Wengine wapo KKKT usiogope kuwatajaKweli.....hata wale wanaosema hivyo sio kwamba hawana akili bali ni katika kulindana mafisadi kwa mafisadi ili wasikemewe.
Mafisadi wanapenda matapeli wa Injili kama akina
kuhani Musa
Mwamposa
Mzee wa Bapa
Etc
Hehehe ongezea listWengine wapo KKKT usiogope kuwataja
Kaskazini na PwaniHehehe ongezea list