Pre GE2025 Askofu Bagonza: Kanisa likijenga Shule ama Hospitali halihojiwi na Serikali, lakini likihoji mbona dawa hakuna linaambiwa lisichanganye dini na siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Labda Askofu Bagonza anatamani sana majukwaa ya kisiasa kuliko kutumikia wanakondoo wake. Aamue moja tu kama Padre wa zamani Dr Wilbroad Slaa, atoke madhabahuni aje apambane na akina Nape na Iddi Nondo.

Bagonza anajuwa kabisa kuwa Biblia imeandika:-
Mathayo 22:21 BHN
Wakamjibu, “Ni ya Kaisari.” Hapo Yesu akawaambia, “Basi, ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu.”
Matumizi mabaya ya mistari ya biblia umeelewa alichosema bagonza?
 
Mmemangangania mathayo,soma kitabu Cha ISAYA,ole wa watawala wadhalimu,wanaominya Haki za maskini,huwezi kutenganisha siasa na dini,dini kazi yake ni kukemea maovu na udhumalumaji Kwa wanadamu,taasii za kibina damu na serikali zao zote,mtu anasema dini isiingilie siasa ana undugu na shewtain
 
Dkt.Benson Bagonza Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe alikuwa akihojiwa na Mwanahabari nguli Jenerali Ulimwengu ambaye alimuuliza " Baba Askofu ningependa nikuulize, wewe umekuwa ukitoa mawazo yako hadharani juu ya masuala ya kisiasa huwa hakuna 'contradiction' kwamba unaingiza labda Siasa ndani ya Dini?..."

Askofu Dkt. Bagonza. “Mimi nadhani siasa ni uwanja wa watu wote lakini Dini ni uchaguzi wa mtu binafsi, Siasa ni yetu wote kwakuwa tunapiga kura, tunalipa kodi, ni yetu wote na sioni sababu ya mtu kumuwekea mtu mwenzake mipaka..." -

Aliongeza kusema, "Kwanini mnahoji kwamba nachanganya Dini na Siasa?, nikijenga Shule mbona hamsemi nachanganya Elimu na Dini?, nikijenga Hospitali mbona sihojiwi kwamba nachanganya Afya na Dini?, nikichimba kisima cha maji kwa wananchi mbona hawasemi kwamba unaingilia idara ya maji?..." -Askofu Dkt. Bagonza

"... nikimkuta mgonjwa pale nikampa dawa siulizwi kwanini unachanganya Dini na Siasa na hata sihojiwi kwanini unachanganya Afya na Dini lakini nikihoji kwanini mgonjwa huyu hana dawa?, kwanini serikali haileti dawa kwaajili ya mgonjwa wanasema aaah.., anachanganya Dini na Siasa, sasa huoni hapo kwamba kuna shida ya kimantiki?” -Askofu Dkt. Bagonza.
Nasubiri majibu ya wale Wafarisayo na Wasadukayo waliojijongeza upenuni mwa jengo kwenda kubumba majibu.🤔
 
Huyu Mwamba anawasanua sana
 
Rwakatare alikuwa kiongozi wa kanisa na aligombea ubunge viti maalum ccm na alipata na hakujivua uongozi wa kanisa lake. Dini na Siasa
Mwamposa alipewa ubunge wa Kawe akiwa kiongozi wa kanisa, na hakujivua uongozi wa kanisa lake. Dini na Siasa.
Hii imekaaje?
Nadhani si Mwamposa ni Gwajima mkuu kama sijakosea.
 
Askofu Dkt. Bagonza. “Mimi nadhani siasa ni uwanja wa watu wote lakini Dini ni uchaguzi wa mtu binafsi, Siasa ni yetu wote kwakuwa tunapiga kura, tunalipa kodi, ni yetu wote na sioni sababu ya mtu kumuwekea mtu mwenzake mipaka..." -

Aliongeza kusema, "Kwanini mnahoji kwamba nachanganya Dini na Siasa?, nikijenga Shule mbona hamsemi nachanganya Elimu na Dini?, nikijenga Hospitali mbona sihojiwi kwamba nachanganya Afya na Dini?, nikichimba kisima cha maji kwa wananchi mbona hawasemi kwamba unaingilia idara ya maji?..." -Askofu Dkt. Bagonza
Msomi mwenye akili timamu inayojitegemea na kujitambua hangeweza kusema wachungaji wanachanganya dini na siasa, very narrow minded individuals ndiyo wana fikra hizo
 
Two wrongs do not make one right. Gwajima ahukumiwe kama Gwajima, mimi na deal na huyu Bagonza askofu aliyetelekeza mwanaye aliyezaa na kimafa
Kumbe ni chuki zako binafsi. Mbona hatujasikia huyo mwanae akilalamika au wewe ndiye mwanae uweke wazi ushahidi tukujue
 
Msomi mwenye akili timamu inayojitegemea na kujitambua hangeweza kusema wachungaji wanachanganya dini na siasa, very narrow minded individuals ndiyo wana fikra hizo
Kweli.....hata wale wanaosema hivyo sio kwamba hawana akili bali ni katika kulindana mafisadi kwa mafisadi ili wasikemewe.

Mafisadi wanapenda matapeli wa Injili kama akina

kuhani Musa
Mwamposa
Mzee wa Bapa
Etc
 
Wengine wapo KKKT usiogope kuwataja
 
Back
Top Bottom