Askofu Bagonza: Lissu amekosea kueleza in details alichoongea na Rais, akiendeshwa na mashabiki

Kwa hili napingana na Dkt Boganza. Lissu kafanya vema sana kusema ukweli & uwazi wa kilicho zungumzwa! La sivyo wachawi wasingekawia kumtungia stories za kusaliti au kusalimu amri!
Haswa na walishaanza!!
 
All is possible, labda walikubaliana na Samia kuwa unaweza kutoa kidogo tulichoongea.
 
Kuna mtu nimewah kumwambia kuwa Lissu sio sawa na Mbowe.Lissu ni mwanaharakati mwenye mihemko kariba ya john heche,msigwa,sugu,mdude,ni tofauti na Mbowe,mnyika na salum Mwalim ilitosha kuzungumza na rais then akae kimya asubir utekelezaji vinginevyo inaonekana km kutaka kumdrive rais anaweza kukosa vyote km kipindi cha katiba ya WARIOBA ni ushauri wangu binafsi apunguze mihemko
 
Kwa hili napingana na Dkt Boganza. Lissu kafanya vema sana kusema ukweli & uwazi wa kilicho zungumzwa! La sivyo wachawi wasingekawia kumtungia stories za kusaliti au kusalimu amri!
Pole- any way maoni yako ni stahiki yako ila baki nayo- LISSU KAKOSEA , KAMKOSEA ADABU RAIS NA AMEMCHONGANISHA NA WATU
 
Kwani kaongea nini kibaya?
 
Pole- any way maoni yako ni stahiki yako ila baki nayo- LISSU KAKOSEA , KAMKOSEA ADABU RAIS NA AMEMCHONGANISHA NA WATU

Sikushangai - wachawi wakikosa wa kumloga wanaloga mpaka mbwa koko! Pole kwa kukatwa kilimilimi & kisabisabina!!!
 
Kumbe Lisu alikaguliwa?

Kitendo hicho kimemnchukiza sana bagonza!

Inaonekana hii ya kusema Lisu ndio kaomba kuonana na rais inawauma sana machadema!

Yenyewe yalitaka isomeke, Rais kaomba kuonana na Lisu
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Lissu ni kiongozi wa chama na aliyoyaongea na Rais ni masuala ya kitaifa wala sio masuala yao binafsi, km kiongozi wa chama alipaswa kutoa taarifa kwa wanachama wake juu ya huo mjadala.

Lissu huwa yupo wazi hataki longolongo, na lengo lake nikutaka kuwa safe wasimlishe maneno.
 
ziara ya Rais ilelenga kukutana na Lissu ili aweke hali ya hewa Safi huko Duniani so far Rais aliitisha mkutano na vyama vya siasa chadema waligoma Sasa hapo nani mshindi? Think big buder.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…