Askofu Bagonza: Lissu amekosea kueleza in details alichoongea na Rais, akiendeshwa na mashabiki

Una utindio wa ubongo wala sio bure, ziara ya Rais ilelenga kukutana na Lissu ili aweke hali ya hewa Safi huko Duniani so far Rais aliitisha mkutano na vyama vya siasa chadema waligoma Sasa hapo nani mshindi? Think big buder.
Hayo ndio mawazo yenu mnavyotaka iwe!

Ndio maana unaona bagonza amefura sana baada ya kusambaa kwa picha akikaguliwa kuonesha kwamba yeye ndio aliomba kuonana na rais!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kama kwenye statement ya Ikulu kusingekuwa na maneno "LISSU aliomba kukutana na Rais" ambayo mwandishi na wahafudhina walitaka kuaminisha Umma kwamba Mama Samia hakuwa na haja ya kukutana na Lissu ila shida zake zimemfanya aombe, wala LISSU asingeongea kiundani walichojadili kama unavyoona. Ili kuepusha upotoshaji wa wana CCM akaona aweke hints za alichomwambia na siyo walichoongea ndo maana hapo hakuna maneno ambayo Samia amemwambia LISSU.
 

Who cares? Nchi haieleweki hii
 
Hayo ndio mawazo yenu mnavyotaka iwe!

Ndio maana unaona bagonza amefura sana baada ya kusambaa kwa picha akikaguliwa kuonesha kwamba yeye ndio aliomba kuonana na rais!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
So far nini kimemfanya Rais akubali kukutana nae wakati haikuwa mipango yake?😀, Yaani anakatisha ziara yake kwaajili ya kamsikiliza Lissu?. Poleni hapo ndio mmeona chama na vile vikundi vyenu.
 
 
Una utindio wa ubongo wala sio bure, ziara ya Rais ilelenga kukutana na Lissu ili aweke hali ya hewa Safi huko Duniani so far Rais aliitisha mkutano na vyama vya siasa chadema waligoma Sasa hapo nani mshindi? Think big buder.
 
So far nini kimemfanya Rais akubali kukutana nae wakati haikuwa mipango yake?[emoji3], Yaani anakatisha ziara yake kwaajili ya kamsikiliza Lissu?. Poleni hapo ndio mmeona chama na vile vikundi vyenu.
Amekatisha ziara?

Kwani kwa ratiba muda wa lisaa 1 aliokutana na Lisu alitakiwa kuwa wapi?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Mazungumzo ya Lissu na Rais hayakuwa ya siri na yalikuwa ya pande mbili , haikuwa hotuba ya siri ya rais , hakuna haja ya kuficha
 
Kwani kukutana Rais mlitaka iwe siri ? Naunga mkojo hoja...kila upande ulimuhitaji mwingine.

Lissu kafanya uwakilishi mpana kwa taifa, mama na yeye kwa niaba ya Serikali kaupiga mwingi tu.

Watu wanataka ligi eti nani alimwomba mwenzake kukutana? na ni nani mshindi na nani kapoteza etc..

Mshindi ni Tanzania.
 
Binafsi napingana na mawazo ya Bagonza. kwanza Lisu kafanya jambo jema kabisa ku-highlight yale waliyoongea. kwani vinginevyo kungekuwa na spinning nyingi ambazo ni tofauti na mada husika kwa maslahi ya wachache wanaofadika na huo mfumo haramu. kama Hamjui kuna kundi la watanzania wanaofurahia maumivu ya waTZ wenzao kwa maslahi yao. ukipita mitandaoni utaona hata baada ya TAL kuweka wazi mazungumzo yao wapo wanaokejeli na pengine hata wasingependa kikao hicho kifanyike. TAL ameshawambia waTZ juu ya yale waliyozungumza na Mh Raisi, hivyo inabaki kuwa kipimo kwa SSH kuwaonesha WaTZ dhamira yake ya aidha kuyafanyia kazi kwa haraka yale waliyozungumza ili kuleta matumaini au kushupaza shingo.

TAL angeweza kukaa kimya tu iwapo kikao hicho kingekuwa cha siri na bila kurusha picha wala barua ya ikulu inayotoa taaraifa ya kufanyika kikao hicho, kitendo ambacho upande wa serikali walihitaji sana kuwaonesha walimwengu kwamba sasa hivi kuna hatua zinafanyika ili kuleta ustawi wa kidemokrasia na utu katika taifa letu.

Mazungumzo ya jana TAL alikuwa akitaka sana kukutana na Raisi kama ilivyo kwa Raisi naye alitaka sana kuonana na TAL
 
Kama kuna jambo nyeti lenye maslahi ya umma ambalo linaweza kupotoshwa, itifaki huwa inahitaji kukubaliana baada ya mazungumzo taarifa kwa umma iseme nini! Ni masuala ya Ikulu kuyaangalia mambo haya siku za usoni. Vinginevyo, Baba Askofu yuko sahihi kwa mtazamo wa heshima kwa Rais wetu na Lissu yuko sahihi kwa upande wa kujihami kuhusu madhumuni na kilichojiri kwenye mkutano wake na Rais ili mkutano huo usitumiwe kama fursa ya wapiga ramli wa pande zote!
 
Nadhani Lissu amefanya hivyo kwa vile anajua watu walitegemea makubwa kutokana na mkutano huo. Asingetoa details, kuna uwezekano angeweza kurukwa hapo baadae.

Amandla...
 
Bagonza hajakataaa kuongea waliyozungumza alicho kataa ni Lissu kuongea in details,angeweza kisamarize tu then asubiri utekelezaji
 
Siyo kila jambo ambalo Bagonza anawaza au anaandika ni la kukubali-kukubali tu! hapo ni Rais ambaye ni mkuu wa nchi na serikali, na hilo ni tukio kubwa, kwa vyovyote vile ilikuwa ni lazima tujue nini kilichozungumzwa na hawa watu wawili, na Lissu ametoa tu kwa ufupi yale yaliyozungumzwa, na mkutano wao ulichukua zaidi ya saa 2, sasa unataka kuniambia hayo aliyosema Lissu kwa ufupi ni ya kuzungumza masaa 2? kuna vingine Tundu Lissu hajasema in details....

Halafu msifikiri Lissu hana akili timamu kwamba hajui protocal
 
Si askofu wenu- wewe nani unapingana na askofu tena wa KKKT na mshauri wa kiroho wa Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…