Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Binuka nikubamize.Ukimaliza cku zako unatakiwa kwanza kuoga kabla ya kuja mbele ya marrijali ok!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binuka nikubamize.Ukimaliza cku zako unatakiwa kwanza kuoga kabla ya kuja mbele ya marrijali ok!
hata mimi nililiona hili, nadhani hakupaswa kusema hayo yote..ingekuwepo na summary ya pande zote.
Rais ni rais tu..lazima apewe heshima yake
ukweli huw hauchuji labda kwa misukule.Imeshachuja hyo tafuta nyngne
Mbowe si anapiga pushapu? Au umesahauNaunga mkono!
Lissu hana kifua kipana kama Mbowe!
Nakubaliana na wewe mia kwa mia ,wewe ndio mtu mwenye akili zaidi kuchangia mjadala huu.
Bila lisu kufanya hivyo kungetokea upotoshaji mkubwa na propaganda za hali ya juu kuhusu kikao hicho.
Lisu kichwa au waliomshauri afanye hivyo ni vichwa kwelikweli.
Asante kwa komenti hii.
Siri ya nini?? Naomba jibuInawezekana hujamuelewa askofu. Ni kweli Lissu hakutakiwa kutoa taarifa ya walichozungumza unless otherwise kama wamekubaliana.
Naona kama inajenga taswira kwamba hata yale aliyoyasema japo ni ya msingi lakini Rais hawezi kutekeleza au kufanya jambo kwasababu eti Lissu kasema.
Lissu hajawahi kuniangusha hata siku moja.Nakubaliana na wewe mia kwa mia ,wewe ndio mtu mwenye akili zaidi kuchangia mjadala huu.
Bila lisu kufanya hivyo kungetokea upotoshaji mkubwa na propaganda za hali ya juu kuhusu kikao hicho.
Lisu kichwa au waliomshauri afanye hivyo ni vichwa kwelikweli.
Asante kwa komenti hii.
AmeeniMama Samia,tunakuombea kwa Mwenyezimungu akujaalie umri mrefu uliojaa busara na hekima,akujaalie roho ya kusamehe na akufanyie wepesi ktk juhudi zako za kutu unganisha sisi watanzania.
TUSEME
Aaamiin
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwani ndio Kusema Lissu sio Raia tena?Katika mazingira ya Lissu kuwa ughaibuni na hana passport iwe imeibwa au ilipotea...ni lazima ujenge urafiki na serikali kwa udi na uvumba. Hizi vurugu zinatakaga uwe kwanza na passport
Maskini wa Roho maungulika sana moyoni.Ni kweli na hii inaonyesha hafai kuwa kiongozi mkubwa.
Rais kamheshimu amemfuata unless wangaitisha press ya pamoja.
Mh.Rais next time achana na Hawa wajinga wasio na adabu wala wasiojoelewa.
Mama Samia amewaumbua wachawi wengi huko lumumba. Walikuwa hawapendi kabisa kitu kama cha JanaUzuri ni kuwa SSH utu wake na busara zake zimepitiliza. Kuna wengine humu wangetamani TL wammalizie either kipindi akiwa hospitali au kule Ubelgiji.
Taifa linakuwa imara zaidi kama tunatofautiana mitizamo.
Let's embrace diversity!
Wanaobeza ni wale wenye tabia za kishenzi tu. Binadamu mwenye akili na busara anaelewa umuhimu wa Jambo lile.Mkuu hapo tuta differ kidogo. Ukiangalia kwa makini, wasaidizi wa Ikulu na vuvuzela wa ccm walitaka kuanza kupotosha kwa kufanya neno "LISSU AMEOMBA KUKUTANA NA RAIS" kama agenda kuu. Kwani Rais atakutana na mpinzani wake kama tunavyokutana club au harusini? Lazima kuwe na maombi na nafasi ya ratiba iruhusu.
Lissu aliliona hilo la "ameomba" linaelekea kutumika vibaya hivyo amewa preempty kabla ya kufika mbali kwa kutoa contents za kikao chao kwani hakikuwa cha siri na amesifia maelewano ya walichozungumza na hata lugha ya picha inaonyesha.
Na kwa vile tamko la Ikulu limejieleza na hakuna pahala kauli ya Lissu ilupopingwa basi ni dhahiri lengo la Lissu limetimia.
Tukimdharau huyu mama hasa wapinzani hakika Mungu atatuletea mtu kama Iddi Amini mana hajui wakati wa kujiliwa kwetu.
Mkuu agenda walioamusha Mh Rais na Mh Lissu kwanza ni pigo kwa sukuma gang na the Unknown. Pili inaibua nyoka woote wanafiki.Ulitaka nani aseme?.Mwenye agenda zakumwambia rais alikua Lissu sasa ulitaka rais ndiye aje aseme kua niliongea na lissu na kaniambia kesi ya mbowe ni kesi ya mchongo..Rais hana sababu yoyote yakuelezea umma mazungumzo ya lisu yalivyokua maana yaye yuko kwenye upande wa kutekeleza hoja alizoletewa ila lissu ana sababu kwasababu mazungumzo yale yanafaida kwake,chama chake na hali ya kisiasa kwa ujumla.na amefanya vyema kueleza ili wananchi tujue na tumsubiri rais aamue atakalo amua.sasa sijui vichwa vyenu vinatakaje.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app