Unaungulia moyoni ukiwa wapi ndugu?kwa mtazamo wangu Lissu sio mwanasiasa ni mwanaharakati, mwanasiasa anapozungumzia mazungumzo ya faragha huwa anabakisha na maneno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaungulia moyoni ukiwa wapi ndugu?kwa mtazamo wangu Lissu sio mwanasiasa ni mwanaharakati, mwanasiasa anapozungumzia mazungumzo ya faragha huwa anabakisha na maneno
Uko sahihi. Tuendelee kumwombea Mama Samia huko chamani kwake kuna machatu wengiTukimdharau huyu mama hasa wapinzani hakika Mungu atatuletea mtu kama Iddi Amini mana hajui wakati wa kujiliwa kwetu.
Mungu aliwaletea Waisrael Masihi Yesu Mwana wa Mungu akiwa mpole anayepigwa shavu na kugeuza upande wa pili lakini matokeo yake wakamuua na kumkejeli. Kilichofuata Palitoke uvamizi wa majeshi ya Rumi na kuisambaratisha Israel Kwa Karne 20 bila kuwa na Taifa.
Tumshukuru sana Mungu Kwa kutuletea Samia. Itachukua miaka mingi sana kumpata Mtu kama Mama Samia hasa Afrika.
Ana makosa madogo madogo kwenye namna ya kupanga safu yake yenye wazalendo wa kweli.
Chanzo ni Chama chake kilichojaa walafi na wahuni. Chama ambacho ndicho tatizo kuu kwenye nchi hii. Chama kinachoweza kufanya uovu wowote alimradi kishinde Kwa asilimia 90.
Tumuunge mkono mama Samia ili aiunganishe nchi kimaendeleo na kijamii na kisiasa pia
Mnakumbuka Maalif Seif na Mbatia walizungumza na Rais Samia Ikulu?Naunga mkono!
Lissu hana kifua kipana kama Mbowe!
Acha uongo. Wewe ni CHADEMA asilia.Hivi kuna siri gani katika kuelezea kuwa Serikali imejidhalilisha sana kwa kesi hii ya Mbowe.
Hata sisi wana CCM tunalijua hilo.
Mama amekuwa muungwana kupata maoni ya upande wa pili, hili litambeba.
Umeongea ukweli tena kwa jicho la tatu, tatizo baadhi wanataka kulifanya mmojawapo kati ya Lissu au Raisi aonekane UnderdogKwani kukutana Rais mlitaka iwe siri ? Naunga mkojo hoja...kila upande ulimuhitaji mwingine.
Lissu kafanya uwakilishi mpana kwa taifa, mama na yeye kwa niaba ya Serikali kaupiga mwingi tu.
Watu wanataka ligi eti nani alimwomba mwenzake kukutana? na ni nani mshindi na nani kapoteza etc..
Mshindi ni Tanzania.
Maalim Seif na Mbatia wako derikalini.Mnakumbuka Maalif Seif na Mbatia walizungumza na Rais Samia Ikulu?
Walipotoka utadhani walikuwa wametekwa. Kimyaa. Then what happened? Tunajua waliongea nini??
Putin na Joe biden wanaongea mambo mazito ya kiusalama na wakimaliza wana publish walichoongea sembuse maongezi ya kawaida ya mapatano ya Mtu na Mdogo wake??
Nyie Kama mlitaka nini asiongee, KWa nini mlirusha picha, mlitaka kutengeneza propaganda,alicho kifanya lissu KWa kutoa maazimio 6 imesaidia kuondoa upotoshajiNaunga mkono!
Lissu hana kifua kipana kama Mbowe!
Diplomasia ya Rais mama SSH ni pana mno anaitazama na kuiona leo na kesho ya Tanzania kama taifa Hongera Mama SAMIA.
Nyie ndio wale CCM wajinga wajinga mlio ingia mjini na mbio za mwenge na ushabiki mbuzi wa kusgabikia mtu na si misingi ya chama.Acha uongo. Wewe ni CHADEMA asilia.
Lisu hana koromeo!Nyie Kama mlitaka nini asiongee, KWa nini mlirusha picha, mlitaka kutengeneza propaganda,alicho kifanya lissu KWa kutoa maazimio 6 imesaidia kuondoa upotoshaji
Jicho la mwewe umeona mbali sanaSiri ndio chanzo cha wizi,ufisadi na mikataba mibovu.
Lissu ni mtumishi wetu na anawajibika kwetu sisi wananchi na wanachama,siri ya nini wakati matatizo yetu yanajulikana!?
Hizo siri mfanye na hao wenza wenu sio ktk kazi hizi za wananchi.
Sasa anaishi vipi Kama Hana koromeoLisu hana koromeo!
YameelaaniwaMataga akili hayana,walitaka walete ramli chonganishi tu
Kweli tupuLissu amefanya vile ili kusiwepo na aina yoyote ya kukasalitiana. Ikumbukwe leo Rais alitakiwa kukutana na uongozi wa EU hivyo kikao na Lissu ni turufu kwa serikali ya SSH kuliko kwa Lissu.
Kwa vyovyote, Rais alitaka kujenga hoja ya kuwa na nia njema ya kuanzisha mjadala na upinzani hususani Lissu ambaye yupo ukimbizini alikokwenda kupitisha bakuli.
Kwa Lissu kutoka hadharani na kusema yale, Rais anafungwa na hawezi kumgeuka Lissu kwenye zile hoja, labda atashindwa kutekeleza makubaliano kwa shinikizo la chama chake lakini dunia itajua hakuwa mkweli katika mjadala. Lissu asingetumia ile fursa, hoja zingepitishwa kinyemela katika meza ya mazungumzo na viongozi wa EU alafu rais akirudi nchini anaamua kupotezea, hapo tayari Lissu anakuwa ametumika.
najua kuwa walizungumza mengi.. mm nasemea hayo aliyoyasemaNyie mnajuaje kasema yote? Mlikuwepo kwenye kikao au ni hisia zenu zinawatuma kuwa Lissu kaongea yote? Mnajuaje kazungumza kuwawin wazee wa kulisha maneno kaamua kuwawahi