EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Soma tena uzi kenye preambleHivi huwa ni wa Kanisa gani huyu?
Soma tena uzi kenye preambleHivi huwa ni wa Kanisa gani huyu?
Tulia wewe ili sindano ikuingie vizuri, unarukaruka nini?Hakuna mtu mjinga katika watumishi wa dini ila huyu tu maana haeleweki ni mtumishi wa kanisa au ni mwanasiasa achague moja dini au siasa aache ujinga wake hapa
PhD sio mchezoHuyu askofu yuko Smart sana, hajawahi kuyumba
Huyu askofu ningekuwa karibu nae ningemnunulia hata soda tu anywe. Ananibariki sana
tunamzungumzia huyu hatujamzungumzia Gwaji boy fungua uzi na wewe tuchangie kuhusu GwajiKwani gwajima vipi yeye?
We jamaa jina linafanana na jamaa alisoma HGL Moringe Sokoine, Ndiwe au?Umesikika Mwanalissu kindakindaki! Mihemuko kama hii hutamalaki nyakati kama hizi na ...na hupita vuuu! kama kimbunga baadaye na kuturejeshea hali zetu za awali, huku wengine watathmini mafao na wengine wakiganga makovu ya kutumika. Ndiyo maisha.
Mbona povu huyu anazungumza nje ya siasa ila Gwaji na Rwakatare walikuwa wana CCM ndio maana unapanic.tunamzungumzia huyu hatujamzungumzia gwaji boy fungua uzi na wewe tuchangie kuhusu gwaji
umeliona beti la 'nguvu za kiume'?!Sema baba sema
mrushie tu sadaka yako kwa mpesa au tigopesa ndugu.Huyu askofu ningekuwa karibu nae ningemnunulia hata soda tu anywe. Ananibariki sana
Waulize ndugu zako kama wanakuona bado ni mzima.hakuna mtu mjinga katika watumishi wa dini ila huyu tu maana haeleweki ni mtumishi wa kanisa au ni mwanasiasa achague moja dini au siasa aache ujinga wake hapa
Hata wewe utakuwa hujuWaulize ndugu zako kama wanakuona bado ni mzima.
Magonjwa ya akili ni ngumu sana kujitambua kuwa unaumwa. Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kuandika uliyoyaandika. Yawezekana una tatizo la afya ya akili halafu hujitambui. Waulize jamaa zako wa karibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwezi kuacha kuuliishi siasa!hakuna mtu mjinga katika watumishi wa dini ila huyu tu maana haeleweki ni mtumishi wa kanisa au ni mwanasiasa achague moja dini au siasa aache ujinga wake hapa
Anatoa baraka huyo ?Huyu askofu ningekuwa karibu nae ningemnunulia hata soda tu anywe. Ananibariki sana
Achana naye hana madhara yoyote anakunywa tuu rubisi huko karagweHakuna mtu mjinga katika watumishi wa dini ila huyu tu maana haeleweki ni mtumishi wa kanisa au ni mwanasiasa achague moja dini au siasa aache ujinga wake hapa.