EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Unaulizwa je, RIP RWAKARATE na Gwajima na Msigwa mbona ni wanasiasa???Hata wewe utakuwa huju
Ijui kama ni chizi au la maana huyo anajifanya anajua sana kila kitu hata hiyo phd yake itakuwa ya kufoji abaki sehemu moja tu ili aeleweke mbona yule padri alitangaza nia ya kugombea akafukuzwa upadri nao hawana akili? Jistukie utakuwa huna akili vizuri wewe.
WOTE TATIZO LAO NI MOJAUnaulizwa je, RIP RWAKARATE na Gwajima na Msigwa mbona ni wanasiasa???
Majibizano yamekasimishwa kwa wengine ….Akili mgando kweli. Hivi nani anayemuogopa mwenzake? Yule ambaye kila akihojiwa anamtaja taja mwenzio kila baada ya maneno mawili au yule ambaye yupo bize na spidi yake ile ile ya kuchapa kazi ambaye hana muda hata kujibizana?
Viongozi wa dini wana nafasi kubwa sana ktk kukemea maovu... Huu utopolo wa ccm hatutaufumbia macho kamwe!! Siku yenu ipo mtalia na kusaga meno! Haya mnayoyafanya hata albashir aliyafanya naamini mnajua alipo kwa sasa¡Hakuna mtu mjinga katika watumishi wa dini ila huyu tu maana haeleweki ni mtumishi wa kanisa au ni mwanasiasa achague moja dini au siasa aache ujinga wake hapa.
Ukisoma vizuriHakuna mtu mjinga katika watumishi wa dini ila huyu tu maana haeleweki ni mtumishi wa kanisa au ni mwanasiasa achague moja dini au siasa aache ujinga wake hapa.
Hii jamaa ipo na highest level ya brain quality in this land!Anaandika Baba Askofu Rev. Dr. Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
Taifa letu limekumbwa na virusi viwili vya hatari. Kimoja kinaitwa LISSUPHOBIA na kingine kinaitwa LISSUPHORIA. Inaonekana viliingia nchini tarehe 27/7/2020 kupitia jiji la DSM.
Madaktari wanadai dalili za LISSUPHOBIA ni hizi:
1. Hofu ya vyombo vya habari
2. Hofu ya mikusanyiko
3. Hofu ya matumizi ya mitandao ya kijamii
4. Kirusi kinashawishi kupindisha sheria na taratibu za kawaida
5. Hudhoofisha uwezo wa kutenda kwa haki
6. Hudhoofisha uwezo wa kukumbuka yaliyopita
7. Huzuia uwezo wa kujifunza kwa majirani na kinaongeza uwezo wa kujipendekeza kwa vyombo vya dola
8. Dalili mpya hujitokeza kwa mgonjwa kila wakati na kuhitaji kupimwa kila wakati
9. Kirusi kinamsukuma mgonjwa kuwa karibu na Mungu kinadharia na kumkimbia Mungu anapomkaribia mgonjwa
Dalili za kirusi cha LISSUPHORIA ni hizi:
1. Ujasiri uliopitiliza
2. Kuhisi kuonewa kila wakati
3. Kujiona ni tiba ya LISSUPHOBIA kwa sababu ndiye amesababisha LISSUPHORIA
4. Kuamini kuwa kinatibu kukosekana kwa ajira, na kuleta utawala bora
5. Kumfanya mgonjwa ajione ana uwezo wa kutibu kila ugonjwa ikiwemo kukosa "nguvu za kiume"
6. Mgonjwa kuamini anaanza na Mungu na kumaliza na Mungu
7. Kumfanya mgonjwa aamini kirusi hiki kinastawisha uzalendo
8. Kinamfanya mgonjwa kupoteza uwezo wa kutunza siri zake
9. Kinamfanya mgonjwa amshuku kila mtu aliyewahi kuwa karibu na mgonjwa wa LISSUPHOBIA
Virusi hivi viwili visambaa kwa kasi hapa nchini. Madaktari wanashauri wagonjwa wa virusi hivi viwili vya hatari, kutumia dawa moja inayofanana na wakiishapona wadungwe chanjo ili wasiambukizwe tena.
Dozi ya dawa hiyo ni:
1. Matumizi sawa ya vyombo vya habari kutwa mara tatu.
2. Matumizi ya hoja mara 12 kwa siku
3. Kuheshimu sheria mara 24 kwa siku
4. Kula upendo mara 2, kunywa uvumilivu mara 3 na kujipaka mafuta ya umoja mara 6 kwa siku.
Wakati wote wa kutumia dozi hii, wagonjwa waepuke:
1. Matusi na kejeli
2. Matumizi ya vyombo vya dola
3. Kutumia raslimali za nchi kwa masuala ya kiitikadi
4. Kutumia dini, kabila, au ubaguzi wa namna yoyote
5. Wote wajiepushe na imani ya kuwa mwisho wa dunia ni siku ya uchaguzi mkuu wa 2020. Kuna maisha baada ya uchaguzi. Wamwogope Mungu na Teknolojia.
Anajitia upo busy anaogopa akitaja jina la Lissu damu yaweza kumrudia mwishowe Wanancho washtuke lkn tushamshtukia ukitaka kujua ni nan alimpiga tundu lisasi fatilia ni nan alimtembelea afisa wa jesh aliepigwa risasi sasa utajiuliza risas apigwa lissu kutembelewa atembelewe mwingine ni kukwepa aibuAkili mgando kweli. Hivi nani anayemuogopa mwenzake? Yule ambaye kila akihojiwa anamtaja taja mwenzio kila baada ya maneno mawili au yule ambaye yupo bize na spidi yake ile ile ya kuchapa kazi ambaye hana muda hata kujibizana?
Anaandika Baba Askofu Rev. Dr. Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
Taifa letu limekumbwa na virusi viwili vya hatari. Kimoja kinaitwa LISSUPHOBIA na kingine kinaitwa LISSUPHORIA. Inaonekana viliingia nchini tarehe 27/7/2020 kupitia jiji la DSM.
Madaktari wanadai dalili za LISSUPHOBIA ni hizi:
1. Hofu ya vyombo vya habari
2. Hofu ya mikusanyiko
3. Hofu ya matumizi ya mitandao ya kijamii
4. Kirusi kinashawishi kupindisha sheria na taratibu za kawaida
5. Hudhoofisha uwezo wa kutenda kwa haki
6. Hudhoofisha uwezo wa kukumbuka yaliyopita
7. Huzuia uwezo wa kujifunza kwa majirani na kinaongeza uwezo wa kujipendekeza kwa vyombo vya dola
8. Dalili mpya hujitokeza kwa mgonjwa kila wakati na kuhitaji kupimwa kila wakati
9. Kirusi kinamsukuma mgonjwa kuwa karibu na Mungu kinadharia na kumkimbia Mungu anapomkaribia mgonjwa
Dalili za kirusi cha LISSUPHORIA ni hizi:
1. Ujasiri uliopitiliza
2. Kuhisi kuonewa kila wakati
3. Kujiona ni tiba ya LISSUPHOBIA kwa sababu ndiye amesababisha LISSUPHORIA
4. Kuamini kuwa kinatibu kukosekana kwa ajira, na kuleta utawala bora
5. Kumfanya mgonjwa ajione ana uwezo wa kutibu kila ugonjwa ikiwemo kukosa "nguvu za kiume"
6. Mgonjwa kuamini anaanza na Mungu na kumaliza na Mungu
7. Kumfanya mgonjwa aamini kirusi hiki kinastawisha uzalendo
8. Kinamfanya mgonjwa kupoteza uwezo wa kutunza siri zake
9. Kinamfanya mgonjwa amshuku kila mtu aliyewahi kuwa karibu na mgonjwa wa LISSUPHOBIA
Virusi hivi viwili visambaa kwa kasi hapa nchini. Madaktari wanashauri wagonjwa wa virusi hivi viwili vya hatari, kutumia dawa moja inayofanana na wakiishapona wadungwe chanjo ili wasiambukizwe tena.
Dozi ya dawa hiyo ni:
1. Matumizi sawa ya vyombo vya habari kutwa mara tatu.
2. Matumizi ya hoja mara 12 kwa siku
3. Kuheshimu sheria mara 24 kwa siku
4. Kula upendo mara 2, kunywa uvumilivu mara 3 na kujipaka mafuta ya umoja mara 6 kwa siku.
Wakati wote wa kutumia dozi hii, wagonjwa waepuke:
1. Matusi na kejeli
2. Matumizi ya vyombo vya dola
3. Kutumia raslimali za nchi kwa masuala ya kiitikadi
4. Kutumia dini, kabila, au ubaguzi wa namna yoyote
5. Wote wajiepushe na imani ya kuwa mwisho wa dunia ni siku ya uchaguzi mkuu wa 2020. Kuna maisha baada ya uchaguzi. Wamwogope Mungu na Teknolojia.
OGPhD sio mchezo
Mkuu EINSTEIN112 ,sio PhD tuu,bali ni PhD ya ukweli,maana tupo wenye PhD ambazo hatuwezi kujenga hoja hata ya maneno 20.PhD sio mchezo
Huu sasa ni uchochezi mkuuBahati yako ni baba askofu, ungekua Sheikh tungekukamata fasta.
Askofu amelaniwa ndiyo maana anababaika hajui afanye siasa au dini ndiyo maana kipindi cha korona alifunga makanisa wakati hapakuwa na maelekezo ya serikali kufunga makanisa hilo peke yake linatosha kututhibitishia kwamba anawafundisha watu uwepo wa Mungu wakati yeye mwenyewe haamini uwezo wa Mungu.Akili mgando kweli. Hivi nani anayemuogopa mwenzake? Yule ambaye kila akihojiwa anamtaja taja mwenzio kila baada ya maneno mawili au yule ambaye yupo bize na spidi yake ile ile ya kuchapa kazi ambaye hana muda hata kujibizana?
unamaanisha wale wenye zaidi ya PhD waliookotwa majalalani?Mkuu EINSTEIN112 ,sio PhD tuu,bali ni PhD ya ukweli,maana tupo wenye PhD ambazo hatuwezi kujenga hoja hata ya maneno 20.
Mkuu EINSTEIN112 ,sio PhD tuu,bali ni PhD ya ukweli,maana tupo wenye PhD ambazo hatuwezi kujenga hoja hata ya maneno 20.
[/ PhD YA BAGONZA HAINA THAMANI KOKOTE DUNIANI NA MBINGUNI Maana anamhubiri Mungu wakati yeye haamini uwezo wake bali amejificha kanisani kwa ajili ya njaa yake toka Magufuli apige marufuku misamaha ya kodi isiyoeleweka vema makanisani kwa bagonza ilishakuwa chuki kubwa kwa sababu biashara zake alikuwa anapitishia kwenye kivuli cha KKKT akapigwa stop hicho ndiyo kinachomfanya aweweseke
*** offAskofu amelaniwa ndiyo maana anababaika hajui afanye siasa au dini ndiyo maana kipindi cha korona alifunga makanisa wakati hapakuwa na maelekezo ya serikali kufunga makanisa hilo peke yake linatosha kututhibitishia kwamba anawafundisha watu uwepo wa Mungu wakati yeye mwenyewe haamini uwezo wa Mungu.