Askofu Bagonza: Taifa letu limekumbwa na virusi viwili vya hatari. Kimoja kinaitwa LISSUPHOBIA na kingine kinaitwa LISSUPHORIA

Hakuna mtu mjinga katika watumishi wa dini ila huyu tu maana haeleweki ni mtumishi wa kanisa au ni mwanasiasa achague moja dini au siasa aache ujinga wake hapa.
Usimlinganishe huyu mtumishi na takataka zingine,huyu ni Dr.wa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…