Askofu Bagonza: Taifa letu limekumbwa na virusi viwili vya hatari. Kimoja kinaitwa LISSUPHOBIA na kingine kinaitwa LISSUPHORIA

Mpelekeeni ujumbe baba askofu huwezi kutumikia mabwana wawili, "Mungu na Lissu" Mtumishi wa mshahara katika ubora wake.
 
iboyamwaka2020,
Unampangia Cha kusema . Acheni watu watoe dukuduku kwa afya zao. Migogoro minginemnasababisha wenyewe !!!! Huyu Ni mtumishi wa Mungu kwani kosa lake nn?

Mapovu yote kisa katoa maoni au? Na wewe toa maoni yako siyo kutukana na kashfa lukuki kuwa mstaarabu ufiche udhaifu wako. Ndio ninyi mnaotafuta laana kuwapiga na kuwatukana wazee!!!!

Acha kuwavamia watu kwa sababu ya mapenzi na itikadi utakuwa mtu was maana Sana. NAKUSHAURI TU UKITAKA KUTUKANA TENA MI SIMO. NIKUTAKIE SIKU NJEMA
 
Hakuna mtu mjinga katika watumishi wa dini ila huyu tu maana haeleweki ni mtumishi wa kanisa au ni mwanasiasa achague moja dini au siasa aache ujinga wake hapa.
Nchi kadha baada ya pande hasimu kuvuruga nchi imebidi wakimbilie kwa viongozi wa dini kupoza mambo. Huyu baba anajaribu kuzuia watanzania wasivurugane kama wote tujuavyo kinga ni bora kuliko tiba. Hopefully hii imepunguza ujinga wako (LoL) kwenye hili jambo.
 
Samson wa Delila au Gideon yupi mmoja wapo? Kuna ukweli kipindi cha Einstein mawani yalikuwa bado kugunduliwa? Na yeye alihitaji pair kwa ajili kuonea?
Wapo wengi zaidi ha wao ila hoja ni kwamba walivaa kofia mbili
 
Mkuu inawezekana ni kweli kacheki.
 

Askofu Bagonza PhD ameandika vizuri. Amemsifu Sana Tundu Lissu. Hata hivyo, ukweli mchungu ni kuwa Tundu Lissu na CHADEMA hawawezi kuishinda CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao. Wapiga kura wengi hawashawishiwi na haya makatazo anayoandika Askofu Bagonza. Itoshe kusema Baba Askofu hawajui wapiga kura na mambo yanayowasukuma kuendelea kuichagua CCM. Angeyajua haya angeandika tofauti.
 
Kinga ya virusi Ni Lisutherapy- ambayo Ni kusikikiza angalau hotuba moja ya Lisu kwa siku na kuhitimisha na kura ya NDIYO kwa TAL.
 
Ukijua kweli nayo kweli itakuweka huru kweli kweli
 
Hivi yule Bishop pHd masuala wa kiinjili Masharikini mbona yeye hajawahi kuandika akasomeka? au hajui kuwa ana wajibu wa kuonyesha daireksheni ya inji hii?

ebooo taifa limelegea nuts hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…