Askofu Bagonza: Tujifanye kuuliza - Kanisa ni mali ya mtu? Kama kakosea yeye, kwanini kanisa lifungwe?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,063
Maneno mazito ya askofu mpigania haki huyu anaandika:

KAMA NI KWELI: Inaweza kumaanisha hivi..

Eti Kanisa Limefungwa au kufutiwa usajili. Kisa? Kiongozi wake kakosana na waliomsajili au kadaiwa kuhubiri kinyume na alivyotegemewa.

Kama ni kweli; tujifanye kuuliza? Kanisa ni mali ya mtu? Kama kakosea yeye, kwa nini kanisa lifungwe? Yaani mdomo utoe matusi halafu makalio ndiyo yachapwe kiboko?

Hakuna kanisa linalotuma mtu kuchochea, kutukana, kubaka, kuiba nk. Kama lipo, zipatikane miniti za kikao kilichoruhusu hayo. Kinyume na hayo ni kuingilia uhuru wa watu kuabudu. Uhuru wa kuabudu ni wa msingi sana maana unaruhusu hata kuabudu watawala. Tusiwachagulie watu ibada.

Bado siamini kama ni kweli kwa sababu zimetoka barua mbili: moja ina sahihi na nyingine haina sahihi.

Kama ni kweli kanisa limefungwa, maana yake yaweza kuwa hii;
1. Tangu sasa viongozi wote wa dini zote, watatakiwa kutoa nakala ya mahubiri yao kwa wakuu wa serikali siku mbili kabla ya ibada ili yahakikiwe.

2. Maimamu, mashehe, mapadre na wachungaji walio kwenye maeneo ya kata, wawasilishe mahubiri yao kwa Maafisa Watendaji wa Kata siku mbili kabla ya ibada.

3. Endapo Maafisa wa serikali watakosa muda wa kupitia na kuhariri mahubiri hayo, ibada ziahirishwe kusubiri uhariri huo.

4. Atakayehubiri bila kuhaririwa na akaenda kinyume, faini pekee haitoshi, kifungo kina unafuu bali kanisa/hekalu/msikiti utafungwa.

5. Maafisa wa serikali ngazi zote watatakiwa kwenda kozi ya kujifunza elimu ya dini na Teologia ili kufanya udhibiti huu kwa umakini.

6. Maafisa wote wa serikali itabidi wazikane dini zao ili wasije kuonea au kupendelea dini yoyote.

7. Upelekwe muswada bungeni haraka sana, tena kwa hati ya dharula, ili kubadili katiba na kutamka kuwa serikali yetu sasa ina dini rasmi isiyotamkika jina lake na dini nyingine zimefutwa na kubakiza hiyo dini ya serikali.

8. Viongozi hawataruhusiwa tena kuapa kwa misahafu ya dini zilizofutwa. Misahafu hiyo itakuwa imefikia ukomo wa matumizi maana inasababisha viongozi wa dini kufanya uchochezi.

9. Sikukuu za kidini zinafutwa rasmi na hakuna mapumziko siku hizo.

10. Mahusiano ya kibalozi na nchi zote zenye kutambua uwepo wa dini zilizofutwa au kufungiwa yanafungwa mara moja. Mabalozi wa nchi hizo walio nchini waondoke na mabalozi wa kwetu walio nchi hizo warejee nyumbani.

11. Tangu sasa ni marufuku kuomba sala ili kula chakula na ndoa zote zenye uhalali wa kidini hazitambuliki tena.
12. Wimbo wa Taifa uondoe neno Mungu kwa sababu Mungu huyo anaweza kuleta uchochezi wakati wowote.

Tulianza na uhuru wa kukusanyika, tukaja uhuru wa kuishi, tukaingia uhuru wa maoni, hatimaye tutakuwa tumeingia uhuru wa kuabudu. Imebaki nini? Uhuru wa kujinyonga?

I hope ninaota siyo kweli. Ni mitandao tu inazusha na kufanya uchochezi.

Sauti yake imesikika.

Bila shaka na nyingi nyingine zitasikika.

Kanisa si mtu!
 
Kudos baba askofu!

Ngoja niwaite imhotep, CHADEMA na timu nzima ufipa pale.

IMG_20211016_132442_593.jpg

Pichani hatuwezi kuwa sisi!

Au nasema uongo?
 
Tujiulize vile vile..
Sadaka zile zinaenda kwa nani?
Naomba kukumbusha..makanisa yote yenye misingi imara na yasiyo ya ulaghai, mara nyingi sana waumini wake wanamiliki utajiri kuliko viongozi wao ndani ya nchi..rejea cct, tec nk..
Kwenye hili dhehebu la gwajima nani tajiri kumzidi?
Anyway sadaka hz zinaenda wapi?
 
Si kuna muungano wa manabii/makanisa? Tunatarajia watasema neno maana waumini wananyimwa kusali kisa mtu mmoja. kwanini wasimnyime huyo mhusika kwenda kanisani na kuwaacha maelfu wakiendelea kumsifu na kumuabudu Mungu?
 
Maneno mazito ya askofu mpigania haki huyu anaandika:

KAMA NI KWELI: Inaweza kumaanisha hivi..

Eti Kanisa Limefungwa au kufutiwa usajili. Kisa? Kiongozi wake kakosana na waliomsajili au kadaiwa kuhubiri kinyume na alivyotegemewa.

Kama ni kweli; tujifanye kuuliza? Kanisa ni mali ya mtu? Kama kakosea yeye, kwa nini kanisa lifungwe? Yaani mdomo utoe matusi halafu makalio ndiyo yachapwe kiboko?

Hakuna kanisa linalotuma mtu kuchochea, kutukana, kubaka, kuiba nk. Kama lipo, zipatikane miniti za kikao kilichoruhusu hayo. Kinyume na hayo ni kuingilia uhuru wa watu kuabudu. Uhuru wa kuabudu ni wa msingi sana maana unaruhusu hata kuabudu watawala. Tusiwachagulie watu ibada.

Bado siamini kama ni kweli kwa sababu zimetoka barua mbili: moja ina sahihi na nyingine haina sahihi.

Kama ni kweli kanisa limefungwa, maana yake yaweza kuwa hii;
1. Tangu sasa viongozi wote wa dini zote, watatakiwa kutoa nakala ya mahubiri yao kwa wakuu wa serikali siku mbili kabla ya ibada ili yahakikiwe.

2. Maimamu, mashehe, mapadre na wachungaji walio kwenye maeneo ya kata, wawasilishe mahubiri yao kwa Maafisa Watendaji wa Kata siku mbili kabla ya ibada.

3. Endapo Maafisa wa serikali watakosa muda wa kupitia na kuhariri mahubiri hayo, ibada ziahirishwe kusubiri uhariri huo.

4. Atakayehubiri bila kuhaririwa na akaenda kinyume, faini pekee haitoshi, kifungo kina unafuu bali kanisa/hekalu/msikiti utafungwa.

5. Maafisa wa serikali ngazi zote watatakiwa kwenda kozi ya kujifunza elimu ya dini na Teologia ili kufanya udhibiti huu kwa umakini.

6. Maafisa wote wa serikali itabidi wazikane dini zao ili wasije kuonea au kupendelea dini yoyote.

7. Upelekwe muswada bungeni haraka sana, tena kwa hati ya dharula, ili kubadili katiba na kutamka kuwa serikali yetu sasa ina dini rasmi isiyotamkika jina lake na dini nyingine zimefutwa na kubakiza hiyo dini ya serikali.

8. Viongozi hawataruhusiwa tena kuapa kwa misahafu ya dini zilizofutwa. Misahafu hiyo itakuwa imefikia ukomo wa matumizi maana inasababisha viongozi wa dini kufanya uchochezi.

9. Sikukuu za kidini zinafutwa rasmi na hakuna mapumziko siku hizo.

10. Mahusiano ya kibalozi na nchi zote zenye kutambua uwepo wa dini zilizofutwa au kufungiwa yanafungwa mara moja. Mabalozi wa nchi hizo walio nchini waondoke na mabalozi wa kwetu walio nchi hizo warejee nyumbani.

11. Tangu sasa ni marufuku kuomba sala ili kula chakula na ndoa zote zenye uhalali wa kidini hazitambuliki tena.
12. Wimbo wa Taifa uondoe neno Mungu kwa sababu Mungu huyo anaweza kuleta uchochezi wakati wowote.

Tulianza na uhuru wa kukusanyika, tukaja uhuru wa kuishi, tukaingia uhuru wa maoni, hatimaye tutakuwa tumeingia uhuru wa kuabudu. Imebaki nini? Uhuru wa kujinyonga?

I hope ninaota siyo kweli. Ni mitandao tu inazusha na kufanya uchochezi.

Sauti yake imesikika.

Bila shaka na nyingi nyingine zitasikika.

Kanisa si mtu!
Kanisa ni jengo,kanisa ni watu si mtu,kanisa ni Sehemu yoyote yacibada,Kalifungia kwa Sababu ya mtu ni kuwanyima watu Uhuru wao!
 
Huyu Bagonza hanaga akili,,sheria ziko wazi,Kuna sheria ya kusajili na kufuta pia,,
Nchi haiongozwi kwa sheria za Bagonza
 
Watu wanaenda kwenye uchaguzi halafu wanafanya mambo ya ajabu, kwa mtindo huu nani atawachagua watesi?
 
Tujiulize vile vile..
Sadaka zile zinaenda kwa nani?
Naomba kukumbusha..makanisa yote yenye misingi imara na yasiyo ya ulaghai, mara nyingi sana waumini wake wanamiliki utajiri kuliko viongozi wao ndani ya nchi..rejea cct, tec nk..
Kwenye hili dhehebu la gwajima nani tajiri kumzidi?
Anyway sadaka hz zinaenda wapi?
Sidhani kama umemelewa Asikofu Bagonza

Kuhusu Sadaka, kaulize kwa Gwajima

Hoja iko hapa, kukosea akosee Gwajima, adhabu wapewe watu wengine wasio na kosa, hiyo ni sawa?
 
Ndio Maana anasimamia Makanisa zaidi ya 2000, ina Maana sadaka zinasaidia kueneza neno la Mungu ndio Maana anazidi kufungua matawi zaidi!

Gwajima tatizo sio Sadaka zinaenda wapi, Gwajima ametaka au amekemea utekaji na watekaji, tatizo la kukemea kutekwa kwa watu ni nini!? Amekosea nini kukemea kutekwa kwa watu!?
 
Huyo aliyempa uaskofu atakuwa alilogwa, mwambieni akaulize mahakamani. Ye hajui nini kuhusu lile kanisa, ile ni mali ya Josephat Gwajima. Naipongeza serikali yetu tukufu sana sana. Wasikubali wapumbavu wachache kuchezea nchi yetu. Kuna sheria na masharti ya usajili, kanisa siyo jukwaa la kumtukana Mkuu wa nchi, siyo jukwaa la kupandikiza na kueneza chuki kwa watanzania. Hongera serikali yetu. Bado kumfukuza CCM huyo mbwa akatafute jukwaa lingine, na aje akiharibu atafuatwa huko huko
 
Maneno mazito ya askofu mpigania haki huyu anaandika:

KAMA NI KWELI: Inaweza kumaanisha hivi..

Eti Kanisa Limefungwa au kufutiwa usajili. Kisa? Kiongozi wake kakosana na waliomsajili au kadaiwa kuhubiri kinyume na alivyotegemewa.

Kama ni kweli; tujifanye kuuliza? Kanisa ni mali ya mtu? Kama kakosea yeye, kwa nini kanisa lifungwe? Yaani mdomo utoe matusi halafu makalio ndiyo yachapwe kiboko?

Hakuna kanisa linalotuma mtu kuchochea, kutukana, kubaka, kuiba nk. Kama lipo, zipatikane miniti za kikao kilichoruhusu hayo. Kinyume na hayo ni kuingilia uhuru wa watu kuabudu. Uhuru wa kuabudu ni wa msingi sana maana unaruhusu hata kuabudu watawala. Tusiwachagulie watu ibada.

Bado siamini kama ni kweli kwa sababu zimetoka barua mbili: moja ina sahihi na nyingine haina sahihi.

Kama ni kweli kanisa limefungwa, maana yake yaweza kuwa hii;
1. Tangu sasa viongozi wote wa dini zote, watatakiwa kutoa nakala ya mahubiri yao kwa wakuu wa serikali siku mbili kabla ya ibada ili yahakikiwe.

2. Maimamu, mashehe, mapadre na wachungaji walio kwenye maeneo ya kata, wawasilishe mahubiri yao kwa Maafisa Watendaji wa Kata siku mbili kabla ya ibada.

3. Endapo Maafisa wa serikali watakosa muda wa kupitia na kuhariri mahubiri hayo, ibada ziahirishwe kusubiri uhariri huo.

4. Atakayehubiri bila kuhaririwa na akaenda kinyume, faini pekee haitoshi, kifungo kina unafuu bali kanisa/hekalu/msikiti utafungwa.

5. Maafisa wa serikali ngazi zote watatakiwa kwenda kozi ya kujifunza elimu ya dini na Teologia ili kufanya udhibiti huu kwa umakini.

6. Maafisa wote wa serikali itabidi wazikane dini zao ili wasije kuonea au kupendelea dini yoyote.

7. Upelekwe muswada bungeni haraka sana, tena kwa hati ya dharula, ili kubadili katiba na kutamka kuwa serikali yetu sasa ina dini rasmi isiyotamkika jina lake na dini nyingine zimefutwa na kubakiza hiyo dini ya serikali.

8. Viongozi hawataruhusiwa tena kuapa kwa misahafu ya dini zilizofutwa. Misahafu hiyo itakuwa imefikia ukomo wa matumizi maana inasababisha viongozi wa dini kufanya uchochezi.

9. Sikukuu za kidini zinafutwa rasmi na hakuna mapumziko siku hizo.

10. Mahusiano ya kibalozi na nchi zote zenye kutambua uwepo wa dini zilizofutwa au kufungiwa yanafungwa mara moja. Mabalozi wa nchi hizo walio nchini waondoke na mabalozi wa kwetu walio nchi hizo warejee nyumbani.

11. Tangu sasa ni marufuku kuomba sala ili kula chakula na ndoa zote zenye uhalali wa kidini hazitambuliki tena.
12. Wimbo wa Taifa uondoe neno Mungu kwa sababu Mungu huyo anaweza kuleta uchochezi wakati wowote.

Tulianza na uhuru wa kukusanyika, tukaja uhuru wa kuishi, tukaingia uhuru wa maoni, hatimaye tutakuwa tumeingia uhuru wa kuabudu. Imebaki nini? Uhuru wa kujinyonga?

I hope ninaota siyo kweli. Ni mitandao tu inazusha na kufanya uchochezi.

Sauti yake imesikika.

Bila shaka na nyingi nyingine zitasikika.

Kanisa si mtu!
Makanisa haya mengine ni mali za watu; kwa kakobe, kwa lusekelo, kwa mwingila, kwa Gwajima, kwa lwakatarw, kwa mwamposa, kwa kwa kwa kwa.... Funga yote haya kukitokea utovu wa nidhamu. Haya mengine ni mali na nyenzo za wakoloni.
 
Wewe ndo hujamwelewa amesema kanisa si MTU mmoja;ndo maana asipokuwe kanisa lipo.Yesu alipoondoka kanisa lipo had I leo
Kile ni kanisa la ghwajima,huwezi kulinganisha Hilo na kanisa katoliki,SDA,Lutheran au kkkt
 
Ndio Maana anasimamia Makanisa zaidi ya 2000, ina Maana sadaka zinasaidia kueneza neno la Mungu ndio Maana anazidi kufungua matawi zaidi!

Gwajima tatizo sio Sadaka zinaenda wapi, Gwajima ametaka au amekemea utekaji na watekaji, tatizo la kukemea kutekwa kwa watu ni nini!? Amekosea nini kukemea kutekwa kwa watu!?
Kuwa na makanisa 2000 isimpe kichwa eti anaweza kupimana ubavu na mamlaka
 
Sidhani kama umemelewa Asikofu Bagonza

Kuhusu Sadaka, kaulize kwa Gwajima

Hoja iko hapa, kukosea akosee Gwajima, adhabu wapewe watu wengine wasio na kosa, hiyo ni sawa?
Adhabu imetolewa kwa eneo lililotumika kutamka maneno hayo..
Na vile vle eneo hlo yeye ndye mwenye mamlaka ya kulitumia..
 
Tujiulize vile vile..
Sadaka zile zinaenda kwa nani?
Naomba kukumbusha..makanisa yote yenye misingi imara na yasiyo ya ulaghai, mara nyingi sana waumini wake wanamiliki utajiri kuliko viongozi wao ndani ya nchi..rejea cct, tec nk..
Kwenye hili dhehebu la gwajima nani tajiri kumzidi?
Anyway sadaka hz zinaenda wapi?
Ungejiuliza kwa nini wasiolipa kodi na wanaosamehewa kodi ndio matajiri kwenye Nchi masikini kuliko hata walipa kodi wao..
 
Back
Top Bottom