Askofu Bagonza: Tujifanye kuuliza - Kanisa ni mali ya mtu? Kama kakosea yeye, kwanini kanisa lifungwe?

Tukiwa na umoja hii serikali ya kipumbavu lazima isambaratike.
Tuweke udini kando
 
Kanisa ni jengo,kanisa ni watu si mtu,kanisa ni Sehemu yoyote yacibada,Kalifungia kwa Sababu ya mtu ni kuwanyima watu Uhuru wao!
Ni kosa kubwa sana ni kama vile mwalimumkuu wa shule abake mwanafunzi halafu shule ifungwe!
 
Huyi
Maneno mazito ya askofu mpigania haki huyu anaandika:

KAMA NI KWELI: Inaweza kumaanisha hivi..

Eti Kanisa Limefungwa au kufutiwa usajili. Kisa? Kiongozi wake kakosana na waliomsajili au kadaiwa kuhubiri kinyume na alivyotegemewa.

Kama ni kweli; tujifanye kuuliza? Kanisa ni mali ya mtu? Kama kakosea yeye, kwa nini kanisa lifungwe? Yaani mdomo utoe matusi halafu makalio ndiyo yachapwe kiboko?

Hakuna kanisa linalotuma mtu kuchochea, kutukana, kubaka, kuiba nk. Kama lipo, zipatikane miniti za kikao kilichoruhusu hayo. Kinyume na hayo ni kuingilia uhuru wa watu kuabudu. Uhuru wa kuabudu ni wa msingi sana maana unaruhusu hata kuabudu watawala. Tusiwachagulie watu ibada.

Bado siamini kama ni kweli kwa sababu zimetoka barua mbili: moja ina sahihi na nyingine haina sahihi.

Kama ni kweli kanisa limefungwa, maana yake yaweza kuwa hii;
1. Tangu sasa viongozi wote wa dini zote, watatakiwa kutoa nakala ya mahubiri yao kwa wakuu wa serikali siku mbili kabla ya ibada ili yahakikiwe.

2. Maimamu, mashehe, mapadre na wachungaji walio kwenye maeneo ya kata, wawasilishe mahubiri yao kwa Maafisa Watendaji wa Kata siku mbili kabla ya ibada.

3. Endapo Maafisa wa serikali watakosa muda wa kupitia na kuhariri mahubiri hayo, ibada ziahirishwe kusubiri uhariri huo.

4. Atakayehubiri bila kuhaririwa na akaenda kinyume, faini pekee haitoshi, kifungo kina unafuu bali kanisa/hekalu/msikiti utafungwa.

5. Maafisa wa serikali ngazi zote watatakiwa kwenda kozi ya kujifunza elimu ya dini na Teologia ili kufanya udhibiti huu kwa umakini.

6. Maafisa wote wa serikali itabidi wazikane dini zao ili wasije kuonea au kupendelea dini yoyote.

7. Upelekwe muswada bungeni haraka sana, tena kwa hati ya dharula, ili kubadili katiba na kutamka kuwa serikali yetu sasa ina dini rasmi isiyotamkika jina lake na dini nyingine zimefutwa na kubakiza hiyo dini ya serikali.

8. Viongozi hawataruhusiwa tena kuapa kwa misahafu ya dini zilizofutwa. Misahafu hiyo itakuwa imefikia ukomo wa matumizi maana inasababisha viongozi wa dini kufanya uchochezi.

9. Sikukuu za kidini zinafutwa rasmi na hakuna mapumziko siku hizo.

10. Mahusiano ya kibalozi na nchi zote zenye kutambua uwepo wa dini zilizofutwa au kufungiwa yanafungwa mara moja. Mabalozi wa nchi hizo walio nchini waondoke na mabalozi wa kwetu walio nchi hizo warejee nyumbani.

11. Tangu sasa ni marufuku kuomba sala ili kula chakula na ndoa zote zenye uhalali wa kidini hazitambuliki tena.
12. Wimbo wa Taifa uondoe neno Mungu kwa sababu Mungu huyo anaweza kuleta uchochezi wakati wowote.

Tulianza na uhuru wa kukusanyika, tukaja uhuru wa kuishi, tukaingia uhuru wa maoni, hatimaye tutakuwa tumeingia uhuru wa kuabudu. Imebaki nini? Uhuru wa kujinyonga?

I hope ninaota siyo kweli. Ni mitandao tu inazusha na kufanya uchochezi.

Sauti yake imesikika.

Bila shaka na nyingi nyingine zitasikika.

Kanisa si mtu!

Ningeshaa kama askofu Bagaza angekaa kimya.
 
MAKANISA YAKO MENGI TUH WHY HAYAGUSWA LIGUSWE LA GWAJIMA??

NA MLIKUWA WAPI KUMKEMEA WAKATI ANATENGENEZA CHUKI KWA WANANCHI DHID YA SERIKALI??

KANISA LILE NI LA GWAJIMA,NA LIMEFUNGIWA KWA KUWA MTOA HUDUMA NI HUYO GWAJIMA MCHOCHEZI,KAMA UNAONA KUNA HAKI IMEVUNJWA AKAKATE RUFAA,ACHENI CHUKI ZENU
 
Hili ni Bomu linalosubiri kulipuka!

Hivi kwenye usajili upande wa uislamu ni kila msikiti una usajili wake unaojitegemea?
 
Alichosema Baba Askofu ndio kinachoendelea/ kinaweza endelea
 
MAKANISA YAKO MENGI TUH WHY HAYAGUSWA LIGUSWE LA GWAJIMA??

NA MLIKUWA WAPI KUMKEMEA WAKATI ANATENGENEZA CHUKI KWA WANANCHI DHID YA SERIKALI??

KANISA LILE NI LA GWAJIMA,NA LIMEFUNGIWA KWA KUWA MTOA HUDUMA NI HUYO GWAJIMA MCHOCHEZI,KAMA UNAONA KUNA HAKI IMEVUNJWA AKAKATE RUFAA,ACHENI CHUKI ZENU
Kabla hajasema kuhusu swala la Utekaji hakuguswa. Father Kitima kabla ya kuongelea Haki za uchaguzi na maswala ya wasiojulikana hakuguswa.

Kimsingi hatakiwi mtu yeyote ku address swala la wasiojulikana. Tuwaache wafanye wanavyotaka.
 
Nyie kunguni tulieni msitikisike sindano isijekuvunjikia ndani ili dawa ipite vizuri

Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
The Sunk Cost Fallacy
The Sunk Cost Fallacy 2
IMG_20250123_124703.jpg
 
Kabla hajasema kuhusu swala la Utekaji hakuguswa. Father Kitima kabla ya kuongelea Haki za uchaguzi na maswala ya wasiojulikana hakuguswa.

Kimsingi hatakiwi mtu yeyote ku address swala la wasiojulikana. Tuwaache wafanye wanavyotaka.
HUYO MUHUNI SI UMEMSKIA ALIKUWA ANASEMA KWAMBA HAO WATEKAJI WANAPATA MAMLAKA KUTOKA JUU??SASA WHY UNATAKA AACHWE NA MANENO HAYO KAENDELEA KUYASEMA HADI KANISANI??
 
kinyonga mzinifu ameibuka šŸ’
Hadi wewe?seriously?Mwanangu siasa inakufanya unamkana mwana wa Adamu?leo nifufuo na Uzima vipi tukifikiwa?Sio mfuasi wa Gwajima ila kwa hili limefanya moyo wangu ufe Ganzi,,,,Nikakumbuka enzi za Paul and Sillas during the dark Error
 
Huyu Bagonza hanaga akili,,sheria ziko wazi,Kuna sheria ya kusajili na kufuta pia,,
Nchi haiongozwi kwa sheria za Bagonza

Kama zusivyoweza kuongozwa na sheria za watekaji, au siyo?
 
Huyu Bagonza hanaga akili,,sheria ziko wazi,Kuna sheria ya kusajili na kufuta pia,,
Nchi haiongozwi kwa sheria za Bagonza
Tuweke akiba ya maneno kumtusi mtu hakuna maana tutumie Akili zaidi.
 
Maneno mazito ya askofu mpigania haki huyu anaandika:

KAMA NI KWELI: Inaweza kumaanisha hivi..

Eti Kanisa Limefungwa au kufutiwa usajili. Kisa? Kiongozi wake kakosana na waliomsajili au kadaiwa kuhubiri kinyume na alivyotegemewa.

Kama ni kweli; tujifanye kuuliza? Kanisa ni mali ya mtu? Kama kakosea yeye, kwa nini kanisa lifungwe? Yaani mdomo utoe matusi halafu makalio ndiyo yachapwe kiboko?

Hakuna kanisa linalotuma mtu kuchochea, kutukana, kubaka, kuiba nk. Kama lipo, zipatikane miniti za kikao kilichoruhusu hayo. Kinyume na hayo ni kuingilia uhuru wa watu kuabudu. Uhuru wa kuabudu ni wa msingi sana maana unaruhusu hata kuabudu watawala. Tusiwachagulie watu ibada.

Bado siamini kama ni kweli kwa sababu zimetoka barua mbili: moja ina sahihi na nyingine haina sahihi.

Kama ni kweli kanisa limefungwa, maana yake yaweza kuwa hii;
1. Tangu sasa viongozi wote wa dini zote, watatakiwa kutoa nakala ya mahubiri yao kwa wakuu wa serikali siku mbili kabla ya ibada ili yahakikiwe.

2. Maimamu, mashehe, mapadre na wachungaji walio kwenye maeneo ya kata, wawasilishe mahubiri yao kwa Maafisa Watendaji wa Kata siku mbili kabla ya ibada.

3. Endapo Maafisa wa serikali watakosa muda wa kupitia na kuhariri mahubiri hayo, ibada ziahirishwe kusubiri uhariri huo.

4. Atakayehubiri bila kuhaririwa na akaenda kinyume, faini pekee haitoshi, kifungo kina unafuu bali kanisa/hekalu/msikiti utafungwa.

5. Maafisa wa serikali ngazi zote watatakiwa kwenda kozi ya kujifunza elimu ya dini na Teologia ili kufanya udhibiti huu kwa umakini.

6. Maafisa wote wa serikali itabidi wazikane dini zao ili wasije kuonea au kupendelea dini yoyote.

7. Upelekwe muswada bungeni haraka sana, tena kwa hati ya dharula, ili kubadili katiba na kutamka kuwa serikali yetu sasa ina dini rasmi isiyotamkika jina lake na dini nyingine zimefutwa na kubakiza hiyo dini ya serikali.

8. Viongozi hawataruhusiwa tena kuapa kwa misahafu ya dini zilizofutwa. Misahafu hiyo itakuwa imefikia ukomo wa matumizi maana inasababisha viongozi wa dini kufanya uchochezi.

9. Sikukuu za kidini zinafutwa rasmi na hakuna mapumziko siku hizo.

10. Mahusiano ya kibalozi na nchi zote zenye kutambua uwepo wa dini zilizofutwa au kufungiwa yanafungwa mara moja. Mabalozi wa nchi hizo walio nchini waondoke na mabalozi wa kwetu walio nchi hizo warejee nyumbani.

11. Tangu sasa ni marufuku kuomba sala ili kula chakula na ndoa zote zenye uhalali wa kidini hazitambuliki tena.
12. Wimbo wa Taifa uondoe neno Mungu kwa sababu Mungu huyo anaweza kuleta uchochezi wakati wowote.

Tulianza na uhuru wa kukusanyika, tukaja uhuru wa kuishi, tukaingia uhuru wa maoni, hatimaye tutakuwa tumeingia uhuru wa kuabudu. Imebaki nini? Uhuru wa kujinyonga?

I hope ninaota siyo kweli. Ni mitandao tu inazusha na kufanya uchochezi.

Sauti yake imesikika.

Bila shaka na nyingi nyingine zitasikika.

Kanisa si mtu!
UFUFUO NA UZIMA NI KANISA LA MTU BINAFSI SIO KAMA ILIVYO KKT AU RC..Wakati mwingine Bagonza akae tu kimya
 
Waislam mnachuki sana na ukristo tangu mkubali kuongozwa na mwanamke ,kama kuua kwenye dini yenu ni sahihi wengine kwa dini yao ni haramu
Nimecheka sana... Hivi Gwajiboy ni yule alitaka misikiti ibadilishwe nakua Sunday school
 
gentleman,
mimi ni mkristo mbatizwa, ambae pia nimepokea sakramenti ya ekaristi takatifu ambayo inaitwa komunio ya kwanza, Lakini pia nimepokea kikamilifu sakramenti ya kipaimara,

nimeimarishwa kiroho vya kutosha na ndio maana nina uwezo na ujasiri wa kuwakemea hao wazinifu wa wake za watu halafu wanakimbilia madhabahuni kujifanya ni mitume wa Yesu. Nonsense kabisa.

hilo zinzi lililopigwa kwenye pombe na mwenzake, lingebaki SAUT, wanafunzi au watu wa mwanza wangemalizana nalo kitambo sana šŸ’
Hakuna mkristo asiye na akili ,
kwa hiyo wewe unaujasiri wa kukemea wanao zini tuu ambao kwanza wanatumia miili yao hawaumizi wala kuua mtu , ila hunanujasiri wa kukemea wanao tena na kuua watu hujishangai? Kwenu uislamuni kuua ni sunna!
 
UFUFUO NA UZIMA NI KANISA LA MTU BINAFSI SIO KAMA ILIVYO KKT AU RC..Wakati mwingine Bagonza akae tu kimya
Bangoza kakuachq mbali sana kwa kila kitu humuwezi wewe kima , hata KKKT na RC yote ni makanisa ya watu labda kama hujui historia za kuanzishwa kwake
 
Tujiulize vile vile..
Sadaka zile zinaenda kwa nani?
Naomba kukumbusha..makanisa yote yenye misingi imara na yasiyo ya ulaghai, mara nyingi sana waumini wake wanamiliki utajiri kuliko viongozi wao ndani ya nchi..rejea cct, tec nk..
Kwenye hili dhehebu la gwajima nani tajiri kumzidi?
Anyway sadaka hz zinaenda wapi?
Mbinguni
 
Back
Top Bottom